Tofauti kati ya CCM Digital na Chadema Digital

MenukaJr

Member
Apr 24, 2021
50
150
Mwenyekiti wa CHADEMA-Taifa, Freeman Aikael Mbowe amezindua mfumo wa kidigital kwa ajili ya shughuli za Chama chao. Mfumo wa kidigital unasaidia kutunza kumbukumbu za Wanachama, kuratibu malipo ya ada za uanachama kwa urahisi pamoja na kurahisisha mfumo wa taarifa kutoka katika Chama kwenda kwa Wanachama.

Wakati CHADEMA wanazindua mfumo wa kidigital leo, CCM wameanza utaratibu huu miaka miwili nyuma. Ni bahati mbaya kwamba CCM hawazungumzi sana mambo haya hivyo CHADEMA kudhani ni wao wameanzisha mfumo huu katika vyama vya Siasa. Ukweli ni kwamba, CCM ndicho chama cha kwanza kuzindua mfumo huu na kuutumia. Hata sasa mafanikio yake ni makubwa!!

Tofauti kubwa kati ya CCM digital na CHADEMA digital ipo katika Usawa wa Wanachama na HAKI za Wanachama kama ifuatavyo;

A: CCM DIGITAL

Wanachama wote ni sawa. Wote wanalipa ada zao za Uanachama kwa usawa, wote wana haki sawa. Kwa CCM hakuna Mwanachama tajiri au masikini, wote wamewekwa katika kapu moja. Masikini na tajiri wote wanalipa ada ya Uanachama ya Tshs. 1,200/= kwa mwaka. Katika CCM hakuna Mwanachama mbora zaidi ya mwingine. Kwa sababu hii, wanachama wa CCM wote wana-hadhi moja hakuna show-off ya uwezo wa mtu kwenye Chama. Wote wana wajibu mmoja na haki zenye kufanana bila kutofautishwa au kubaguliwa kwa hali ya uchumi. Kwa kifupi, hiki ni Chama cha wote, wenye nacho na wasio nacho ndio maana hata ada ya uanachama ni Tsh. 100 kwa mwezi.

B: CHADEMA Digital

Wanachama wanatofautiana. Kuna makundi manne, maskini wa chini, maskini wa kati, matajiri wa kati na matajiri sana. Wanachama katika Chadema digital wanabaguliwa kwa uwezo wao wa kifedha. Wanachama maskini wa chini wanalipa ada ya Uanachama ya Tsh. 2,500/= kwa mwaka. Kadi zao zinaitwa za kwaida, bila shaka hawa watakua wanakaa nyuma mwisho kabisa katika vikao vya Chama. Wanachama maskini wa kati wanalipa ada ya Tshs. 25,000/= kwa mwaka, kadi zao zinaitwa Silver, hawa watakua na manufaa kidogo katika Chama. Matajiri wa chini wanalipa Tsh. 50,000/= kwa mwaka, kadi zao zinaitwa Gold. Hawa watakua na manufaa zaidi ya wale wa Silver. Matajiri wa kati wanalipa Tshs. 100,000/= kwa mwaka, kadi zao zinaitwa Diamond na wale matajiri wa juu wanalipa zaidi ya hapo, kadi zao zinaitwa Platnum. Hawa makundi mawili ya juu watakua na manufaa makubwa sawa na malipo yao. Kila daraja lina faida zake, watakaolipa zaidi ndio wenye kunufaika zaidi na fursa za Chama pamoja na motisha mbalimbali kama uongozi, uteuzi nk. Angalia daraja lako kwa uchumi wako halafu utambue nafasi yako katika Chama. Kwa kifupi, CHADEMA sasa inakwenda kuwa Chama cha matajiri typically.

