chadema digital

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Erythrocyte

    Freeman Mbowe kuongea na Waandishi wa Habari kwenye ofisi za Makao Makuu Mapya ya Chama Mikocheni

    Mwamba wa Siasa za kisasa kwenye eneo la Maziwa Makuu ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chadema ambacho ni Chama kinachoungwa mkono na watu wengi zaidi nchini Tanzania, huku takwimu zikionyesha kwamba kina wanachama hai zaidi ya mil 15, atazungumza na Waandishi wa Habari wa Kimataifa na wa ndani ya...
  2. Erythrocyte

    Mbeya: CHADEMA Digital yatikisa, Wazee kwa Vijana wamiminika kujisajili

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema , Joseph Mbilinyi, leo ameongoza Kampeni Kabambe ya Kusajili wanachama wapya kwa njia ya kisasa ya Mtandao (Chadema digital) Umati Mkubwa uliojitokeza unaonyesha kwamba CHADEMA ndio chama kilichobeba matumaini ya wananchi , Sugu na timu yake ni dhahiri kwamba...
  3. Erythrocyte

    Chadema Digital yatikisa Mbarali, CCM yaanza kupagawa

    Tulionya mapema sana kwamba , huu mpango wa Chadema wa kusajili watu nyumba kwa nyumba , na huku wengine wakifuatwa hadi mashambani utakuja kuleta mtikisiko , hiki ndicho kilichotokea huko Mbarali . Kipo chama kinaanza kuweweseka kwamba Chadema Digital isifanyike wakati wa kazi au Week end ...
  4. Erythrocyte

    Mbarali: CHADEMA Digital yaambatana na nyama choma

    Katika oparesheni kabambe inayoendelea ya kutokomeza CCM Mbarali , kikundi cha Diaspora kikiongozwa na TL Marandu kimenunua Zizi la Mbuzi kwa ajili ya nyama choma ya Watenda kazi hiyo ya kuteketeza ccm , kazi inayoongozwa kikamilifu na Liberatus Mwang'ombe. Wakati CCM wakilogana kugombea nafasi...
  5. mr mkiki

    UTV wamehoji Rubani mmoja ametoa picha tofauti kabisa na kudai hakuna muongoza ndege zaidi ya kutegemea yule wa Mwanza.CCM hawana nia njema na raia

    Hii nchi kuna sehemu tulimkosea sana Mungu au Mungu anatuonyesha mwanga lakini watanzania tumelala? Ni njema kwa Mungu ni lazima tuelewe, CCM wamechoka JAMANI. Nitaeleza mambo mawili,moja hii la ndege na la mwisho wastaafu wa TZR na URAFIKI. Inawezekanaje tusimalize hili jambo na kujipanga kwa...
  6. I

    SoC02 One Year of Tanzanian President Hassan: What’s Changed

    March 19, 2022, marks the one-year anniversary of Tanzanian president Samia Suluhu Hassan’s inauguration. As the country’s former vice president, Hassan became the constitutionally mandated successor of late president John Magufuli after he allegedly died from Covid-19 in early March 2021. Her...
  7. Erythrocyte

    CHADEMA Digital yavunja rekodi Kanda ya Pwani, Kitita cha mauzo ya kadi chafikia 200% ya makadirio

    Hii ndio taarifa iliyofichuka kwenye hafla ya kukabidhi kadi za Premium iliyopewa jina la Jubilant, kwa wanachama wa Kanda ya Pwani, inayorindima leo hii, hapa pana mkusanyiko wa kadi za Gold , Platnum na Diamond. Makadirio ya awali yalikuwa kukusanya Tsh mil 7 tu, lakini sasa Makusanyo...
  8. J

    CHADEMA Digital na kadi za Papo kwa hapo za Augustino Mrema kuna tofauti gani?

    Naomba kuelimishwa kuhusu hii mnayoita Chadema Digital ni nini hasa? Je, mmewaiga CCM ambao wanasajili wanachama wao kwa njia ya mtandao tokea enzi za hayati Magufuli? Au mmeiga ile style ya Augustino Lyatonga Mrema ya kadi za papo kwa hapo? Majawabu Tafadhali. Maendeleo hayana vyama!
  9. Mto wa mbu

    CHADEMA Digital ni successful plan ambayo hata CCM mnaweza kuiga

    Hawa Chadema sahivi wanakaba hatari[emoji1]. Wametawanya viongozi wao kitaifa, viongozi wa Bavicha, viongozi wa Bawacha nchi nzima kusajiri wanachama wao kwa njia ya kidigitali, whatever we like or not Chadema wamefanikiwa saana kwa hilo. Kusajili watu ata 5m kwenye database yako sio mchezo...
  10. Erythrocyte

