Hii ni kwa vijana wenzangu na Wanachuo wanaomaliza

kelphin

JF-Expert Member
Dec 24, 2019
9,106
14,448
Hellow,

Kumekua na malalamiko mengi sana juu ya ajira kua zimekua ngumu lakini kulalamika kwetu bado hakuleti tija, zaidi ya vyote kila mwaka wanachuo wapya wengine wanazidi kumaliza idadi yao wanakua wengi zaidi mtaani ikilinganishwa na utokaji wa ajira

Hi ikufikie wewe kujana mmojawapo wakati mwingine ili upate matunda lazima uhangaike na utoke jasho pia. Kazima utoke nje ya box,nje ya fikra tofauti. Nimupe mfano mdogo sana unaweza kutoka nyumbani asubuhi ukaingia milimani pembezoni mwa mji ukakusanya mawe.

Ambayo kiuhalisia hayana kodi zaidi ya nguvu yako ya kawaida. Hata vitendea kazi sio vingi zaidi ya sululu pekee. Kwa iringa trip ya mawe ni 70000 mjumuisho wa mawe na usafili. Ambapo wewe una nafasi yakupata hadi 20000 kwa trip huu ni mfano tu

Wakati mwingine ili ufikie hatua hauhitaji kuwa wewe mwenyewe inahitaji kuwa nje ya wewe pia.
 
Hii inafanyika kama chanzo cha mtaji au ikuzwe iwe biashara sio ubaki kuoasua mawe miaka. Tatizo ni pale ninapotumia zaidi ya milioni 12 za mkopo wa HESLB kisha baada ya gamba ninaenda pasua mawe ambayo hayahitaji hata ujue A, E, I, O, U.

Ndio Alafu pesa ya aina hi hua na adabu sana
Hata biashara zako utazisimamia kwa makini
Kwakua unakua unakumbuka
Vijana wenzangu iwafikie hi
 
Kwa ground mambo hayapo rahisi kama unavyo ongea hivyo Mkuu, au na ww ndo unafanya hizo shughuli?, Tuanzie hapo kwanza

Wafanyabiashara mala zote wanafanikiwa sababu wanabeba rick kwenye mambo yao
Hiyo hari yakuona kama haiwezekani ni mbaya sana
 
Hii inafanyika kama chanzo cha mtaji au ikuzwe iwe biashara sio ubaki kupasua mawe miaka. Tatizo ni pale ninapotumia zaidi ya milioni 12 za mkopo wa HESLB kisha baada ya gamba ninaenda pasua mawe ambayo hayahitaji hata ujue A, E, I, O, U.
Hayo ni mawazo ya mtu asiyeelimika, chuo hufundishwi ishu kuhusu kada yako tu. Kuna mengi sana umejifunza kama umeishi geto basi ni mengi zaidi pia umejifunza mtaani, kutunza pesa kuishi na watu vyema mtaani nk nk.

Sioni ajabu kwa msomi kufanya kazi kama hizo, naamini elimu yako utaitumia popote tu, ila ukiwa na mentality hii ya kua kufanya izo kazi ni tatizo, huwezi kua tofauti na alieshia std 7.
 
Kama huwezi kuwa na time management na financial management bado utabaki mtu aliyesoma ila hujaelimika. Unaedna chuo kusoma Procurement, HR, Pharmacy, etc ili uje kupasua mawe maisha yako yote? Huo muda uliotumia chuo si ungekaa kupasua mawe. Hizo milioni 12 unazodaiwa HESLB si ungezikwepa ukakomaa mwenyewe

Hiyo ni njia ya kupata mtaji, au mwanzo wa biashara ya materials za ujenzi, au kupata hela ya kula. Sio lifetime business
 
Ndicho nilichomaanisha, kusoma sio kukalili module tuu. Kusoma ni kuelimika kama wewe unapusua mawe na maisha yako yote unapasua mawe na una degree yako basi elimu haijakukomboa hiyo bora usingesoma.

Tuko pamoja mkuu. Ni kuadd value kwa kila unachogusa
 
Hapo tumeelewana mkuu. Ukitazama makampuni kama Walmart, KFC, Amazon na Facebook yameanza kwenye mazingira ya kutatanisha ila determination ya waanzilishi wake ikawafanya wawe mabilionea. Ila wangekomaa vile vile wakaridhika na walivyoanza sio tu makampuni yasingekua bali yangekufa kabisa
 
Hivi
Hellow,

Kumekua na malalamiko mengi sana juu ya ajira kua zimekua ngumu lakini kulalamika kwetu bado hakuleti tija, zaidi ya vyote kila mwaka wanachuo wapya wengine wanazidi kumaliza idadi yao wanakua wengi zaidi mtaani ikilinganishwa na utokaji wa ajira

Hi ikufikie wewe kujana mmojawapo wakati mwingine ili upate matunda lazima uhangaike na utoke jasho pia. Kazima utoke nje ya box,nje ya fikra tofauti. Nimupe mfano mdogo sana unaweza kutoka nyumbani asubuhi ukaingia milimani pembezoni mwa mji ukakusanya mawe.

Ambayo kiuhalisia hayana kodi zaidi ya nguvu yako ya kawaida. Hata vitendea kazi sio vingi zaidi ya sululu pekee. Kwa iringa trip ya mawe ni 70000 mjumuisho wa mawe na usafili. Ambapo wewe una nafasi yakupata hadi 20000 kwa trip huu ni mfano tu

Wakati mwingine ili ufikie hatua hauhitaji kuwa wewe mwenyewe inahitaji kuwa nje ya wewe pia.
Hivi ulishawahi kuifanya hiyo kazi?
 
Back
Top Bottom