Search results

  1. K

    Lissu amtetea Job Ndugai, asema lazima kuna jambo

    Lissu alimtetea Lebaya Ole Sabaya alipowekwa ndani kwa karibia wiki nzima bila kupelekwa mahakamani, huyo naye alikuwa wa kanda ya kati? . Kwa kifupi kukimbilia hoja ya ukanda ni upungufu wa akili na kufilisika, ungesikiliza hiyo clip usingesema huo ujinga. Kwani mtu alikutendea unyama ndiyo...
  2. K

    Kwako Katibu Mkuu wa CCM ndugu Chongolo

    Kwanza nikupe heshima yako, shkamoo na pole kwa majukumu makubwa ya kuongoza chama, Siku kadhaa kabla ya sherehe ya uhuru ulifanya kikao na waandishi wa habari kuelezea mafanikio ya chama ndani ya miaka 60. Katika kikao hicho ulizungumza mambo mengi lakini kwangu napenda kuchangia kuhusu haya...
  3. K

    Serikali na kampuni za simu zilivyotoa watumiaji kwenye reli

    Ndiyo maana nilisema serikali na makampuni yatakosa kipato (nikaweka neno under ceteris peribus/ other things remain constant) kwa maana kwamba ukipunguza gharama tunategemea wateja waongezeke hivyo kipato kinaongezeka lakini kama utapunguza halafu wateja wasiongezeke (other things remein...
  4. K

    Serikali na kampuni za simu zilivyotoa watumiaji kwenye reli

    Bahati mbaya makampuni karibia yote duniani ni ya kibepari kwasasa.
  5. K

    Serikali na kampuni za simu zilivyotoa watumiaji kwenye reli

    Amani iwe kwenu! Kwa wale ndugu zangu mliosoma biashara kuna somo linaitwa Strategic Management, kwa kifupi somo hili linaangazia zaidi juu ya kuanzisha, kutekeleza na kupitia au kurejea mikakati yaani kwa kimombo wanasema stategic managment is about formulation, implementation and Review /...
  6. K

    Uchaguzi 2020 Kuna chama mpaka kampeni zinaisha hawatatamka neno HAKI kwenye mikutano yao

    Habari iwe kwenu wakuu! Zikiwa zimebaki siku chache kabla ya watanzania kufanya maamuzi kwenye sanduku la kura , nimefuatilia kwa ukaribu sana kamapeni za wagombea mbali mbali na kilichonishangaza ni kushindwa wa wanachama, wapambe, viongozi na wagombea wa CCM kutamka neno haki kwenye kampeni...
  7. K

    Uchaguzi 2020 Hawa wakienda kupiga kura Oktoba 28, CCM hatuna chetu!

    Nani kakuambia wafanyakazi wa serikali (umma ) watampigia ccm kura? ndugu bora useme wengine ila siyo wafanyakazi wa umma hao hata Magu anajua hawamtaki kwa wingi wao
  8. K

    TAKUKURU, Kawe kuna mteja wenu mzuri sana wakati wa usiku

    siyo per family bali per kadi moja ya mpiga kura
  9. K

    TAKUKURU, Kawe kuna mteja wenu mzuri sana wakati wa usiku

    Wakuu amani iwe kwenu! Leo sina mengi ila nataka niwaombe wajomba zangu wa TAKUKURU kwamba kuna wateja wao Kawe tena wateja wakubwa sana. Leo usiku wateja hao walikuwa wanapita nyumba kwa nyumba na kila mwenye kitambulisho cha kura alikuwa anakula pesa halali za kitanzania kati ya 30000/= na...
  10. K

    Uchaguzi 2020 Mataga nielewesheni nini maana ya Tanzania Mpya, Zanzibar Mpya?