    Picha: Chadema Digital kafika Kahama, Shinyanga

    Mambo yanaendelea kwa kasi ya hatari sana , hivi ndivyo ilivyokuwa Kahama Mjini Mjumbe hauawi.
  11. Erythrocyte

    Picha: Chadema Digital yafika Malinyi, Morogoro

    Pamoja na kwamba huu ni msimu wa kilimo lakini Wananchi waliamua kusitisha kulima kwa muda kwa ajili ya Uhai wao, ikumbukwe kwamba siasa ni Uhai.
  12. Erythrocyte

    Sasa ni dhahiri kwamba CHADEMA Digital yaanza kusambaratisha upande wa pili

    Imefahamika sasa kwamba kazi ya Kitume inayofanywa na Chadema ya kusajili wanachama wake kwa njia ya kisasa iitwayo Chadema Digital ni kama MHURI WA MOTO, ni alama isiyofutika, iko kama chanjo ya NDUI, kila anayejisajili anahisi kama sasa ndio kapewa Uraia wa Tanzania. Njama zote za kishamba za...
  13. Erythrocyte

    Picha: Semina za CHADEMA Digital zaendelea huko Solwa, Shinyanga

    Wakuu kwanza tunaomba radhi sana kwa kuwachosha na hizi habari zetu za Chadema Digital, tunaomba tuvumiliane kidogo. Hapa ni kijiji cha Mwantini kwenye Jimbo la Solwa huko Shinyanga ambako semina za Chadema Digital zinaendelea.
  14. Erythrocyte

    Tazama msururu wa Usajili wa CHADEMA Digital huko Rukwa

    Hii ndio Chadema na hapa ni Nkasi huko Rukwa leo tarehe 25/10/2021 , msululu huu ni wa wananchi walioamka alfajiri kupanga mistari mirefu ili kupata usajili wa Chadema digital . Ni zaidi ya vitambulisho vya Nida.
  15. Erythrocyte

    Iringa: CHADEMA Digital yashika kasi

    Usajili wa wanachama wapya kwa ile njia ya kisasa iitwayo CHADEMA DGITAL Mkoani Iringa unaendelea kwa kasi ya Kutisha, Lakini bila kelele yoyote ile, ni mwendo wa kimya kimya tu. Jambo la kufurahisha ni kwamba vibanda vya usajili huo, pia vimekuwa sehemu ya uhamasishaji wa Chanjo ya UVIKO-19
  16. Erythrocyte

    Pamoja na wanayotendewa, wanachama waendelea kujisajili kupitia Chadema Digital

    Huu ni mkusanyiko wa wananchi wa kata ya Utengule huko Mlimba wakisubiri kusajiliwa kwa njia ya kisasa ya Chadema digital. Tunawasisitiza waratibu wa mambo haya kuhakikisha tahadhari dhidi ya corona inachukuliwa ili kulinda afya za wanachama wetu, ni muhimu sana kuchukua tahadhari hiyo hasa...
  17. Erythrocyte

    Usajili CHADEMA Digital wapatikana nchi nzima, vibanda vya kusajili vyasambazwa

    Hii ndio taarifa mpya kwenda kwa Watanzania, ukitaka kadi ya kidigitali ya CHADEMA, ambacho ni miongoni mwa vyama vichache vya kisiasa vya kisasa zaidi barani Afrika kwa sasa, huna haja ya kulipa nauli hadi kwenye miji mikubwa ili kupata huduma hiyo. Huduma imesambazwa kila mahali hadi vijijini...
  18. stakehigh

    Kwenu CHADEMA Digital

    Hii ndo first impression ya chadema digital app, namwona harmonize na taarifa za kuacha kazi nkaona nsiishe apa, first impression ndo kila kitu, i decided to reverse engineer app nzima -- hizi ni baaadhi ya mafile kwa haraka haraka baada ya reverse engeneering app nzima ya chadema digital...
  19. Erythrocyte

    Nembo ya CHADEMA digital yawavutia wengi

    Sijajua hiki Chama kinatumia wabunifu gani kwenye masuala yake , bali itoshe kusema ina watu makini mno ! Unajua kitu cha kwanza kwenye jambo lolote linaloletwa kwa mara ya kwanza kwa watu kwa ajili ya kulitambulisha ni MVUTO . Kwenye kipengere hiki CHADEMA nimewavulia kofia , hivi...
Back
Top Bottom