Hospital ya Alshifa Makao makuu ya jeshi la Hamas wakati wa ukoloni yalikuwa Makao makuu ya Jeshi la Mwingereza

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,908
51,907
Hospital ya Alshifa Makao makuu ya jeshi la Hamas wakati wa ukoloni yalikuwa Makao makuu ya Jeshi la Mwingereza

Mwingereza alipoondoka hayo makao makuu ya Jeshi la Mwingereza ikageuzwa Hospitali ya rufaa kuficha lakini ikaendelea kuwa makao makuu ya jeshi la Hamas hadi leo

Ndio maana waziri mkuu wa Uingereza Rish Sunak alitembelea Israel akawapa ramani tu pale kuwa pako hivi na hivi pale .Pambaneni mfike pale .Uingereza tupo nanyi

Sasa IDF wamewafikia makao makuu

Wamewazingira Hamas
 
Wanewazingira Hamas
Uharo mwingine
 
Sunak baba laooo
UK baba laooo
Biden baba laooo
US baba laooooo
Netanyau baba laoooo
ISRAEL chama laooooooooo

Mzuka ukipanda hili shat navuaaa
Jamani navuaaaaaaa
Mwenzenu navuaaaaaaa

Chapa hao kima wa HAMAS wafutike kabisa ktk uso wa dunia.
 
Palestinian Resistance JUST COMMENTED on ISRAEL’S RAID of Gaza’s Al Shifa Hospital:

“We hold the occupation and President Biden fully responsible for the Nazi occupation army's invasion on the Al-Shifa Medical Complex.

We hold the occupying entity and its new Nazi leaders, along with President Biden and his administration, fully responsible for the consequences of the occupation army's raid on the Al-Shifa Medical Complex, and what the medical staff and thousands of displaced persons are subjected to, as a result of this brutal crime against a health facility protected under the Fourth Geneva Convention. The leaders of the occupation and all those who conspired with them in killing children, patients, and unarmed civilians will be held accountable.

The adoption by the White House and the Pentagon of the occupation's false narrative, claiming the resistance's use of the Al-Shifa Medical Complex for military purposes, served as a green light for the occupation to commit more massacres against civilians to forcibly displace them from the north to the south, completing the occupation's plan to displace our people, as stated by many ministers of the occupying entity.

The silence of the United Nations, and the betrayal of many countries and regimes, will not deter our Palestinian people from clinging to their land, their legitimate national rights. We will remain committed to our people by continuing to defend them and their rights with all our strength. The occupation will pay dearly for its crimes and aggression against our children, women, and sanctities.

Gaza has been and will remain a graveyard for the invaders, and tomorrow is near for those who wait.

And indeed, it is a jihad of victory or martyrdom.”
 
Sunak baba laooo
UK baba laooo
Biden baba laooo
US baba laooooo
Netanyau baba laoooo
ISRAEL chama laooooooooo

Mzuka ukipanda hili shat navuaaa
Jamani navuaaaaaaa
Mwenzenu navuaaaaaaa

Chapa hao kima wa HAMAS wafutike kabisa ktk uso wa dunia.
Duuu mental illness is real,🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hospital ya Alshifa Makao makuu ya jeshi la Hamas wakati wa ukoloni yalikuwa Makao makuu ya Jeshi la Mwingereza

Mwingereza alipoondoka hayo makao makuu ya Jeshi la Mwingereza ikageuzwa Hospitali ya rufaa kuficha lakini ikaendelea kuwa makao makuu ya jeshi la Hamas hadi leo

Ndio maana waziri mkuu wa Uingereza Rish Sunak alitembelea Israel akawapa ramani tu pale kuwa pako hivi na hivi pale .Pambaneni mfike pale .Uingereza tupo nanyi

Sasa IDF wamewafikia makao makuu

Wamewazingira Hamas
Israel hahitaji UIngereza waje wamwambie chochote kilichopo Gaza, kwasababu awali Israel ilikuwa imeikalia Gaza. sio mara ya kwanza kukamata hiyo hospitali na sio kweli kwamba hayo mahandaki yalijengwa enzi za waingereza, yamejengwa kipindi hiki cha Hamas. inasemekana kama vile wewe unavyoifahamu vyema simu yako ya mkononi, ndivyo israel anavyoifahamu Gaza kwasababu ilikuwa chini ya usimamizi wake hadi mwaka 2005 walipoiachia. wayahudi wengi waliishi Gaza na serikali ya israel iliwaondoa wote na kuwapa makazi westbank pamoja na compensation.
 
Hamas imeanzishwa lini na uingereza kaondoka lini Palestine!?
 
