Naomba kufamu juu ya jambo hili (engine ya gari)

Naomba kufamu juu ya jambo hili (engine ya gari)

kelphin

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2019
Posts
10,624
Reaction score
17,629
Habari za wakati wakubwa

Kuna jambo linanitatiza
Ambalo kwa hakika humu ndimo sehemu ya kupata majibu.
Nafahamu ya kua kwenye gari kuna engine-transmission line(gia box)-kisha wheels
Nafahamu kua kwenye engine kuna piston na shafti ile inayofungwa hizo piston , na ile head pale juu
Sasa je nini kinachofanya piston zi move up and down?
Je ile movements ya piston ina enda sawa na speed ya engine?
Nnamaanisha kua je gari inavyokua speed kubwa ndivyo ile movements nayo inafanyika kwa haraka?
Je gari ikiwa silence piston hua zinakua zinamove?
Kipi kinasukuma piston?

Je unapopiga stata ile motor ya stata inazungusha nini?



Ahsante ndugu zangu ni hayo tu.
 
Back
Top Bottom