Search results

  1. Chee4

    Ikigundulika kesi ya Mbowe haina uhalisia, taifa letu tutaingia kwenye mgogoro

    Kweli kabisa wafuasi wake wanapenda sana shari na uchochezi. Wanahamasisha watu kuandamana wakati wao wanamaisha mazuri. Lissu yupo huko nje ya nchi anataka kuvunja amani ya nchi
  2. Chee4

    Rais Samia anakuza utalii wetu kupitia 'The Royal Tour’

    Kweli kabisa tunatendewa wema lakini siku zote hatuna shukrani, cjui nini tufanyiwe sisi watanzania turidhike
  3. Chee4

    Rais Samia anakuza utalii wetu kupitia 'The Royal Tour’

    Rais wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameanza kurekodi kipindi maarufu cha 'The Royal Tour' kwa lengo la kuitangaza Tanzania kwenye Sekta ya Utalii, Biashara na Uwekezaji. Faida ya Mhe. Rais kurekodi Kipindi cha 'The Royal Tour' ● Kipindi kitarushwa kwenye Mabara na Nchi Kubwa kama...
  4. Chee4

    Kama ulinunua Gari kabla ya Kujenga nyumba ya kuishi, hili la kulipa kodi ya jengo kwa njia ya LUKU, Halikuhusu, Kaa Kimya

    DAda zangu wa mjini nawapa angalizo, Kama boyfriend wako aliwahi kukuambia kajenga nyumba kijijini kwao ambayo hujawahi kuiona, halafu leo kwa namna yoyote ile umemsikia au umemshudia akilalamika kuhusu kulipa kodi ya majengo kwa LUKU, achana nae, hana nyumba huyo. ALIKUDANGANYA. Kwanini nasema...
  5. Chee4

    Anaandika Humprey Polepole kuhusu Salamu alizotuma Mbowe kutoka Gereza la Ukonga

    Nilipokuwa Katibu Mwenezi wa CCM tuliwaambia watanzania wawe makini na CHADEMA, tuliwaambia wawe makini na chama kinachoendeshwa kisanii kwa hoja mpechempeche na propaganda nyepesi, muda ni mwalimu mzuri, leo ukweli unajianika na CHADEMA wanaumbuka. Chama kimepoteza mvuto, Press zisizo na tija...
  6. Chee4

    Rais Samia ni Mwanamikakati, anasafiri kimkakati

    Nimekuwa natafakari sana kauli aliyosema Rais Samia Hassan wakati akihutubia wazee wa Dar es salaam siku chache zilizopita kuwa ataanza safari za kujitambulisha kwa majirani zetu bila kupata jibu. Sasa jibu nimelipata, kumbe Rais Samia ni mwanamikakati na mchumi mzuri sana anasafiri kimkakati...
  7. Chee4

    Baadhi ya Vijana CHADEMA wamtaka Mbowe kujiuzulu; kesi ya ugaidi inamuondolea sifa ya kuwa kiongozi wa kisiasa

    Hivi karibuni tumeshuhudia wimbi kubwa la vijana wa CHADEMA nchini wakitofautiana kabisa na mawazo ya mwenyekiti wao wa Taifa, hii inakuja baada ya vijana hao kuona kuna haja ya Chama hicho kuanza kujitafakari chenyewe kwanza kabla ya kuanzisha vuguvugu la kudai katiba mpya ya nchi nzima. Suala...
  8. Chee4

    CHADEMA wazidi kuvurugana; CHASO Iringa watoa msimamo mkali kuhusu Katiba Mpya

    Katika hali isiyo ya kawaida vijana wa chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) kutoka mkoa wa Iringa wametoa tamko kali kuhusu suala la mchakato wa katiba mpya, mchakato ambao wao kama chama ndiyo wameushikia kidedea licha ya mh Rais kuonesha nia na kwamba wampe muda kwasababu kwanza ndiyo...
  9. Chee4

    #COVID19 Watanzania msikilizeni Rais Samia kuhusu chanjo

    Mbona hata zile barua za operation mgonjwa anasign kabla ni zimeandikwa kingereza
  10. Chee4

    #COVID19 Watanzania msikilizeni Rais Samia kuhusu chanjo

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amewahakikishia Watanzania kuwa chanjo ni salama na kamwe hawezi kuwaletea chanjo ambayo ina madhara kwa kuwa yeye ni Kiongozi Mkuu wa Nchi anayejali afya za wananchi wake. Rais Samia ameyasema hayo wakati akipata chanjo ya...
  11. Chee4

    Kwani Mbowe hawezi kuwa Gaidi? Sura ya gaidi inafananaje?

