Serikali baada ya kukutana na viongozi wa dini ilitakiwa irudi tena kuwapa mrejesho mapendekezo yao Serikali imefikia wapi

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,908
51,907
Sintofahamu inayoendelea sasa hivi Issue ya Dp World ilitakuwa kuwa solved kidogo tu.

Viongozi wa serikali walikutana na viongozi wa dini kuhusu hilo swala Wakaeleza kutoridhikia na wakatoa maoni yao na kusihi serikali na bunge waangalie ushauri wao wawape mrejesho.

Matokeo serikali na bunge wakakaa kimya no feedback na badala yake moto unawashwa ohh viongozi wa dini waache siasa na vitisho kibao.

Hilo sio afya kwa taifa. Serikali International mrejesho wa walipofikia kulikuwa na shida gani? Hata huo waraka wa maaskofu usingetoka na maskofu wangefanya kazi kuelimisha waumini wao hatua serikali au bunge wamechukua kurekebisha kasoro.

Lakini hii foka foka ya viongozi wa Serikali na bunge si afya sana kwa taifa.

Hoja zijibiwe kwa hoja. Wananchi wakitaka feedback wapewe.

Na kukaa kimya sio sahihi ni sawa na kusema bora liende.
 
Kiburi uzaa mauti,badala ya kujibu wanawatumia comedian kina mwijaku na mashehe wasio na elimu ili kupotosha umma na kuwajengea waislamu chuki eti udini.Mara sijui mfumo Kristo na takataka zingine.
Mbona JPM kawapa waislamu ndio wanajenga reli na bwawa huo udini unatoka wapi.
Ishu ya kitaifa haina udini.
 
Kwani serikali inawajibika kwa viongozi wa dini au kwa raia, inawapa je majibu kwani hao ni muhimili?
Si walikaa kujadili mkataba? Wakatoa mapendekezo yao. Sasa mtu aliyekupa maswali na ukaahidi kuyafanyia kazi, unaachaje kumrudishia mrejesho kwa uliyojadiliana naye ???? Huhitaji Phd kujua hili..!!

Ni kweli wanawajibika kwa wananchi, sasa hao viongozi wa dini siyo wananchi?
 
Sukuma gang kazini
Unatoa majibu rahisi kwenye swali guru.Hoja zijibiwe kwa hoja na mirejesho itolewe

Hizo cheap politics za sijui sukuma gang,sijui udini .Bandari haina dini inatumiwa na wenye dini na wasio na dini Bandari sio msikiti wala kanisa .Kinachojiwa kinahusu bandari hauhojiwi msikiti.au kanisa liliko bandarini au kabila lililloko Bandarini
 
Kanywe sumu
 
Sintofahamu inayoendelea sasa hivi Issue ya Dp World ilitakuwa kuwa solved kidogo tu

Viongozi wa serikali walikutana na viongozi wa dini kuhusu hilo swala Wakaeleza kutoridhikia na wakatoa maoni yao na kusihi serikali na bunge waangalie ushauri wao wawape mrejesho

Matokeo serikali na bunge wakakaa kimya no feedback na badala yake moto unawashwa ohh viongozi wa dini waache siasa na vitisho kibao

Hilo sio afya kwa taifa.Serikali International mrejesho wa walipofikia kulikuwa na shida gani? Hata huo waraka wa maaskofu usingetoka na maskofu wangefanya kazi kuelimisha waumini wao hatua serikali au bunge wamechukua kurekebisha kasoro

Lakini hii foka foka ya viongozi wa Serikali na bunge si afya sana kwa taifa

Hoja zijibiwe kwa hoja. Wananchi wakitaka feedback wapewe

Na kukaa kimya sio sahihi ni sawa na kusema bora liende
"Hakuna mwenye misuli ya kuyumbisha nchi". Jibu lake lipo hapo.
 
SI walikaa kujadili mkataba? Wakatoa mapendekezo ya. Sasa mtu aliyekupa maswali na ukaahidi kuyafanyia kazi,unaachaje kurudisha mrejesho kwa uliojadiliana naye ???? Huhitaji Phd kujua hili..!!

Ni kweli wanawajibika kwa wananchi, sasa hao viongozi wa dini siyo wananchi?
Ukianza kutoa majibu kwa kila mapendekezo ya vikundi nchi nzima kweli kazi itafanikisha chochote kwasbb wanao toa mapendekezo ni vikundi vingi kweli nikianza kuvitaja ni zaidi ya 100 kwahiyo wewe unaona serikali iache kuajibika kwa raia wake kuwapa huduma nakutatua chagamoto ianze kuandaa majibu ya mapendekeze ya vikundi.........kwa katiba ya jamuhuri raia wote tuko sawa ukimjibu moja na mgine atataka ajibiwe, just common sense
 
Siyo kila vikundi, bali kila vikundi unavyoonana navyo..!!
 
Back
Top Bottom