Maskini wenzangu wa Chadema sahau kuhusu uongozi katika Chama au fursa na nafuu yoyote, mtu hawezi kuacha kumteua katiba Ubunge Mwanachama aliyelipia kadi ya Platnum ya Tshs. 150,000/= kwa mwaka akuteue wewe uliyelipia kadi ya kawaida ya Tshs. 2,500/= kwa mwaka. Sasa ndio unaweza kuona tofauti kati ya CCM na vyama vingine. Hata ningekua mimi ningelipia Diamond au Platnum mapema ili nineemeke!
#SiasaNaBiashara.

MenukaJr,

Da'slam-Tanzania.
 
tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
42,625
2,000
Hiyo ndio maana ya tofauti, je ulitaka cdm waige mambo ya Ccm utofauti utakuwa ni nini sasa? Hata kwenye hizo ndege za Magufuli, kuna madaraja. Hata malipo ya viongozi na wananchi wa kawaida ni tofauti kabisa. Nenda huko bungeni, wabunge wa darasa la saba wanalipwa kuliko madoctor, engineers nk.

Huo usawa unaotaka kusema uko ccm ni wa kinadharia tu, lakini kiuhalisia ni tofauti, ndio maana unaona watoto vwa viongozi ndio wenye uhakika wa kupata vyeo na kazi nzuri nzuri. Cdm wao wameliweka wazi kwani wanafuata mfumo wa kibepari, lakini wenye kutoa haki.
 
MenukaJr

Member
Apr 24, 2021
50
150
Hakuna Ubebari wenye kutenda haki.

Sijui unazungumzia Bunge gani ambalo lina malipo kwa kuzingatia elimu, unaqeza kujiridhisha kwanza.
 
DIUNATION

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
2,433
2,000
Mwenyekiti wa CHADEMA-Taifa, Freeman Aikael Mbowe amezindua mfumo wa kidigital kwa ajili ya shughuli za Chama chao. Mfumo wa kidigital unasaidia kutunza kumbukumbu za Wanachama, kuratibu malipo ya ada za uanachama kwa urahisi pamoja na kurahisisha mfumo wa taarifa kutoka katika Chama kwenda kwa Wanachama.

Wakati CHADEMA wanazindua mfumo wa kidigital leo, CCM wameanza utaratibu huu miaka miwili nyuma. Ni bahati mbaya kwamba CCM hawazungumzi sana mambo haya hivyo CHADEMA kudhani ni wao wameanzisha mfumo huu katika vyama vya Siasa. Ukweli ni kwamba, CCM ndicho chama cha kwanza kuzindua mfumo huu na kuutumia. Hata sasa mafanikio yake ni makubwa!!

Tofauti kubwa kati ya CCM digital na CHADEMA digital ipo katika Usawa wa Wanachama na HAKI za Wanachama kama ifuatavyo;

A: CCM DIGITAL

Wanachama wote ni sawa. Wote wanalipa ada zao za Uanachama kwa usawa, wote wana haki sawa. Kwa CCM hakuna Mwanachama tajiri au masikini, wote wamewekwa katika kapu moja. Masikini na tajiri wote wanalipa ada ya Uanachama ya Tshs. 1,200/= kwa mwaka. Katika CCM hakuna Mwanachama mbora zaidi ya mwingine. Kwa sababu hii, wanachama wa CCM wote wana-hadhi moja hakuna show-off ya uwezo wa mtu kwenye Chama. Wote wana wajibu mmoja na haki zenye kufanana bila kutofautishwa au kubaguliwa kwa hali ya uchumi. Kwa kifupi, hiki ni Chama cha wote, wenye nacho na wasio nacho ndio maana hata ada ya uanachama ni Tsh. 100 kwa mwezi.