    Kumekuwa na nguvu kubwa sana kutoka ndani na nje ya nchi kuhusu kukumatwa kwa Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe kwa tuhuma za ugaidi nchini Tanzania. Vyombo vya habari vya nje mfano BBC, Aljazeera, VOA na vingine vingi na magazeti mbalimbali ya mtandaoni yamekuwa mstari wa mbele kulaumu kuwa...
  12. Chee4

    Tozo za miamala ya simu ni mkakati wa kurejesha pesa mtaani

    Baada ya kilio cha muda mrefu cha juu ya kutokuwepo kwa Pesa mfukoni mwa wananchi, Serikali ya Awamu ya Sita imeanza kulishughulikia tatizo hilo. Kwa kutumia tozo za miamala ya simu na mafuta Serikali imeshazipeleka kwenye utekelezaji wa miradi ya Barabara Vijijini pamoja kulipa madeni ya...
  13. Chee4

    Watanzania amkeni lipeni kodi kwa maendeleo yenu wapuuze wachumia tumbo

    Kuna Msemo usemao Roma Haikujengwa kwa Siku moja. Msemo huu inaonekana wengi huwa hawauelewi. Msemo huu pamoja na tafsiri nyingi unaimanisha kuwa Uzuri wa Roma katika kila nyanja ulichukua muda mwingi kujengwa kupitia kodi na nguvu nyingi za watu wa taifa ile. Nimeona nianze na msemo huu...
  14. Chee4

    Tozo mpya ya mafuta na simu zaleta ukombozi vijijini

    Tozo mpya iliyoanzishwa na Serikali ya Awamu ya Sita kupitia mitandao ya simu na mafuta katika vyombo vya usafiri, zinaenda kuwanufaisha wananchi wa vijijini kwa kufungua mtandao wa barabara vijijini. Waziri wa Nchi Ofisi Rais Tamisemi (OR-TAMISEMI), Mhe. Ummy Mwalimu (Mb) amesema hayo wakati...
  15. Chee4

    Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Siku za karibuni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan Amekuwa akisema na kusisitiza kuwa Tanzania kupitia mapendekezo ya wataalamu wa Afya Nchini,Serikali ya Tanzania imeamua kupokea chanjo ya Ugonjwa wa Corona au COVID19 ikiwa ni njia mojawapo na sahihi ya kupambana...
  16. Chee4

    Waziri Mwigulu: Makato ya Miamala ya Simu tunatunisha mfuko, ni 'Solidarity Fund'

    Serikali ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan imedhamiria kuendelea kuiunganisha nchi kwa kutengeneza miundombinu mipya ya barabara katika maeneo yasiyofikika ambayo kwa asilimia kubwa yapo vijijini. Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba amesema ili kuhakikisha kwamba lengo la Mhe...
  17. Chee4

    Waziri Mwigulu: Makato ya Miamala ya Simu tunatunisha mfuko, ni 'Solidarity Fund'

    Serikali ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan imedhamiria kuendelea kuiunganisha nchi kwa kutengeneza miundombinu mipya ya barabara katika maeneo yasiyofikika ambayo kwa asilimia kubwa yapo vijijini. Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba amesema ili kuhakikisha kwamba lengo la Mhe...
  18. Chee4

    Watanzania wafurahia kauli ya Rais Samia kushughulikia uchumi kwanza kabla ya Katiba Mpya

    Watanzania kutoka maeneo mbalimbali wamefurahishwa na hatua ya Mhe. Rais wa Samia Suluhu Hassan, juu ya jitihada zake za kuhakikisha anainua uchumi wa Watanzania na akisisitiza suala la Katiba Mpya apewe muda kidogo. Watanzania hao kutoka mikoa mbalimbali ikiwemo ya Arusha, Mwanza, Dar es...
  19. Chee4

    Rais samia: Siku 100 za suluhu na uwekezaji ana ya uwekezaji

    Siku 100 za uongozi sio kipimo sahihi cha kumpima mtu hasa kiongozi kwa nafasi kubwa kama ya Urais kwenye kusimamia na kutekeleza majukumu, lakini zinatosha sana kupima Nia na dhamira yake kwa Taifa. Ndani ya siku 100 Rais Samia ameweza kuitisha vikao na wawekezaji wa ndani na nje nchi...
Back
Top Bottom