CHADEMA, Askofu Mwamakula hawakijui wanachokidai

MenukaJr

Member
Apr 24, 2021
50
128
Ukiwasikiliza CHADEMA katika madai yao ya Katiba mpya, utakubaliana nami kuwa hawana wanachokijua kuhusu madai yao au hawako serious na wanachokidai. Wote Viongozi na Wanachama wanaimba wimbo wasiouelewa mtiririko na mwisho wake. Wanaimba tu, ilmradi wasikike. Wanapoteza muda!

Ili kuthibitishia kwamba CHADEMA na washirika wao hawajui wanachokidai, nitatumia HOJA mbili za Freeman Mbowe alizozitoa wakati akitoa mapendekezo ya Chama chake, katika kongamano la Katiba la BAVICHA. Freeman alitoa mapendekezo mawili ya namna ya kuipata Katiba mpya, shirikishi na iliyo bora.

1. Rais aunde Tume huru ya Katiba itakayoanza kazi yake kwa kuchukua Rasimu ya Warioba na Katiba pendekezwa kisha kupunguza tofauti ya maoni iliyopo kisha kupata rasimu ya kupelekwa katika Bunge Maalum la Katiba.

Freeman Mbowe kwa vyovyote hajui anachokitaka, CHADEMA hawajui wanachokidai. Pendekezo hili la CHADEMA likichukuliwa kama lilivyo, maana yake mchakato wa Katiba utafuata sheria ya mabadiliko ya Katiba sura ya 83 ya mwaka 2012. Katika sheria hii, hatua zilizoainishwa kwa ajili ya mchakato wa kuipata Katiba mpya hakuna hiyo hatua anayoitaka Freeman Mbowe ya kuchukua Rasimu ya Warioba na kulinganisha na Katiba inayopendekezwa haipo. Sheria inataka, baada ya Rasimu ya Warioba, hatua inayofuata ni Bunge Maalum la Katiba. Hakuna nafasi nyingine, ya kufanya lolote sio tu kulinganisha hata kupunguza. Hakuna!! Huyu naye ni Mwenyekiti wa Chama kikubwa cha upinzani katika nchi nzima asiyejua lolote kuhusu sheria ya mabadiliko ya Katiba anayoidai. Nadhani hata Rais atayadharau mapendekezo haya kwa sababu hayatekelezeki, hayapo. It's only nonsese, rubish.

2. Freeman Mbowe amesema kuwa, baada ya kuchukua Rasimu ya Warioba na kulinganisha na ile Katiba inayopendekezwa (ambavyo haiwezekani), kitakachotokea (ambacho hakijulikani kitaitwaje) kipelekwe katika Bunge Maalum la Katiba (BMK) ambalo kwa mapendekezo yake halipaswi kuwa lile lililotumika mwaka 2014 au hili la sasa.

Freeman Mbowe hajui anachokitaka, hajui kwamba sheria ya mabadiliko ya Katiba Sura ya 83 ya mwaka 2012 (kifungu cha 22(1)) imeanisha wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba na wajumbe wake. Sheria inataka Bunge Maalum la Katiba kuundwa na wajumbe wafuatao;

i). Wabunge wote wa Bunge la JMT.

ii). Wabunge wote wa Baraza la Wawakilishi la Zanzibar, na;

iii). Wajumbe 166 kutoka katika asasi zisizo za kiserikali, vyama vya siasa na makundi maalum kama wakulima, wafugaji, walemavu nk.

Hivi ndivyo sheria ya mabadiliko ya Katiba inataka, hicho anachokisema Freeman hakipo. Freeman Mbowe na CHADEMA kwa sababu hawajui wanachokitaka na jinsi ya kukipata wanakubaliana na sheria lakini hawataki kuifuata. Wanataka Bunge la Katiba la tofauti na matakwa ya sheria ambalo hata hivyo hawajaeleza linatakiwa kuwaje. Unapendekeza Bunge ambalo huelezi muundo wake, nonsese! Mtu asiyejua anachokiongea huongea mambo nusunusu kama Freeman Mbowe. Hili pendekezo nalo haliwezekani, halipo ni la kupuuzwa. Freeman Mbowe na CHADEMA hawakijui wanachokidai.

Kuhusu Askofu Mwamakula, mwambieni asome Warumi 13:1-2. Na hilo ndilo neno la Bwana!!
MenukaJr.
#FikraHuru.
 
Ukiwasikiliza CHADEMA katika madai yao ya Katiba mpya, utakubaliana nami kuwa hawana wanachokijua kuhusu madai yao au hawako serious na wanachokidai. Wote Viongozi na Wanachama wanaimba wimbo wasiouelewa mtiririko na mwisho wake. Wanaimba tu, ilmradi wasikike. Wanapoteza muda!!

Mbona umeandika kupitia mgongo wa Askofu Mwamakula badala ya kuandika kwa jina lako ?
 
Sasa wewe kwa akili yako hiyo sheria hawezi kufanyiwa Amendiment?
 
Wewe mwenyewe hata hujui ulitolewaje marinda.
 
Kama anayoyalilia ni kwa manufaa ya watanzania wote, basi haina shida
 
Back
Top Bottom