kelphin
JF-Expert Member
- Dec 24, 2019
- 10,521
- 17,447
Hi mambo niaje...
Kwa wale wapenda burudani ya music kama mimi,
Equlizer Apo ni software ya window inayokupa uwezo wakuset usikivu wa music kwa naamna unavyotaka wewe
Software hi inakuja na uwezo wa
Kuongeza gain ya music( sauti kua kubwa bila kuweka makelele)
Kupangilia music kadri ya unavyoweza
Utaweza kupangilia usikivu kwa kila channel
Kama ni 2.1,au 5.1 au hata HI-FI
Jinsi yakutumia utaidiwnload mtandaoni kwa kuangalia uwezo wa pc yako
Kisha uta install new
Utaiseti alafu restart pc yako
Nmeshindwa kuweka link yake hapa
Kuna prug in yake inaitwa piece japo hi ndio msingi