Chama tawala cha Palestine cha FATAH kina jina la kifilisti kirefu ni Ḥarakat al-Taḥrīr al-Waṭanī l-Filasṭīnī

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,908
51,907
Kirefu cha chama tawala cha Palestine k cha FATAH kina jina la kifilisti kirefu ni Ḥarakat al-Taḥrīr al-Waṭanī l-Filasṭīnī yaani Chama cha wanaharakati wa kifilisti.

Wafilisti ni ndugu zake na Goliathi kwenye Biblia
 
Mleta mada uko sahihi wapalestina ndio wafilisti. Hao wamekua mwiba kwa israel tangu zama za kale,Yoshua alikosea sana kutowamaangamiza kwamujibu wa agizo la Yehova.
 
Kirefu cha chama tawala cha Palestine k cha FATAH kina jina la kifilisti kirefu ni Ḥarakat al-Taḥrīr al-Waṭanī l-Filasṭīnī yaani Chama cha wanaharakati wa kifilisti.

Wafilisti ni ndugu zake na Goliathi kwenye Biblia

Yoshua 13:3

kutoka Shihori, hicho kijito kilichokabili Misri, hata mpaka wa Ekroni upande wa kaskazini, nchi inayohesabiwa kuwa ni ya hao Wakanaani; mashehe matano wa hao Wafilisti; Wagaza, na Waashdodi, na Waashkeloni, na Wagiti, na Waekroni; tena Waavi,

Wafilisti ndio wapalestina miji yao ilikua gaza,shdodi, ashkeloni,giti,ekroni na avi.
 
(Qur-an 3:118-120)

1698504986884.png

118. Enyi mlio amini! Msiwafanye wasiri wenu watu wasio kuwa katika nyinyi. Hawataacha kukufanyieni ubaya. Wanayapenda yanayo kudhuruni. Imekwisha fichuka chuki yao katika midomo yao. Na yanayo ficha vifua vyao ni makubwa zaidi. Tumekwisha kubainishieni Ishara ikiwa nyinyi mtayatia akilini.

1698505035793.png

119. Hivyo basi nyinyi ndio mnawapenda watu hao, wala wao hawakupendeni. Nanyi mnaviamini Vitabu vyote. Na wanapo kutana nanyi husema: Tumeamini. Na wanapo kuwa peke yao wanakuumieni vidole kwa chuki. Sema: Kufeni kwa chuki yenu! Hakika Mwenyezi Mungu anayajua yaliomo vifuani.

1698505109902.png

120. Ikikupateni kheri huwaudhi. Na ikikupateni shari wanafurahia. Na nyinyi mkisubiri na mkajizuilia, hila zao hazitakudhuruni kitu. Hakika Mwenyezi Mungu ni mwenye kuyazunguka yote wayatendayo.
 
Wewe mfilisiti nenda gaza kasaidie ndugu zako gaza ndio inaenda na mayahudi hivyo.
 
Kirefu cha chama tawala cha Palestine k cha FATAH kina jina la kifilisti kirefu ni Ḥarakat al-Taḥrīr al-Waṭanī l-Filasṭīnī yaani Chama cha wanaharakati wa kifilisti.

Wafilisti ni ndugu zake na Goliathi kwenye Biblia
1698507887166.png
 
Isomeke; waliamua kumtuma kahaba Delilah baada ya majemadari wao kukwama na kuishiwa mbinu zote za kimedani! Yale yale ya magaidi kujichanganya na watoto na vikongwe kama silaha za kivita.

,tangu lini wafilist wakawa na akili
 
Back
Top Bottom