Naomba kujua tofauti kati ya 'Utamaduni wa Makabila' na 'Ushirikina wa Mwafrika' kwani kuna Mtu anatupeleka 'Kibla' tuparaganyike

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,418
108,518
Kuna Mtu Mmoja kwa mbali anataka Kutuchezea Akili Watanzania akidhani ni 'hamnazo' wakati wenye Akili tumeshamshtukia kuwa ni Mdau wa Utamaduni wa Mwafrika ambao kwa uelewa wangu kwa 85% unahusisha mno Uchawi (Ushirikina) hivyo basi anataka Kulilazimisha hili Ubongoni mwetu ili awe Huru nalo na safari ya 2021 hadi 2025 na ile ya 2025 hadi 2030 iwe njema na kusiwe na matatizo (makwamo) yoyote.

Tanzania inahitaji mno Critical Thinkers.
 
Kuna Mtu Mmoja kwa mbali anataka Kutuchezea Akili Watanzania akidhani ni 'hamnazo' wakati wenye Akili tumeshamshtukia kuwa ni Mdau wa Utamaduni wa Mwafrika ambao kwa uelewa wangu kwa 85% unahusisha mno Uchawi ( Ushirikina ) hivyo basi anataka Kulilazimisha hili Ubongoni mwetu ili awe Huru nalo na safari ya 2021 hadi 2025 na ile ya 2025 hadi 2030 iwe njema na kusiwe na matatizo ( makwamo ) yoyote.

anatafta kuonekana anapendwa kinguvu
 
Hii kitu Baba wa Taifa alilifutilia mbali ajabu vyama vya siasa na viongozi wa dini wako kimya tu hata ndani ya chama chake inabidi wamkemee kwa kweli.anavuka mipaka.
 
GENTAMYCINE siliafiki na likemewe upesi sana na Watanzania wote wenye Akili Kubwa kwani ukiliangalia kwa Darubini Kali lina 'impact' mbaya kwa Kizazi cha sasa, kijacho na hata kwa Ustawi mzima wa Mama Tanzania na Maadili yake.
 
Nakuunga mkono kwa juhudi zako kuona huu ujinga huijirudii tena.jambo la aibu sana na hili huwa linatumiwa na wanasiasa waliofilisika kimawazo na kisiasa.Sijui Baba wa Taifa ana hali gani huko aliko.Big up mkuu kwa kuliona hilo.
 
Hili ni Tusi sana kwa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu ( Poti na Mwetu wangu wa Kizanaki ) Julius Kambarage Nyerere.

Kuna Watu wanaitafuta LAANA yake tu.
 
Back
Top Bottom