Search results

  1. YEHODAYA

    Wakatoliki sasa wanaelewa kwa nini Padre Martin Luther alimpinga Papa na kuanzisha dhehebu la Lutheran

    Huko nyuma watu waliojitenga na Kanisa katoliki kwa kumpinga Papa na maamuzi yake wakikuwa wanawaona wakaidi wenye shetani la uasi na waliopotoka Baada ya yamko la Papa kuruhusu kubariki wapenzi wa Jinsia moja Papa kapingwa na mabaraza ya Maaskofu nchi nyingi tu Moto unafukuta waumini wengi...
  2. YEHODAYA

    Serikali ingewapigia kelele mapema Hamas kuwa waachie Watanzania waliowateka wangewaachia

    Serikali ingewapigia kelele mapema Hamas kuwa waachie Watanzania waliowateka wangewaachia kwa kuogopa kuharibika uhusiano kati ya Tanzania na Palestina Kwa kweli ukimua wa serikali kwa Hamas unatoa meseji gani? Kupiga yowe walishindwa au hata. kuitisha press conference tu kulaani kutekwa kwa...
  3. YEHODAYA

    Hospital ya Alshifa Makao makuu ya jeshi la Hamas wakati wa ukoloni yalikuwa Makao makuu ya Jeshi la Mwingereza

    Hospital ya Alshifa Makao makuu ya jeshi la Hamas wakati wa ukoloni yalikuwa Makao makuu ya Jeshi la Mwingereza Mwingereza alipoondoka hayo makao makuu ya Jeshi la Mwingereza ikageuzwa Hospitali ya rufaa kuficha lakini ikaendelea kuwa makao makuu ya jeshi la Hamas hadi leo Ndio maana waziri...
  4. YEHODAYA

    Kwanini Tanzania watu wanawahi kujenga kwanza ndipo miundombinu inafuata?

    Wataalamu, kwanini Tanzania watu wanawahi kujenga kwanza ndipo Miundombinu inafuata wakishajenga? Unakuta kuanzia barabara, maji, umeme nk, vinasubiri hadi watu wajenge kwanza ndipo wapeleke. Kwanini wasiweke kabla miundombinu halafu watu wakienda kujenga iwe tayari ipo?
  5. YEHODAYA

    Gwajima akihubiri kanisani kwake asema Mtume wao ni Mohamed ( SAW)

    Gwajima akihubiri kanisani kwake asema Mtume wao ni Mohamed ( SAW) na Kuruani yao wanaisoma kwa Kiarabu Msikilize kwenye hii Video Ama kweli kanisa limeingiliwa https://www.youtube.com/watch?v=JN00GIgYmwU
  6. YEHODAYA

    Bunge lihoji serikali kuhusu Joshua Mollel na Clement Mtenga waliotekwa na Hamas serikali inafanya juhudi gani waachiliwe

    Bunge lihoji serikali kuhusu Joshua Mollel na Clement Mtenga waliotekwa na Hamas serikali inafanya juhudi gani waachiliwe
  7. YEHODAYA

    Baada ya Urusi kuona Marekani anasaidia Ukraine aliamua kusaidia Hamas wavamie Israel akijua Marekani watajikita Israel na kusahau Ukraine awapige

    Jamani ni tetesi naendelea kusaka taarifa za uhakika. Inasemekana Baada ya Russia kuona Marekani anasaidia Ukraine na Ukraine anakuwa mgumu kumshinda sababu anapata support ya Marekani kijeshi Russia aliamua kusaidia Hamas wavamie Israeli akijua Marekani watajikita Israeli na kusahau Ukraine...
  8. YEHODAYA

    Hamas kuteka Raia kivita haikubaliki popote kwenye Medani za vita ni kinyume kabisa na sheria za kimataifa

    Kwenye vita Askari wanaruhusiwa kutekana nyara lakini Askari wa pande zote xinaxopigana hawaruhusiwi kuteka raia wa kawaida na kuwafanya mateka wa kivita. Hamas kuteka Raia wakiwemo watanzania wenzetu wawili kivita haikubaliki popote kwenye Medani za vita ni kinyume kabisa na sheria za...
  9. YEHODAYA

    Chama tawala cha Palestine cha FATAH kina jina la kifilisti kirefu ni Ḥarakat al-Taḥrīr al-Waṭanī l-Filasṭīnī

    Kirefu cha chama tawala cha Palestine k cha FATAH kina jina la kifilisti kirefu ni Ḥarakat al-Taḥrīr al-Waṭanī l-Filasṭīnī yaani Chama cha wanaharakati wa kifilisti. Wafilisti ni ndugu zake na Goliathi kwenye Biblia
  10. YEHODAYA

    Vyama vya siasa viitishe maandamano kwenda ubalozi wa Palestina kudai watanzania wanaoshikiliwa mateka na Hamas Waachiliwe huru

    Vyama vya siasa Tanzania viitishe maandamano kwenda ubalozi wa Palestina uliopo nchin kudai watanzania wenzetu wanaoshikiliwa mateka na Hamas waachwe huru
  11. YEHODAYA

    Jeshi la Palestine Liberation Army waanza kuwashambulia wanamgambo wa Hamas Gaza

    Palestina kuna makundi mawili yenye nguvu yanayoongoza Palestina.Moja ni la Raisi wa Sasa wa Palestina Mohamood Abbas ambaye ana jeshi lake la Palestine Liberation Amry ambalo ni muunganiko.wa wapiganaji wake wa Fatah na wengine wanaomuunga mkono wao Wao wanatawala West Bank ya Palestine Mwaka...
  12. YEHODAYA