Unapata nini kusambaza habari za uongo Shifa Hospital ndiyo Makuu ya Hamas?
JUST IN: "THE ISRAELI FORCES ARE COMMITTING A NEW CRIME AGAINST HUMANITY"

Minister of Health Dr. Mai Al-Kaila stated,

"Israeli forces are committing a new crime against humanity, medical staff, and patients by besieging and bombing the Shifa Medical Complex.

We hold the occupation fully responsible for the lives of the medical staff, patients, and displaced people in the Shifa Medical Complex, and we warn of the catastrophic consequences of storming the medical complex."

Below is the latest footage we received from Al Jazeera, from inside the hospital
.
 
Attachments

  • twidown.mp4
    9.5 MB

Hamas ilipoanzishwa ikaona sehemu sahihi kuweka makao makuu yao ni hapo hospital ya Alshifa

Kabla hiyo hospitali ilitumika kama makao makuu ya idara ya Ujasusi ya Palestina ikiwa hospital hivyo hivyo wakati wa Yasser Arafat wa PLO

Hamas ilipoanzishwa wakaanza kupigana na Akina Mahamoud Abbas na chama chake ambao ndio warithi wa PLO wakawashinda kwenye vita Gaza wakaitwaa Gaza na wakaweka makao yao makuu kwenye hiyo Hospitali ambapo yalikuwa makao makuu ya idara ya ujasusi ya serikali ya Palestina wakati wa Al marohoum Yasser Arafat kiongozi wa PLO
 
kwahiyo wewe unarely kwenye source ya Ministry of health ya Gaza? ambao ni serikali ya hamas? au na wewe ni hamas tu. au unang'ang'ania kuiamini al jazeera ambayo haina hata habari za huko wanahisi tu kwasababu wamepigwa marufuku kuingia Gaza? na mwandishi wa habari wa aj jazeera akikamatwa anatiiwa adabu?
 
Unamezeshwa propaganda hata ufahamu Palestina ilivyo na muundo wa utawala wao.
 
kwahiyo wewe unarely kwenye source ya Ministry of health ya Gaza? ambao ni serikali ya hamas? au na wewe ni hamas tu. au unang'ang'ania kuiamini al jazeera ambayo haina hata habari za huko wanahisi tu kwasababu wamepigwa marufuku kuingia Gaza? na mwandishi wa habari wa aj jazeera akikamatwa anatiiwa adabu?
Wewe mbona unameza kila habari za Magharibi hata kama za uongo unamini na mishipa ya kichwa inakotoka eti hospital ndiyo makao makuu ya Hamas
 
Hahaha 😆

Tuliwambieni Hamasi huwa hapigani kwenye majumba au kwenye ma hospital au shule mkabisha sa oneni aibu hi mtaificha wapi eti jeshi la taifa teule Hahaha

Wanatafuta mende kweye vyoo kuwatafuta Hamasi, hi aibu hata sijuj watawaeleza vipi Wamarekani na waisrael na dunia nzima walio kuwa wanawamini, hi maksudi Hamasi kawachia afu hao wanajeshi na vifaru vyao vitachangamkiwa havita toka Gaza
 
Hospital ya Alshifa Makao makuu ya jeshi la Hamas wakati wa ukoloni yalikuwa Makao makuu ya Jeshi la Mwingereza

Mwingereza alipoondoka hayo makao makuu ya Jeshi la Mwingereza ikageuzwa Hospitali ya rufaa kuficha lakini ikaendelea kuwa makao makuu ya jeshi la Hamas hadi leo

Ndio maana waziri mkuu wa Uingereza Rish Sunak alitembelea Israel akawapa ramani tu pale kuwa pako hivi na hivi pale .Pambaneni mfike pale .Uingereza tupo nanyi

Sasa IDF wamewafikia makao makuu

Wamewazingira Hamas
Are these the “HAMAS TERRORISTS” hiding in Gaza’s Al Shifa Hospital?
 
Attachments

  • twidown.mp4
    4.7 MB
Are these the “HAMAS TERRORISTS” hiding in Gaza’s Al Shifa Hospital?
Unapoteza muda Jeshi la IDF la Israel halitoki hapo Alshifa Hospitali hata mlete vipicha vya vitoto vilivyokufa milioni

IDF ndege,makombora,Vifaru,Askari wa miguu nk wote sasa hivi ni hapo tu

Kama wimbo wa ngoma za kipare ninapotaka mimi ni hapo tu

IDF inapotaka ni hapo tu Alshifa Hospitali hadi kieleweke
 
Back
Top Bottom