Idea ya kutengeneza electronic distribution board

kelphin

JF-Expert Member
Dec 24, 2019
9,111
14,481
Ni wazo tu kwa wasomi na mafundi wenzangu wa masuala ya umeme. Kwasababu tumetofautiana elimu na uelewa
Je hatuwezi ku design distribution board au wengine wanaita mainswitch ya nyumbani au hata kiwanda pia ambayo itakua inafanya kazi kwa mfumo wa ki electronic
Iwe na display ambayo inaonesha mfumo mzma wa umeme
Kama kuna short circuit inaonesha hapo, na short inatokana na nini (na maanisha kama ni phase na neutral, au phase na earth zimekutana) na kufunga njia husika yenye tatizo mbaka pale litakapo tatuliwa
Pia iwe inaonesha kiwango cha vifaa vya umeme vilivyounganishwa kwa njia husika
Pia iwe na passwords kila njia
Ili kama unahitaji kufunga njia moja wapo basi utaweka code zakufungia na kufungulia pia.


#wazo
 
Back
Top Bottom