B: CHADEMA Digital

Wanachama wanatofautiana. Kuna makundi manne, maskini wa chini, maskini wa kati, matajiri wa kati na matajiri sana. Wanachama katika Chadema digital wanabaguliwa kwa uwezo wao wa kifedha. Wanachama maskini wa chini wanalipa ada ya Uanachama ya Tsh. 2,500/= kwa mwaka. Kadi zao zinaitwa za kwaida, bila shaka hawa watakua wanakaa nyuma mwisho kabisa katika vikao vya Chama. Wanachama maskini wa kati wanalipa ada ya Tshs. 25,000/= kwa mwaka, kadi zao zinaitwa Silver, hawa watakua na manufaa kidogo katika Chama. Matajiri wa chini wanalipa Tsh. 50,000/= kwa mwaka, kadi zao zinaitwa Gold. Hawa watakua na manufaa zaidi ya wale wa Silver. Matajiri wa kati wanalipa Tshs. 100,000/= kwa mwaka, kadi zao zinaitwa Diamond na wale matajiri wa juu wanalipa zaidi ya hapo, kadi zao zinaitwa Platnum. Hawa makundi mawili ya juu watakua na manufaa makubwa sawa na malipo yao. Kila daraja lina faida zake, watakaolipa zaidi ndio wenye kunufaika zaidi na fursa za Chama pamoja na motisha mbalimbali kama uongozi, uteuzi nk. Angalia daraja lako kwa uchumi wako halafu utambue nafasi yako katika Chama. Kwa kifupi, CHADEMA sasa inakwenda kuwa Chama cha matajiri typically.

Maskini wenzangu wa Chadema sahau kuhusu uongozi katika Chama au fursa na nafuu yoyote, mtu hawezi kuacha kumteua katiba Ubunge Mwanachama aliyelipia kadi ya Platnum ya Tshs. 150,000/= kwa mwaka akuteue wewe uliyelipia kadi ya kawaida ya Tshs. 2,500/= kwa mwaka. Sasa ndio unaweza kuona tofauti kati ya CCM na vyama vingine. Hata ningekua mimi ningelipia Diamond au Platnum mapema ili nineemeke!
#SiasaNaBiashara.

MenukaJr,

Da'slam-Tanzania.
Baba yako naye anajisifu anamtoto? Ni bora hata bao lako angelipigia punyeto.
 
MenukaJr

Member
Apr 24, 2021
50
150
Tatizo lako linaweza kuandika bila kufanya utafiti. Ungekua na nafasi, ungefanya utafiti kidogo kisha ukapata cha kuandika. Wewe ulitaka TRA wathibitishe kwamba mtandao wao ni mbovu ikiwa ni matokeo ya uzembe? Acha kupokea taarifa zilizopikwa, nenda field kazitafute zilizo halisi.
 
tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
42,625
2,000
Hakuna Ubebari wenye kutenda haki.

Sijui unazungumzia Bunge gani ambalo lina malipo kwa kuzingatia elimu, unaqeza kujiridhisha kwanza.

Jaribu kuangalia kati ya nchi zilikuwa za ulaya magharibi ambao ni maberi, fananisha na zilizokuwa za ulaya mashariki wapi kulikuwa kuna haki zaidi. Ama fananisha China ya kijamaa na Canada ya kibepari wapi kuna haki zaidi, kisha uje uendelee na hizi propaganda mfu zako.
 
FUSO

JF-Expert Member
Nov 19, 2010
24,332
2,000
Uanachama ni hiari ya mtu, kama mlifikiri mtaidhoofisha CDM sababu ya Ruzuku ishalamba kwenu!! Bakini ya mabilion yenu mnayopewa na hazina kila mwezi - CDM hao wanapaa!! Nguvu ya wananchi achana nayo kabisa!!
 
Babati

JF-Expert Member
Aug 7, 2014
49,119
2,000
Mwenyekiti wa CHADEMA-Taifa, Freeman Aikael Mbowe amezindua mfumo wa kidigital kwa ajili ya shughuli za Chama chao. Mfumo wa kidigital unasaidia kutunza kumbukumbu za Wanachama, kuratibu malipo ya ada za uanachama kwa urahisi pamoja na kurahisisha mfumo wa taarifa kutoka katika Chama kwenda kwa Wanachama.

