anatupeleka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Nani amemwelewa Waziri wa Kilimo anatupeleka wapi?

    Miaka miwili ya Waziri Bashe imekatika; Kwa tathimini ya kisekta Nani amemwelewa anatupeleka wapi? Je, unaona picha ya nchi kuwa na kilimo kama uti wa mgongo? Tukimkumbusha kwamba UPO uwezekano akawa anamilikisha ardhi kwa wageni akiamini anainua kilimo tutakuwa tunakosea? Ana uhakika kwamba...
  2. GENTAMYCINE

    Nimeambiwa Simba SC wakitumia Low Block na Counter Attack Wydad Casablanca FC anatupeleka Semi Finals CAFCL

    Nami GENTAMYCINE nauliza je, wakiongezea na High Pressure yaani tucheze Mifumo yote Mitatu ya Low Block, High Pressure and Counter Attack kwa mfumo wa 4-1-4-1 Mwarabu hatochapika Kwao Mohammed V Stadium Siku ya Ijumaa na Mnyama ( Simba SC ) kutinga kwa mara ya Kwanza CAFCL Semi Finals? Karibuni...
  3. R

    Nani anamwelewa Mhe. Rais anatupeleka wapi?

    Mimi Kwa maoni yangu namwona Mhe. Rais akitupeleka kuyafikia haya yafuatayo; 1. Taafa lenye maridhiano ambalo litatufanya sote tuwe ndugu 2. Anaelekea kutuachia Taifa lenye Katiba mpya itakayoratibu maendeleo na ustawi wetu kulingana na mahitaji ya sasa 3. Upo uwezekano mkubwa akatuachia Taifa...
  4. Elius W Ndabila

    Rais samia anaonyesha utawala bora kwa vitendo

    RAIS SAMIA ANAONYESHA UTAWALA BORA KWA VITENDO. Na Elius Ndabila 0768239284 Moderator ninakumbuka kuna mtu hapa jamii forum aliwahi kuuliza, nani anajua anakotupeleka Rais Samia? Ninaomba mtag andiko hili kwa kuwa Rais Samia anatupeleka sehemu yenye mwanga mkubwa wa Umoja wa Kitaifa. Rais...
  5. GENTAMYCINE

    Naomba kujua tofauti kati ya 'Utamaduni wa Makabila' na 'Ushirikina wa Mwafrika' kwani kuna Mtu anatupeleka 'Kibla' tuparaganyike

    Kuna Mtu Mmoja kwa mbali anataka Kutuchezea Akili Watanzania akidhani ni 'hamnazo' wakati wenye Akili tumeshamshtukia kuwa ni Mdau wa Utamaduni wa Mwafrika ambao kwa uelewa wangu kwa 85% unahusisha mno Uchawi (Ushirikina) hivyo basi anataka Kulilazimisha hili Ubongoni mwetu ili awe Huru nalo na...
  6. MchunguZI

    Mgawanyo wa rasilimali kati ya Tanganyika na Zanzibar hauko sawa

    Nimewahi ambiwa kwamba Z'bara wanapenda sana kuwa waarabu na wanafanyiwa sherehe za kuwa waarabu. Binadamu wa kiwango hicho kwa hiari yake, lazima ana tatizo la msingi kijamii. Upende usipende, nchi inayoyoma bila mkuu wa nchi kujitambua. Tabia hii imekuwa ni sugu, kwamba wa-Zbar wanajiona siyo...
  7. DaudiAiko

    Mikopo ya miaka ishirini? Kweli Rais Samia anatupeleka pabaya

    Wanabodi, Serikali inataka kufanya mengi na katika kufanya hayo, inataka kutumia muda mfupi kutekeleza miradi ya kimkakati kama njia ya kupeleka maendeleo kwa wananchi. Labda kuna uwezekano kwa serikali kukamilisha mipango yake bila kukopa lakini maelezo tuliyoyapata kutoka kwa viongozi wa nchi...
Back
Top Bottom