Kwanini Tanzania watu wanawahi kujenga kwanza ndipo miundombinu inafuata?

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,908
51,907
Wataalamu, kwanini Tanzania watu wanawahi kujenga kwanza ndipo Miundombinu inafuata wakishajenga?

Unakuta kuanzia barabara, maji, umeme nk, vinasubiri hadi watu wajenge kwanza ndipo wapeleke.

Kwanini wasiweke kabla miundombinu halafu watu wakienda kujenga iwe tayari ipo?
 
Unawezaje kupeleka maji porin.... without pipo?
Aisee kwa mawazo haya nchi hii haitendelea.

Viwanja vilivyopimwa vinatakiwa kuwa na huduma zote kwa taarifa yako sasa usipopeleka maji unataka watu wakajenger mate huko wanakoenda kujenga ? Barabara hamna vifaa vya ujenzi unataka wajitwike kichwani au?

Kwa mawazo haya umetisha halafu ukute mtu kama wewe umesoma kabisa .Inatisha
Rudia kusoma ulichoandika.
 
Una akili ndogo sn!!!.....unajua maaana ya regional planning..?
 
Aisee kwa mawazo haya nchi hii haitendelea.

Viwanja vilivyopimwa vinatakiwa kuwa na huduma zote kwa taarifa yako sasa usipopeleka maji unataka watu wakajenger mate huko wanakoenda kujenga ? Barabara hamna vifaa vya ujenzi unataka wajitwike kichwani au?

Kwa mawazo haya umetisha halafu ukute mtu kama wewe umesoma kabisa .Inatisha
Rudia kusoma ulichoandika.

Nchi zetu ni maskini hazina rasilimali fedha za kutosha.

Ndio maana wanatumia mbinu ya maendeleo kufata walipo watu.

Hatuna uwezo wa kujenga hospitali ama kupeleka umeme porini kusiko na watu.

Huku sehemu ambazo tayari zina watu hakuna hiyo miundombinu.

Lazima tuanze na kupeleka miundombimu kwenye watu tayari
 
Nafikiri hawapeleki miundombinu Kwa sababu sehemu ambako kuna watu bado hawajapeleka huduma, so kupeleka sehemu hakuna watu hai make sense.
Nenda kaangalie mkoa wa Pwani maeneo mengi yaliyotengwa kwa ajili ya uwekezaji umeme maji ,barabara zipo tayari zinasubiri wawekezaji siku wakija wakute kila kitu kipo.Hawapo serikali inawatafuta lakini kila kitu kipo tayari

Kwa nini ishindikane kwenye makazi ya watu? Kwanza wengi wangeenda mbio kujenga huko

Unachoongea unakijua mwenyewe
 
Wataalamu, kwanini Tanzania watu wanawahi kujenga kwanza ndipo Miundombinu inafuata wakishajenga?

Unakuta kuanzia barabara, maji, umeme nk, vinasubiri hadi watu wajenge kwanza ndipo wapeleke.

Kwanini wasiweke kabla miundombinu halafu watu wakienda kujenga iwe tayari ipo?
Tatizo hakuna mipango ya matumizi ya ardhi yetu. Na kama ipo haifuatwi.
Tanesco wanapelekaje umeme na DAWASA au shirika la huko mkoani kwenu wakati hawajui barabara itapita wapi?
We ulitarajia kutakuwa na barabara kutoka Kinyerezi mpaka Mbezi kupitia Kifuru na Malamba Mawili?
Ni kama imetokea tu. Haikuwa planned.
Kama nakosea nisahihishwe.
 
Uko sahihi

Ova
 
Aisee kwa mawazo haya nchi hii haitendelea.

Viwanja vilivyopimwa vinatakiwa kuwa na huduma zote kwa taarifa yako sasa usipopeleka maji unataka watu wakajenger mate huko wanakoenda kujenga ? Barabara hamna vifaa vya ujenzi unataka wajitwike kichwani au?

Kwa mawazo haya umetisha halafu ukute mtu kama wewe umesoma kabisa .Inatisha
Rudia kusoma ulichoandika.
Huko kwenye watu kwenyewe maji hayajafika,
Halafu uanze kupeleka maji sehemu ambayo hujui kama watu watajenga miaka 10 au 5 mbele, utakuwa huna akili,

Umeme hio bajet bora wapeleke vijijini kwenye watu kuliko kupeleka mahali penye ramani iliyopimwa,

Kuna viwanja viliuzwa na serikali Njombe miaka ya 2005 vikiwa vimepimwa kabisa, ila saiz hiv ndo unaona kidogo nyumba zinainuka moja moja,
Sasa miaka yote hio barabara angekuwa anatumia nani? Si bora hio bajet upeleke ukajenge barabara ya kwenda Lupembe kwenye watu wenye uhitaji,

Though kama mafungu makubwa makubwa yapo wajenge tu lami nchi nzima kila kona wanakohisi watu wataishi hata miaka 100 mbele 🤣🤣🤣🤣
 
Wataalamu, kwanini Tanzania watu wanawahi kujenga kwanza ndipo Miundombinu inafuata wakishajenga?

Unakuta kuanzia barabara, maji, umeme nk, vinasubiri hadi watu wajenge kwanza ndipo wapeleke.

Kwanini wasiweke kabla miundombinu halafu watu wakienda kujenga iwe tayari ipo?
Leo tupeleke umeme kwenye vile vichaka pasipo na makazi wala nyumba yeyote. Maswali mengine bwana
 
Wataalamu, kwanini Tanzania watu wanawahi kujenga kwanza ndipo Miundombinu inafuata wakishajenga?

Unakuta kuanzia barabara, maji, umeme nk, vinasubiri hadi watu wajenge kwanza ndipo wapeleke.

Kwanini wasiweke kabla miundombinu halafu watu wakienda kujenga iwe tayari ipo?
Sera zetu za urban and regional planning bado ziko chini, Issue ya vibali vya ujenzi haiko emplemented sana
 
Back
Top Bottom