Jinsi yakutumia simu yako (smartphone) kama computer mouse [emoji988]

kelphin

JF-Expert Member
Dec 24, 2019
9,101
14,447
Hi..
Hi ni kwa wapenda luxury
Hi ni wireless mouse inayounganisha pc au desktop na smartphones iwe android au iPhone
Anza kwa ku downlod remote mouse kwenye computer yako
Kisha download tena kwenye simu yako, kisha onanisha ziwasiliane kwenye mtandao mmoja,
Mfano washa hotspots kwenye smartphone yako,kisha washa wifi kwenye computer yako ,onganisha
Fungua remote mouse yako kwenye simu yako
Kwakua ulisha unganisha kwenye wifi mojakwamoja utaikuta huku kwenye app jina la computer yako .
Click jina kuunganisha
Kisha endelea kutumia.
IMG_5046.png

Hi ni user slider baada ya kuanza kutumia
IMG_5047.png

Hi app yenyewe
K,kepph
 
Kisha endelea kutumia.View attachment 1970095
Hi ni user slider baada ya kuanza kutumia
View attachment 1970096
Hi app yenyewe
K,kepph
Shukurani mkuu kwa bandiko lako hii itarahisisha hata ukiharibikiwa na mouse utapata mbadala.
 
Back
Top Bottom