Wakati CHADEMA wanazindua mfumo wa kidigital leo, CCM wameanza utaratibu huu miaka miwili nyuma. Ni bahati mbaya kwamba CCM hawazungumzi sana mambo haya hivyo CHADEMA kudhani ni wao wameanzisha mfumo huu katika vyama vya Siasa. Ukweli ni kwamba, CCM ndicho chama cha kwanza kuzindua mfumo huu na kuutumia. Hata sasa mafanikio yake ni makubwa!!

Tofauti kubwa kati ya CCM digital na CHADEMA digital ipo katika Usawa wa Wanachama na HAKI za Wanachama kama ifuatavyo;

A: CCM DIGITAL

Wanachama wote ni sawa. Wote wanalipa ada zao za Uanachama kwa usawa, wote wana haki sawa. Kwa CCM hakuna Mwanachama tajiri au masikini, wote wamewekwa katika kapu moja. Masikini na tajiri wote wanalipa ada ya Uanachama ya Tshs. 1,200/= kwa mwaka. Katika CCM hakuna Mwanachama mbora zaidi ya mwingine. Kwa sababu hii, wanachama wa CCM wote wana-hadhi moja hakuna show-off ya uwezo wa mtu kwenye Chama. Wote wana wajibu mmoja na haki zenye kufanana bila kutofautishwa au kubaguliwa kwa hali ya uchumi. Kwa kifupi, hiki ni Chama cha wote, wenye nacho na wasio nacho ndio maana hata ada ya uanachama ni Tsh. 100 kwa mwezi.

B: CHADEMA Digital

Wanachama wanatofautiana. Kuna makundi manne, maskini wa chini, maskini wa kati, matajiri wa kati na matajiri sana. Wanachama katika Chadema digital wanabaguliwa kwa uwezo wao wa kifedha. Wanachama maskini wa chini wanalipa ada ya Uanachama ya Tsh. 2,500/= kwa mwaka. Kadi zao zinaitwa za kwaida, bila shaka hawa watakua wanakaa nyuma mwisho kabisa katika vikao vya Chama. Wanachama maskini wa kati wanalipa ada ya Tshs. 25,000/= kwa mwaka, kadi zao zinaitwa Silver, hawa watakua na manufaa kidogo katika Chama. Matajiri wa chini wanalipa Tsh. 50,000/= kwa mwaka, kadi zao zinaitwa Gold. Hawa watakua na manufaa zaidi ya wale wa Silver. Matajiri wa kati wanalipa Tshs. 100,000/= kwa mwaka, kadi zao zinaitwa Diamond na wale matajiri wa juu wanalipa zaidi ya hapo, kadi zao zinaitwa Platnum. Hawa makundi mawili ya juu watakua na manufaa makubwa sawa na malipo yao. Kila daraja lina faida zake, watakaolipa zaidi ndio wenye kunufaika zaidi na fursa za Chama pamoja na motisha mbalimbali kama uongozi, uteuzi nk. Angalia daraja lako kwa uchumi wako halafu utambue nafasi yako katika Chama. Kwa kifupi, CHADEMA sasa inakwenda kuwa Chama cha matajiri typically.

Maskini wenzangu wa Chadema sahau kuhusu uongozi katika Chama au fursa na nafuu yoyote, mtu hawezi kuacha kumteua katiba Ubunge Mwanachama aliyelipia kadi ya Platnum ya Tshs. 150,000/= kwa mwaka akuteue wewe uliyelipia kadi ya kawaida ya Tshs. 2,500/= kwa mwaka. Sasa ndio unaweza kuona tofauti kati ya CCM na vyama vingine. Hata ningekua mimi ningelipia Diamond au Platnum mapema ili nineemeke!
#SiasaNaBiashara.

