mwafrika

No Wikipedia entry exists for this tag
 1. KHM 1995

  Falsafa za Muafrika katika uwanja wa kalamisine etihad

  Falsafa ni kitu cha msingi kwa mwanadamu. Falsafa inamtengenezea mtu platform ya kuwin challenge yoyote inayomuijia mbele yake,maana tunaamini njia bora zaidi kuishinda changamoto ni kuifata ili upambane nayo,maana ukiikimbia itabaki vile ilivyo na bado itakufukuzia kwa nyuma hadi ikupate...
 2. TheDreamer Thebeliever

  Kama ulikuwa haujui Abdulhazak Gunah ni mwafrika wa tano kushinda Nobel Prize ya Literature.Na hii ndio list ya waafrika waliowahi shinda Nobel Prize

  Habari wadau..! Kama ulikuwa haujui Abdulhazak Gunah ni mwafrika wa tano kushinda Nobel Prize ya Literature.
 3. Sky Eclat

  Hivi ndivyo gazeti la Mwafrika lilivyochapisha harakati za Uhuru 1959

  Little we knew that the Freedom will be for the few TANU, CCM and Afro Shirazi Party elites.
 4. Sandali Ali

  Kwenye suala zima la mapambano dhidi ya COVID 19 nimejikuta najuta kuwa Mwafrika

  Habari za mchana ndugu! Huku mataifa makubwa madaktari wakibishana kupigania chanjo walizozigundua huku madaktari wetu wako kimya. Ok hiyo sio issue sana maana hata huko nje wapo madaktari ni mizigo pia. Issue inayonifanya nijute ni sisi waafrika kutwakutwa kujazana upepo kuwa chanjo za...
 5. Big Eagle

  Gazeti la Mwafrika 1959

  Itokee sasa gazeti lichapishe maudhui yanayofanana na haya itakuaje? Bado eti kunawatu wanasema wazungu ni watu wabaya.
 6. Mwanamayu

  Hii ndio nia haswa ya wazungu kwa Mwafrika na Mtanzania - tuamke hasa kiakili!

  Huyo mama wa kizungu anaonesha mtazamo wa wazungu walio wengi dhidi ya Afrika, ingawaje hata huyo mtoa mada ni mzungu. Lakini, mtoa mada inaonekana anaongea hivyo baada ya nchi yake, Ugiriki, kupigika kiuchumi. Mama huyo anahofia maisha yao ya mbeleni endapo Afrika itaamka kiakili, kiuchumi, na...
 7. Maghayo

  Video: Boss mchina apokea mkong'oto kutoka kwa mfanyakazi mwafrika

 8. Ora_Et_Labora

  Mvinyo wa Jack Daniels uligunduliwa na Mwafrika

  Ukitazama vyema picha hii, utagundua kuna mtu mmoja tu mweusi (Muafrika). Huyo ndiye Nearest au “Master Distiller” kwa jina maarufu. Alizaliwa wakati wa utumwa mnamo huko nchini Marekani 1820. Huyu bwana ndio mwalimu aliyemfundisha Jack Daniels jinsi ya kuchakata mvinyo huo. Ilikuwaje? Jack...
Top Bottom