Kwanini Mudathir na Feitoto wametozwa tu Faini, ila kwa akina Chama na Aziz K walifungiwa Mechi 3 na Faini juu kwa Kosa la Kufanana?

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
Njooni na Utetezi wote juu ya hili na hawa ila tulio karibu na Wachezaji wa Vilabu vikubwa Viwili hivi, Viongozi wao na hasa Wataalam ( Waganga Wao wa Kienyeji' ) tunajua kuwa kwa hawa Wachezaji Wawili Feisal Salum 'Feitoto' na Mudathir Yahya yuko Mmoja ambaye Nyota yake ndiyo kwa 99% inaibeba Timu yake na kupata Ushindi hivyo kama angepigwa Faini na Kutoruhusiwa Kucheza Mechi tatu huenda Moto Mkubwa wa Fujo, Hasira na Mgogoro ungeibuka katika Klabu yake 'Weekend' kwa Kipigo ( Kufungwa na ) kutoka kwa Jirani zao.

Na moja ya Sifa Kuu ya Mchezaji huyo ukijumlisha na atokako ambako Uchawi na Ufugaji wa Majini ni Jambo la Kawaida ni kwamba Yeye ndiyo Mchezaji pekee kati ya Wenzake wote hapo Klabuni ambao si tu anapenda bali pia haogopi kabisa Kubeba Hirizi Kuu ya Timu, Kulala Makaburini na Kuvunja Nazi kwa Kujiamini kwakuwa ana Ndugu zake Watatu ( Mmoja Dada yake ) ambaye ni Mganga wa Kienyeji Hatari ambaye pia hutumiwa mno na Viongozi wa Kisiasa wa pande zote za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Hatufugi hovyo Nywele zenye Rangi.

Haya MINOCYCLINE "Gifted Intellectually, Knowdgeable, Challenger and Well Informed Person" na Sign Out hivi.
 
BAN bado inakutesa mkuu

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Kitaalam hii tunaiitaje,je mleta hoja ulitaka tufafanue kwa nini feisal na mudathir wamepigwa faini tu bila kufungiwa au ulikuwa unaleta ushabiki wa kipuuzi tu apa? ngoja nikueleweshe,unajua kuwa kuna sheria inasema mtu akitenda kosa anaweza kupigwa faini tu bila kifungo,kifungo bila faini au vyote kwa pamoja?.
 
Nawasubiri wanaosema Bodi ya ligi ni Simba au Katia ni Simba. Wote tunajua makosa Kama hayo wakifanya Aziz K na Chama matokeo yake wakafungiwa mechi tatu na faini juu leo makosa hayohayo yanayofanana yanatolewa adhabu tofauti.
Juzi tumesikia ligi ya vijana mechi ya Simba na yanga imegomewa baada ya Simba.kudai yanga hawakukamilisha usajili kwa wakati.
Hiyo ligi wanayodai ni ya tano kwa ubora no utumbo mtupu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom