Search results

  1. kelphin

    Kijana mwenzangu una nafasi ya kuwa na kila unachohitaji

    Kila kitu kizuri kinachoonekana mbele ya macho yako leo.,elewa ya kua ni mipango ya watu nyuma. Maisha ni kama story yana kila hatua na matukio mbalimbali. Yakuhuzunisha, kufurahisha na hata kuvunja moyo ila isiwe kama sababu kwako au pengine tunatofautiana mpango wa fedha kutokana na familia...
  2. kelphin

    Kwa kiwango cha wachezaji hawa, Dar Young Africans tujiandae na maumivu mapya

    Kama ilivyo ada na taratibu za football basi Yanga wajiandae. Wachezaji kama Aziz Ki Diara na pacome itakua ngumu kubaki nao msimu ujao.
  3. kelphin

    Je, umeme wako (units za luku) unaisha sana? Zingatia yafuatayo

    Moja ya mambo ambayo yamekua changamoto kwa wadau wengi ni malalamiko juu ya umeme kuisha haraka pasipokujua nini sababu. Leo kelphin ntakupa au ntakukumbusha jambo moja au zaidi ya kuzingatia. Ikiwa kuna mdau yupo anafahamu zaidi anaweza kuongezea pia. Vifaa vyote vinavyotumia umeme hupimwa...
  4. kelphin

    Fanya haya kuifanya sound system yako idumu kwa muda mrefu

    Habari ya wakati Natumaini tuko salama Fanya haya ili subwoofer yako na sound system yako idumu kwa muda mrefu [emoji1314] usichajie simu sehemu ya kuchomeka frash disk Sababu hi imekua ndio sababu kuu ya kuuwa system ya frash ya watu wengi zaidi Ile haikutengenzwa kwajiri ya kuchajia bali...
  5. kelphin

    Moyo wa mtu ni kichaka

    Ambwene mwasongwe kwenye wimbo wake wa nguvu ya kujua kuna sehemu anasema “Moyo wa mtu ni kichaka, umehifadhi mambo mengi” Neno maisha ni fupi ila lina namna zaidi ya moja ya kulielezea, Watu wanapitia mambo mazito sana, Kikazi Mahusiano Na familia kiujumla Mengine ni aibu kubwa,huwezi...
  6. kelphin

    Maisha ni safari, usikate tamaa

    Nitumie mfano harisi kwenye maisha yangu mwenyewe, Hi ikupe mwanga wewe kuendelea kupigana kwenye hicho unachokifanya. Tangia mdogo nlipenda sana mambo ya ufundi,hasa umeme na electonics kiujumla. Hata nyuzi zangu humu zimejikita zaidi kwenye mambo hayo. Pengine nlikosa ada yakusomea mambo...
  7. kelphin

    Ushauri wako unahitajika

    Habari wakuu.... Ninae rafiki yangu wa karibu (tunafanya kazi pamoja) Ana mahusiano na dada mmoja kwa muda sasa Na wameshafanya mambo kadhaa pamoja... Changamoto ni kua huyu jamaa yangu anaemdogo wake Mdogo wake nae anamtongoza huyu dada bila ya kujua kama kaka yake ndio usingizi wake.. Je...
  8. kelphin

    Iringa: Basi la Isamilo lapata ajali kwa kugongana na lori

    Ajari mbaya ya basi la isamilo imetokea muda hu, Ilikua inatokea Mwanza kwenda Mbeya. Inasemekana wamefaliki watu wa nne (wahudumu wa basi,na abilia mmoja)pia kuna majeruhi kadhaa Ila madereva wote wawili wamepona (aliekua anaendesha basi na lori pia). Ajali imetokea nje ya kidogo ya kijiji...
  9. kelphin

    Jinsi yakutumia simu yako (smartphone) kama computer mouse [emoji988]

    Hi.. Hi ni kwa wapenda luxury [emoji6] Hi ni wireless mouse inayounganisha pc au desktop na smartphones iwe android au iPhone Anza kwa ku downlod remote mouse kwenye computer yako Kisha download tena kwenye simu yako, kisha onanisha ziwasiliane kwenye mtandao mmoja, Mfano washa hotspots kwenye...
  10. kelphin