    Tatizo la vita ya Israel na eneo la Gaza lliisababishwa na Kamanda wa Israel Joshua

    Mungu kwenye Biblia alimwagiza Joshua ateketeze adui wote yeye akakaidi Joshua 11:22 akabakiza watu wa Gaza,Gathi na Ashidodi 1 Samueli sura ya 17 ndiko alikotokea Goliathi kamanda wa vita aliyesumbua Israel Ashdodi waliteka sanduku la Mungu la agano wakaenda kuliweka kwenye chumba cha Mungu...
  13. YEHODAYA

    Serikali baada ya kukutana na viongozi wa dini ilitakiwa irudi tena kuwapa mrejesho mapendekezo yao Serikali imefikia wapi

    Sintofahamu inayoendelea sasa hivi Issue ya Dp World ilitakuwa kuwa solved kidogo tu. Viongozi wa serikali walikutana na viongozi wa dini kuhusu hilo swala Wakaeleza kutoridhikia na wakatoa maoni yao na kusihi serikali na bunge waangalie ushauri wao wawape mrejesho. Matokeo serikali na bunge...
  14. YEHODAYA

    Simba timu yenye wachezaji wabovu na kipa mzuri. Yanga ina wachezaji wazuri na kipa mbovu

    Mechi ya jana simba walielemewa kila upande dakika zote tisini Kipa wa simba alikuwa busy dakika zote tisini hakuna kupumzika Kipa wa Yanga muda mwingi hakuwa na kazi a relax muda wote wa dakika 90.Sababu yanga timu ilikuwa muda wote msitari wa mbele kuhakikisha simba haipeleki mpira golini...
  15. YEHODAYA

    CCM ilikoswa koswa kuondolewa madarakani mwaka 2015 kwa ajenda ya ufisadi, DP World itafanikisha

    Architecs waliosababisha CCM karibu iondoke madarakani 2015 ndio hao hao walioleta DP World lengo hasa lao ni kuwa walishindwa kufikia malengo yao kung'oa CCM wameingia part 2 ya kubuni agenda ili wengi wachukie CCM na 2025 wananchi waiondoe. Wafanya mapinduzi mafisadi huwa wako smart kupanga...
  16. YEHODAYA

    Sababu za baadhi ya waajiri wakubwa kupenda kuajiri wanaume waliooa kuliko vijana wasiooa

    Sababu za baadhi ya waajiri kupenda kuajiri wanaume waliooa kuliko vijana wasiooa 1 .Wanaume waliooa huwa wasikivu sana wakiongeoleshwa na mabosi sababu tabia hiyo ya kuwa wasikivu huipata nyumbani bako mke huongea na hataki kukatizwa akiongea 2.Wanaume waliooa huwahi sana kazini kukimbia...
  17. YEHODAYA

    Ndoa nyingi kuwa na matatizo husababishwa na mfungisha kuchana cheti cha ndoa vipande viwili na kuwagawia kila mmoja kipande chake

    Cheti xha ndoa huwa kina ukurasa mmoja ulio una vyeti viwili vinavyofanana Waliotengeneza ukurasa mmoja walimaanisha watu hao wanakuwa kitu kimoja yaani wawili wanaungana kuwa ukurasa mmoja.Huwa zina sehemu mbili.lengo.likiwa kila mmoja again kutengeneza cheti kimoja cha ukurasa mmoja ili...
  18. YEHODAYA

    Sababu kubwa ya makanisa Afrika kufurika kuliko Ulaya ni kwa Sababu dini ilianzia Afrika

    Ukisoma Biblia Mungu aliongea na Musa Misri Ndipo imani ya Mungu wa Kweli ilipoanzia baadaye ikapelekwa Israel ambako Yesu ndiko alizaliwa tokana na kizazi kilichotoka Afrika na kwenda kuishi Israel kikiongozwa na Musa na Joshua. Yesu kizazi cha Africa alipotaka kuuawa Israel akiwa mtoto...
  19. YEHODAYA

    Lini serikali itatoa leseni kwa wanga wanaoruka na ungo kuanza kusafirisha abiria na mizigo kibiashara kutoka sehemu moja kwenda ingine kimataifa?

    Teknolojia imekuwa kisingizio cha kukaribisha wawekezaji wageni kutoka kila sehemu duniani Watanzania pia teknolojia tunazo pia very advanced mfano kuruka kwa ungo kutoka sehemu moja hadi ingine bila kuonekana Serikali haioni ni wakati muafaka kukaribisha wawekezaji kwenye hiyo sekta watumia...
  20. YEHODAYA

    Urusi ni wazi kuwa toka ukomunisti uanguke haina Jeshi imara tena ndio maana wakakodi Wagner Group kuwasaidia kupigana na Ukraine

    Slava Ukraini Urusi ni wazi kuwa toka ukomunisti uanguke haina Jeshi imara tena ndio maana wakakodi Wagner Group kuwasaidia kupigana na Ukraine Hii vita imefichua siri za Jeshi la Urusi kuwa haliko fit kama lilivyokuwa likidhaniwa na propaganda za zurusi na washirika wao Ni mara ya kwanza...
Back
Top Bottom