YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,908
- 51,907
Cheti xha ndoa huwa kina ukurasa mmoja ulio una vyeti viwili vinavyofanana
Waliotengeneza ukurasa mmoja walimaanisha watu hao wanakuwa kitu kimoja yaani wawili wanaungana kuwa ukurasa mmoja.Huwa zina sehemu mbili.lengo.likiwa kila mmoja again kutengeneza cheti kimoja cha ukurasa mmoja ili waanze ukurasa mmoja wa maisha
Sasa kivumbi huja pale wakishasaini vyeti .Mfunga ndoa badala ya kuwakabidhi chote kizima hukuchana pale pale pande mbili na kumkabidhi kila mmoja copy yake
Kitendo kile.cha kuchana kiimani na katika ulimwengu wa Roho ni sawa na kuchana vipande viwili ndoa iliyofungwa.Hivyo wanaondoka kama walivyokuja.Walikuja kila mtu kivyake wanaondoka kila mtu kivyake.Ndoa huanza kuvurugikia palepale kwa mfungishaji kuchana cheti akivunja na kuiharibu kwa kitendo chake cha kuchana cheti.Anapochana ni kama Anasema nanchang ndoa hii huko muendako iende imechanika
Wakifika mbele matatizo yanaanza kwenye ndoa hadi kupelekea kuvunjika
Kama cheti chako mlipofunga ndoa kilichanwa vipande viwili kila mmoja akapewa kipande chake ukiona mambo hayaendi jua sababu hiyo
Cha Kenya Mwombe Mungu sana akusaidie kwenye hiyo ndoa mpasuko na yenye misukosuko kibao
Kwa wale ambao bado kufunga .ndoa mwambie kabisa mfungishaji asichane cheti cha ndoa vipande.viwili awakabidhi kama kilivyo kama kuchana mtaenda kuchana wenyewe sio yeye..