    Boresha PC Music system yako na Equlizer apo

    Hi mambo niaje... Kwa wale wapenda burudani ya music kama mimi, Equlizer Apo ni software ya window inayokupa uwezo wakuset usikivu wa music kwa naamna unavyotaka wewe Software hi inakuja na uwezo wa Kuongeza gain ya music( sauti kua kubwa bila kuweka makelele) Kupangilia music kadri ya...
  11. kelphin

    Eleza chochote unachokijua ili watu waongeze ujuzi

    Dunia ina mengi ambayo yapo kwenye mazingira yetu ya kila siku,ila wengine wanajua wewe haujui. Wewe unajua wengine hawajui, Share unacho kijua tuongeze ujuzi. Karibu.
  12. kelphin

    Hii ni kwa vijana wenzangu na Wanachuo wanaomaliza

    Hellow, Kumekua na malalamiko mengi sana juu ya ajira kua zimekua ngumu lakini kulalamika kwetu bado hakuleti tija, zaidi ya vyote kila mwaka wanachuo wapya wengine wanazidi kumaliza idadi yao wanakua wengi zaidi mtaani ikilinganishwa na utokaji wa ajira Hi ikufikie wewe kujana mmojawapo...
  13. kelphin

    Ninawazo la biashara ya kuuza luninga (TV) na 'Subwoofers'. Niandae mtaji kiasi gani?

    Nilikua ninawazo la biashara ya kuuza T na Subwoofers Je kwa kima cha chini cha mtaji itafaa niwe na shingapi? Location ni Iringa wilayani? Je risk zake zimekaaje? Connection ya kuzipata kiurahisi na bei nzuri nichukulie wapi? Na mengineyo ya kibiashara Karibu
  14. kelphin

    Darasa huru, Jifunze hapa kusuka amplifiers

    Hellow mambo vipi, Kama ilivyo ada ya urafiki kwa Watanzania. Kwa ujuzi wangu kiasi nilionao na dhati kabisa ya moyo wangu ,nimeamua kuanzisha uzi hu Kwako kijana mwenzangu unaependa kujua kusuka na kurekebisha matatizo madogo na makubwa ya audio amplifier kiujumla ni eneo lako. Karibu...
  15. kelphin

    Naomba kufamu juu ya jambo hili (engine ya gari)

    Habari za wakati wakubwa Kuna jambo linanitatiza Ambalo kwa hakika humu ndimo sehemu ya kupata majibu. Nafahamu ya kua kwenye gari kuna engine-transmission line(gia box)-kisha wheels Nafahamu kua kwenye engine kuna piston na shafti ile inayofungwa hizo piston , na ile head pale juu Sasa je...
  16. kelphin

    Idea ya kutengeneza electronic distribution board

    Ni wazo tu kwa wasomi na mafundi wenzangu wa masuala ya umeme. Kwasababu tumetofautiana elimu na uelewa Je hatuwezi ku design distribution board au wengine wanaita mainswitch ya nyumbani au hata kiwanda pia ambayo itakua inafanya kazi kwa mfumo wa ki electronic Iwe na display ambayo inaonesha...
  17. kelphin

    Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    Ikiwa inakusumbua,ikiwa unataka kufahamu chochote kinachokutatiza. Karibu Nieleze kidogo kuhusu subwoofer Je, unataka kununua, basi zingatia haya. Zipo za aina mbili old model na digital. Siyo majina hapana ,yaani inaweza kua rising,seapiano,codjec,aborder au vyovyote Ila itakua digital au...
  18. kelphin

    Jicho la tatu la tukio la Harmonize Mkapa stadium

    Jumapili iliyopita wananchi walikua na Jambo lao pale Mkapa stadium,.wasanii kadhaa waliimba mbele ya wananchi. Lakini alipokuja harmonize alijaribu na akafanikiwa kwa asilimia nyingi kuonesha utofauti na kuthubutu kuipamba onesho lake,japo kunamakosa kiasi yalijitokeza. Tukiliangalia tukio...
  19. kelphin

    Natafuta home theater mbovu

    Wakuu salaam! Kwa yeyote mwenye home theater mbovu, iliyoungu haiwaki, hauna kabisa mpango wakuilekebisha, hata Kama imeshatolewa circuit zake za ndani, yaani kifupi bovu bovu tu ninahitaji. Utanipa Bei yako, tukikubaliana unaniuzia, Ila speaker zake na housing viwepo, remote Sina shida nayo.
Back
Top Bottom