Search results

  1. MenukaJr

    Udhaifu wa mapendekezo ya CHADEMA kuhusu Katiba Mpya

    Katika chapisho la kwanza nilieleza namna mapendekezo ya Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa CHADEMA yasivyoweza kutupatia Katiba mpya, bora na shirikishi kama alivyosema. Kwa ajili ya kumbukumbu, Freeman Mbowe alisema kuwa Rais aunde Tume huru ya Katiba. Tukamwambia haiwezekani, swala la Tume ya...
  2. MenukaJr

    Tatizo la Tanzania sio Katiba Mpya bali utii wa Katiba iliyopo

    Mjadala wa madai ya Katiba mpya unaendelea kushika hatamu. Baadhi yetu wanadai kuwa nchi inahitaji Katiba mpya, wanatoa sababu zao. Madai yao ni ya kuheshimiwa kwa sababu ni haki yao lakini ni yenye kustahili kusahihishwa kwa sababu si ya kweli. Ni uongo! Kwa ajili ya kumbukumbu, nimekusudia...
  3. MenukaJr

    CHADEMA, Askofu Mwamakula hawakijui wanachokidai

    Ukiwasikiliza CHADEMA katika madai yao ya Katiba mpya, utakubaliana nami kuwa hawana wanachokijua kuhusu madai yao au hawako serious na wanachokidai. Wote Viongozi na Wanachama wanaimba wimbo wasiouelewa mtiririko na mwisho wake. Wanaimba tu, ilmradi wasikike. Wanapoteza muda! Ili kuthibitishia...
  4. MenukaJr

    Chalamila alipotoshwa, Mhandisi Gabriel usikubali

    Mhandisi Robert Gabriel karibu Mwanza. Wenyewe tunaita Rock City, Jiji la Miamba. Wewe sio mgeni Kanda ya Ziwa, unatufahamu. Bado tunaimba na kuomboleza! Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Albert Chalamila alipotoshwa na yeye akapotosha umma, wewe usirudie kosa hilo. Tafuta chapisho langu la...
  5. MenukaJr

    Kuhusu Corona, Serikali isiturudishe nyuma

    Taarifa ya Msemaji Mkuu wa Serikali iliyotolewa tarehe 05 June, 2021 imebainisha kwamba Rais wa JMT amepokea tayari taarifa mbili kutoka katika Kamati aliyoiunda kwa ajili ya kufuatilia na kuishauri Serikali namna ya kupambana na gonjwa la corona. Taarifa ya kwanza ilikua ni yenye maoni ya namna...
  6. MenukaJr

    Rais wangu Samia, ukifungua milango usiondoe pazia!

    Rais wangu, nimekusudia kuendelea kukuandikia kwa nguvu zangu zote. Ninafanya hivi kwa utambuzi kuwa haya ndio mapenzi yangu kwako, ndio wajibu wangu wa msingi kama Mwana-CCM na Mwananchi mwema wa Tanzania. Wakati wa JPM nilifanya kazi hii kwa kiwango kizuri, licha ya masimango niliyoyapitia...
  7. MenukaJr

    Mwanza: RC Chalamila anapotosha au amepotoshwa?

    Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Albert Chalamila ametangaza ziara ya Rais wa JMT katika Mko wa Mwanza itakayofanyika kuanzia tarehe 13 hadi 15, Mkoani Mwanza. Katika ziara hiyo, RC Chalamila amesema Rais Samia Suluhu pamoja na mambo mengine atatembelea na kufungua kiwanda cha usafishaji (uchenjuaji)...
  8. MenukaJr

    Mapungufu ya Taarifa ya Utendaji wa siku 78 za Rais Samia Ikulu

    Maoni yangu: Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa ametoa taarifa ya utendaji wa Serikali kwa siku 78 za Rais Samia Suluhu ofisini-Ikulu. Pamoja na mambo mengi mazuri, taarifa hiyo ina mapungufu kadhaa kwa maoni yangu, kama ifuatavyo: 1. Mkataba wa Gesi Da'slam-Mombasa Taarifa ya Msemaji...
  9. MenukaJr