MenukaJr,

Da'slam-Tanzania.
Mpuuzi wewe hata uwanjani huwa kuna VIP na mzunguko lakini wote mnaagalia mpira, kuna mwanachama wa kawaida ya CCM amewahi kuitewa ikulu kama Rostam Azizi? nawapongeza CHADEMA kwa ubuni wenu, huwezi kukumpatia masikini hata siku moja, Dangote kaitwa Ikulu ni wafanyabiashara wangapi wana leseni na mapato wanalipa TRA kila mwaka na hawaitwi ikulu? acha mawazo ya kimasikini mkuu
 
Jamaa wanatoboa kibishi hivyo hivyo CCM wanabebwa na dola
 
Iboya2021

JF-Expert Member
Dec 1, 2020
1,355

CCM ndiyo chama cha haki usawa na kila lililo jema CDM ni ubaguzi kwa kwenda mbele nyimbo haziimbiki anaimba mbowe pekeyake
 
Iboya2021

JF-Expert Member
Dec 1, 2020
1,355
2,000
Mpuuzi wewe hata uwanjani huwa kuna VIP na mzunguko lakini wote mnaagalia mpira, kuna mwanachama wa kawaida ya CCM amewahi kuitewa ikulu kama Rostam Azizi? nawapongeza CHADEMA kwa ubuni wenu, huwezi kukumpatia masikini hata siku moja, Dangote kaitwa Ikulu ni wafanyabiashara wangapi wana leseni na mapato wanalipa TRA kila mwaka na hawaitwi ikulu? acha mawazo ya kimasikini mkuu
aliyewaita hao ni nani? wao ndiyo wanaomba kwenda ikulu ili kurekebisha mambo yao kibiashara hakuna mtu anawaita ikulu umechemsha hatahujui kinachoendelea nchini
 
Bams

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
9,953
2,000
Mwenyekiti wa CHADEMA-Taifa, Freeman Aikael Mbowe amezindua mfumo wa kidigital kwa ajili ya shughuli za Chama chao. Mfumo wa kidigital unasaidia kutunza kumbukumbu za Wanachama, kuratibu malipo ya ada za uanachama kwa urahisi pamoja na kurahisisha mfumo wa taarifa kutoka katika Chama kwenda kwa Wanachama.

Wakati CHADEMA wanazindua mfumo wa kidigital leo, CCM wameanza utaratibu huu miaka miwili nyuma. Ni bahati mbaya kwamba CCM hawazungumzi sana mambo haya hivyo CHADEMA kudhani ni wao wameanzisha mfumo huu katika vyama vya Siasa. Ukweli ni kwamba, CCM ndicho chama cha kwanza kuzindua mfumo huu na kuutumia. Hata sasa mafanikio yake ni makubwa!!

Tofauti kubwa kati ya CCM digital na CHADEMA digital ipo katika Usawa wa Wanachama na HAKI za Wanachama kama ifuatavyo;

A: CCM DIGITAL

Wanachama wote ni sawa. Wote wanalipa ada zao za Uanachama kwa usawa, wote wana haki sawa. Kwa CCM hakuna Mwanachama tajiri au masikini, wote wamewekwa katika kapu moja. Masikini na tajiri wote wanalipa ada ya Uanachama ya Tshs. 1,200/= kwa mwaka. Katika CCM hakuna Mwanachama mbora zaidi ya mwingine. Kwa sababu hii, wanachama wa CCM wote wana-hadhi moja hakuna show-off ya uwezo wa mtu kwenye Chama. Wote wana wajibu mmoja na haki zenye kufanana bila kutofautishwa au kubaguliwa kwa hali ya uchumi. Kwa kifupi, hiki ni Chama cha wote, wenye nacho na wasio nacho ndio maana hata ada ya uanachama ni Tsh. 100 kwa mwezi.