    Wakuu amani iwe kwenu, Bila shaka wengi wetu wameona kauli mbiu hizi kwenye mabango ya wagombea mbali mbali hasa wa chama cha mapinduzi (CCM). Mgombea wa Urais Zanzibar kwenye bango lake kuna maneno "Zanzibar mpya", Mgombea wa Ubunge kigamboni kuna neno "Kigamboni Mpya" kwingine kuna Tanzania...
  11. K

    Unakemea ubaguzi wa kikabila Rorya halafu wewe unabagua majimbo ya wapinzani

    Amani iwe kwenu wakuu! Jana mgombea kiti cha Urais kupitia CCM akiwa Musoma mkoani Mara alionya vikali UKABILA ndani ya jimbo la Rorya akidai kwamba Waluo hawataki kuchagua Wasuba na kwamba mara zote Wabunge wametokea upande wa Waluo. Ukweli ni kwamba hayo madai si kweli hata kidogo kwa mujibu...
  12. K

    Mkuu wa Wilaya ya Chemba, Ndugu Simon Odunga arudishwa kwao Rorya

    Hili limefanywa kimkakati sana iko hivi Halmashauri ya Rorya ina wakazi wengi wengi wajaluo (Luo) ila kwa viongozi wa wilaya kuanzia DC na DED na wengine walikuwa wakurya (au watu wenye kutoka nje ya mkoa huo) sasa kwa mujibu wa jamii hiyo ambayo mimi nimeishi sana huko mtua ambaye si mjaluo...
  13. K

    Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Hakuna tafsiri yoyote ya kisheria nchini inayosema kuna kitu kinaitwa kampeni kabla ya wakati

    Mkuu kwanza ungetuambia kampeni ni nini? Anachokifanya Lisu ni kutafuta wadhamini na hayo anayoyaongea ni maneno ya kawaida ya siasa. Huwezi kusema anafanya kampeni wakati kwa mujibu wa sheria kampeni zinaanza tarehe 26 August. Hapo kipengele C ya hiyo sheria inazungumzia taratibu wakati wa...
  14. K

    Sijui kama mwenye nyumba anajua haya wanayofanya wadada wa kazi

    Wakuu habari iwe nanyi! Ukisoma kitabu cha Mathayo kwenye biblia kuna hadithi ambayo Yesu Kristo alikuwa akizungumza na wanafunzi wake juu ya Bwana moja aliyetaka kusafiri kisha agawa mali zake (talanta) kwa watumwa wake ili wazisimamie . Lengo la Bwana yule ilikuwa wale watumwa wasimamie zile...
  15. K

    Ndg. Patrobas Katambi anahitaji tiba ya haraka sana (Seriously)

    Huyu njaa kali ndiyo maana anajitoa ufahamu
  16. K

    Ndg. Patrobas Katambi anahitaji tiba ya haraka sana (Seriously)

    Amani iwe kwenu wakuu! Kama mada inavyojieleza hapo juu kama kuna mtu anawafahamu wazazi, kaka au dada wa huyu aliyekuwa DC wa Dodoma mjini bwana katambi basi naombeni huyu ndugu yao awahishwe hospitalini maana kama ni malaria basi imeingia kichwani na muda si mrefu anaweza kupelekwa mirembe...
  17. K

    Maajabu 8 ya mkoa wa Mara

    Ndugu Isack Gamba (RIP) ni mluo? kwanini siku ile Ndg Majura (mwanahabari mwenzie) alifanya utani kwenye msiba wake?. Utani wa wahaya ni utani wa mkoa wanawatania waluo, wakurya, wajita na kabila lolote ili mridi ni kabila la watu wa Mara. (hebu ulizia zaidi kwa wazee utaepewa jibu)
  18. K

    Maajabu 8 ya mkoa wa Mara

    Kanda maalum ya Rorya tarime ndiyo mkoa wa kipolisi wenye Askari wengi nyuma ya DSM. Yaani hata Zanzibar inazidiwa,kituo kimoja cha polisi Rorya au tarime kiwe kikubwa au kidogo kina polisi wengi hatari. Patrol zinadanyika usiku kucha. Uwepo wa Kanda maalum ulitokana na historoa ya magomvi...
Back
Top Bottom