    Rais Samia Suluhu tumsamehe Sabaya, inatosha

    Rais wangu, maelezo haya hayakusudii kukushawishi kuharibu utawala wa sheria wala kuingilia shughuli za Mahakama. Hayakusudii kukwamisha uchunguzi uliobakia, unaondelea isipokuwa kuweka kumbukumbu za matendo MEMA machache ya watu waovu. Biblia inasema; Mtume Paulo alikua jambazi, haramia na...
  10. MenukaJr

    #COVID19 Chanjo ya COVID-19: Tuchague kusuka ama kunyoa

    Serikali kusema uongo ni kosa. Kamati inayoundwa na Rais wa nchi nzima kusema uongo ni kosa zaidi. Nchi haiwezi kuendeshwa kwa kusema uongo au kupumbaza watu. Chanjo ya korona, tuchague moja. Kusuka ama kunyoa!! Kama haina madhara, ni ya ufanisi kama ilivyopendekezwa na Kamati tuichukue. Kama ni...
  11. MenukaJr

    Wanaopinga kuanzishwa mkoa wa Chato hawana hoja

    Hoja kama NNE hivi zinatumiwa na watu wenye kupinga Chato kufanywa Mkoa. Bahati mbaya kwao, HOJA zote ni dhaifu. Kwa sababu hiyo, Chato isipokuwa Mkoa ni kwa sababu mwenye mamlaka (Rais) hapendi kuifanya kuwa Mkoa sio kwa sababu haina sifa. Chato ina sifa za kuwa Mikoa miwili sio mmoja. Hoja...
  12. MenukaJr

    Uteuzi wa Makatibu Tawala Mikoa, Rais Samia amesahihisha makosa

    Taarifa iliyotolewa na Ikulu ya Da'slama imeeleza kuwa Rais wa JMT amefanya uteuzi wa baadhi ya Makatibu Tawala wa Mikoa, amewahamisha wengine na baadhi kuwabakisha katika vituo vyao vya kazi. Kwa taarifa hiyo, Rais amewateua Makatibu Tawala wapya kabisa, amewahamisha vituo vya kazi Makatibu...
  13. MenukaJr

    Tofauti kati ya CCM Digital na Chadema Digital

    Mwenyekiti wa CHADEMA-Taifa, Freeman Aikael Mbowe amezindua mfumo wa kidigital kwa ajili ya shughuli za Chama chao. Mfumo wa kidigital unasaidia kutunza kumbukumbu za Wanachama, kuratibu malipo ya ada za uanachama kwa urahisi pamoja na kurahisisha mfumo wa taarifa kutoka katika Chama kwenda kwa...
  14. MenukaJr

    Freeman Mbowe anamjaribu Rais Samia kwa sababu hizi...

    Freeman Aikael Mbowe, Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa akiwa Arusha licha ya kutumia muda mwingi kumsimanga JPM, ambaye hawezi kujitetea tena amemjaribu Rais Samia Suluhu Hassan. Freeman Mbowe amesema kuwa Chama chake hakitashiriki uchaguzi wowote kuanzia sasa hadi pale itakapopatikana Katiba mpya...
  15. MenukaJr

    Rais Samia ingilia kati, TRA watatukwamisha

    Rais wangu, ukipata nafasi mwite ofsini Kamishna wa TRA nchini, Bwana Alphayo Kidata. Muulize katika mwezi April/May ambao yeye amekua ofisini amekusanya mapato kiasi gani. Akikupa hesabu linganisha na mwezi wowote katika mwaka wowote unaoutaka wewe. Achana na miaka ya JPM ambayo inasemwa kodi...
  16. MenukaJr

    Usisahau kuwa sio kila Kondakta anaweza kuwa Dereva mzuri

    Rafiki. Nakusimulia hadithi niliyopata kusimuliwa miaka mingi kidogo iliyopita. Kwamba, hapo zamani palitokea safari ya wana-familia, kutoka Da'slama kwenda Dodoma. Kama kawaida ya safari zote, safari ilianza kwa furaha na matumaini makubwa. Halafu ikatokea bahati mbaya kwao safari ikamalizika...
Back
Top Bottom