B: CHADEMA Digital

Wanachama wanatofautiana. Kuna makundi manne, maskini wa chini, maskini wa kati, matajiri wa kati na matajiri sana. Wanachama katika Chadema digital wanabaguliwa kwa uwezo wao wa kifedha. Wanachama maskini wa chini wanalipa ada ya Uanachama ya Tsh. 2,500/= kwa mwaka. Kadi zao zinaitwa za kwaida, bila shaka hawa watakua wanakaa nyuma mwisho kabisa katika vikao vya Chama. Wanachama maskini wa kati wanalipa ada ya Tshs. 25,000/= kwa mwaka, kadi zao zinaitwa Silver, hawa watakua na manufaa kidogo katika Chama. Matajiri wa chini wanalipa Tsh. 50,000/= kwa mwaka, kadi zao zinaitwa Gold. Hawa watakua na manufaa zaidi ya wale wa Silver. Matajiri wa kati wanalipa Tshs. 100,000/= kwa mwaka, kadi zao zinaitwa Diamond na wale matajiri wa juu wanalipa zaidi ya hapo, kadi zao zinaitwa Platnum. Hawa makundi mawili ya juu watakua na manufaa makubwa sawa na malipo yao. Kila daraja lina faida zake, watakaolipa zaidi ndio wenye kunufaika zaidi na fursa za Chama pamoja na motisha mbalimbali kama uongozi, uteuzi nk. Angalia daraja lako kwa uchumi wako halafu utambue nafasi yako katika Chama. Kwa kifupi, CHADEMA sasa inakwenda kuwa Chama cha matajiri typically.

Maskini wenzangu wa Chadema sahau kuhusu uongozi katika Chama au fursa na nafuu yoyote, mtu hawezi kuacha kumteua katiba Ubunge Mwanachama aliyelipia kadi ya Platnum ya Tshs. 150,000/= kwa mwaka akuteue wewe uliyelipia kadi ya kawaida ya Tshs. 2,500/= kwa mwaka. Sasa ndio unaweza kuona tofauti kati ya CCM na vyama vingine. Hata ningekua mimi ningelipia Diamond au Platnum mapema ili nineemeke!
#SiasaNaBiashara.

MenukaJr,

Da'slam-Tanzania.
Wewe ni wa dini gani? Sina ufahamu wa kutosha kuhusu uislam, lakini kwenye ukristo, Biblia inasema, aliyepewa zaidi, atadaiwa zaidi (Mungu anajua kuwa wapo waliopewa kodogo, na wapo waliopewa zaidi). Tena maandkjo yanaaema, asiye nacho atanyang'anywa hata kidogo alicho nacho.

Kama mtu anachangia zaidi kwa nini asifaidike zaidi? Unataka ulipie ticket ya ndege economy halafu ukakae business au first class?

Kama unataka uongozi, lipia gold, diamond au platinum. Unataka uwaongoze watu wakati unashindwa kupata hata laki kwa mwaka ya ada ya uanachama, unataka uwaongoze watu kuelekea kwenye umaskini?
 
stakehigh

JF-Expert Member
Aug 9, 2019
5,029

ccm ishavuka stage ya kuitwa chama saaahv kinaitwa taasisi ya ccm
 
stakehigh

JF-Expert Member
Aug 9, 2019
5,029
2,000
Wewe ni wa dini gani? Sina ufahamu wa kutosha kuhusu uislam, lakini kwenye ukristo, Biblia inasema, aliyepewa zaidi, atadaiwa zaidi (Mungu anajua kuwa wapo waliopewa kodogo, na wapo waliopewa zaidi). Tena maandkjo yanaaema, asiye nacho atanyang'anywa hata kidogo alicho nacho.

Kama mtu anachangia zaidi kwa nini asifaidike zaidi? Unataka ulipie ticket ya ndege economy halafu ukakae business au first class?

Kama unataka uongozi, lipia gold, diamond au platinum. Unataka uwaongoze watu wakati unashindwa kupata hata laki kwa mwaka ya ada ya uanachama, unataka uwaongoze watu kuelekea kwenye umaskini?
sasa si ndio mada inavosema unasaidia kukazia tu apa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom