MchunguZI
JF-Expert Member
- Jun 14, 2008
- 4,009
- 2,171
Nimewahi ambiwa kwamba Z'bara wanapenda sana kuwa waarabu na wanafanyiwa sherehe za kuwa waarabu. Binadamu wa kiwango hicho kwa hiari yake, lazima ana tatizo la msingi kijamii. Upende usipende, nchi inayoyoma bila mkuu wa nchi kujitambua.
Tabia hii imekuwa ni sugu, kwamba wa-Zbar wanajiona siyo wa-TZ, ni Wa-Zbar na hivyo wanataka stahili kama wanzanzibari na siyo kama wa-TZ. Tabia hii iko hadi kwa waliosoma. Wanaamini hata muungano ukivunjika, wapo waarabu wataleta neema. Tabia ya kusubilia waarabu inawafanya wajione wanazibiwa nafasi. Sasa kinachojitokeza ni rais toka Z’bar kuona huu ndo muda wake wa kuipa nafasi ya kubweteka Z’bar. Pesa inakopwa na kuigawia Z’bar bila hata plan ya kulipa.
Visiwa vya watu milioni 1 sasa vinapewa pesa za kutumia hovyo wakati Tanzania kama nchi inahangaika na population ya watu milioni 65. Bahati mbaya Tanzania bara tunashangilia eti Samia anatuletea maendeleo. Yapi? Wakati anahangaika kutoa shukrani kwa wanzanzibari wenzake anaoamini wanaonewa! Ajabu tena, hao waarabu wanaotumainiwa kuisaidia Z’bar, sasa wako nchini wakihangaika kuchota mali za nchi. Mikataba mingi sasa wanapewa waarabu, na ukiwagusa unaambiwa wewe unajiandaa na uchaguzi wa 2025, kwani kujiandaa ni kosa?
Rais Samia ameshindwa kuachana na tabia ya ki-Zanzibari na anatupeleka njia ya hovyo. Tusioamini subilini mujionee teuzi mpya alizotishia mawaziri.