kelphin
JF-Expert Member
- Dec 24, 2019
- 9,090
- 14,424
Hellow mambo vipi,
Kama ilivyo ada ya urafiki kwa Watanzania. Kwa ujuzi wangu kiasi nilionao na dhati kabisa ya moyo wangu ,nimeamua kuanzisha uzi hu
Kwako kijana mwenzangu unaependa kujua kusuka na kurekebisha matatizo madogo na makubwa ya audio amplifier kiujumla ni eneo lako.
Karibu tujumuike kama familia. Kama wewe ni fundi na unatamani kujua basi karibu. Kama unafahamu ni sehemu yako pia kuwapa elimu na ku share ideas zetu.
Karibuni
Kwa kuanza tu,
Amplifier ni device inayotumia umeme kukuza nguvu ya sauti. Mziki unaozalishwa na vifaa vingi vya sauti(signals) hua ni mdogo sana
Mfano wa vifaa hivi ni gitaa,microphone (maiki) na vinginevyo. Kwa hivyo inasukwa amplifier ila kuikuza nguvu ya sauti ila ili isikike kwa nguvu kila mtu asikie kikamilifu
Kutaka kujua faida za amplifier hebu pata picha upo kwenye tamasha kama fiesta au wasafi festivals. Unaona vile sounds inakita kwenye speaker. Lakini amini kwamba ile sauti kama isingepita kwenye amplifier basi ungeisikia kama unavyosikiliza music kwenye earphone. Hivyo basi kwa namna moja huenda umenielewa concept ya amplifier. Hivyo karibuni tukwamue ujuzi wetu kwenye level nyingine
Vifaa ambavyo utahitaj kua navyo ni
Soldering gun
Soldering wire(mtofu)
Multmeter
Na circuit board ya kusukia.
RIP magufuli