Baada ya Urusi kuona Marekani anasaidia Ukraine aliamua kusaidia Hamas wavamie Israel akijua Marekani watajikita Israel na kusahau Ukraine awapige

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,908
51,907
Jamani ni tetesi naendelea kusaka taarifa za uhakika.

Inasemekana Baada ya Russia kuona Marekani anasaidia Ukraine na Ukraine anakuwa mgumu kumshinda sababu anapata support ya Marekani kijeshi Russia aliamua kusaidia Hamas wavamie Israeli akijua Marekani watajikita Israeli na kusahau Ukraine ili Wakati Marekani anahangaika kuelekeza misaada kijeshi Israeli kule Ukraine wawe dhaifu awapige.

Ndio maana nchi nyingi unga mkono Russia wanaunga mkono Hamas na wako tayari kutoa vifaa vya kivita na Askari kupiga Israel toka pande mbalimbali.

Ukisikiliza Hamas wakijieleza wanasena wazi kuwa plan ya safari hii kuvamia Israeli ilichukua miaka miliwi ambayo ndio hiyo hiyo ambayo Russia anapigana na Ukraine.

Maana yake toka day one ya kwenda kuvamia Ukraine, Russia alianza kuwaandaa Hamas kwa uvamizi mkubwa Israeli.

Uvamizi ule una mkono wa Russia.

Pia mapinduzi mengi nchi za magharibi mwa Afrika yaliyokuwa chini ya ufaransa yanaongozwa na Russia lengo likiwa kuifanya ufaransa ihangaike huko inches kusaidia Ukraine sababu ufaransa ni mtoaji mkubwa pia wa misaada ya kijeshi Ukraine.

Mapinduzi hayo hayakutokea ghafla urusi kayapanga muda huo.wa miaka miwili ya vita na Ukraine.
 
Jamani ni tetesi naendelea kusaka taarifa za uhakika

Inasemekana Baada ya Russia kuona Marekani anasaidia Ukraine na Ukraine anakuwa mgumu kumshinda sababu anapata support ya Marekani kijeshi Russia aliamua kusaidia Hamas wavamie Israeli akijua Marekani watajikita Israeli na kusahau Ukraine ili Wakati Marekani anahangaika kuelekeza misaada kijeshi Israeli kule Ukraine wawe dhaifu awapige

Ndio maana nchi nyingi unga mkono Russia wanaunga mkono Hamas na wako tayari kutoa vifaa vya kivita na Askari kupiga Israel toka pande mbalimbali

Ukisikiliza Hamas wakijieleza wanasena wazi kuwa plan ya safari hii kuvamia Israeli ilichukua miaka miliwi ambayo ndio hiyo hiyo ambayo Russia anapigana na Ukraine

Maana yake toka day one ya kwenda kuvamia Ukraine, Russia alianza kuwaandaa Hamas kwa uvamizi mkubwa Israeli.

Uvamizi ule una mkono wa Russia

Pia mapinduzi mengi nchi za magharibi mwa Afrika yaliyokuwa chini ya ufaransa yanaongozwa na Russia lengo likiwa kuifanya ufaransa ihangaike huko inches kusaidia Ukraine sababu ufaransa ni mtoaji mkubwa pia wa misaada ya kijeshi Ukraine

Mapinduzi hayo hayakutokea ghafla urusi kayapanga muda huo.wa miaka miwili ya vita na Ukraine
Acha kulia lia wamama na ramli zako za kitoto
 
Albert Pike, the most powerful freemason of all time, said World War 3 would start between ☪️ & ✡️

Not only that, but he predicted all three World Wars correctly back in 1871 as he was privy to Satan's plans.

This is what he said in 1871 his own words:

𝗧𝗵𝗲 𝗙𝗶𝗿𝘀𝘁 𝗪𝗼𝗿𝗹𝗱 𝗪𝗮𝗿 must be brought about in order to permit the Illuminati to overthrow the power of the Czars in Russia and of making that country a fortress of atheistic Communism. The divergences caused by the "agentur" (agents) of the Illuminati between the British and Germanic Empires will be used to foment this war. At the end of the war, Communism will be built and used in order to destroy the other governments and in order to weaken the religions."

𝗧𝗵𝗲 𝗦𝗲𝗰𝗼𝗻𝗱 𝗪𝗼𝗿𝗹𝗱 𝗪𝗮𝗿 must be fomented by taking advantage of the differences between the Fascists and the political Zionists. This war must be brought about so that Nazism is destroyed and that the political Zionism be strong enough to institute a sovereign state of Israel in Palestine. During the Second World War, International Communism must become strong enough in order to balance Christendom, which would be then restrained and held in check until the time when we would need it for the final social cataclysm.

𝗧𝗵𝗲 𝗧𝗵𝗶𝗿𝗱 𝗪𝗼𝗿𝗹𝗱 𝗪𝗮𝗿 must be fomented by taking advantage of the differences caused by the 'agentur' of the 'Illuminati' between the political Zionists and the leaders of Islamic World.

The war must be conducted in such a way that Islam (the Moslem Arabic World) and political Zionism (the State of Israel) mutually destroy each other.

Meanwhile the other nations, once more divided on this issue will be constrained to fight to the point of complete physical, moral, spiritual and economical exhaustion.

We shall unleash the Nihilists and the atheists, and we shall provoke a formidable social cataclysm which in all its horror will show clearly to the nations the effect of absolute atheism, origin of savagery and of the most bloody turmoil.

Then everywhere, the citizens, obliged to defend themselves against the world minority of revolutionaries, will exterminate those destroyers of civilization, and the multitude, disillusioned with Christianity, whose deistic spirits will from that moment be without compass or direction, anxious for an ideal, but without knowing where to render its adoration, will receive the true light through the universal manifestation of the pure doctrine of Lucifer, brought finally out in the public view.

This manifestation will result from the general reactionary movement which will follow the destruction of Christianity and atheism, both conquered and exterminated at the same time.
 
Jamani ni tetesi naendelea kusaka taarifa za uhakika.
Usichokijua Israel ilikuwa inapeleka siraha kimya kimya Uikrane ingawa walikubaliana na Putin kwenye makaratasi hawatofanya hivyo.

Israel ilipo maliza ghala lake la siraha, Urusi akawastua Hamas.Haya waweza yathibitisha October 7 Israel alipigika hasa.

Mtindo wanaopigana Hamas wanalalamika Ndo anapigana Urusi.
20231008_214225.jpg
 
Jamani ni tetesi naendelea kusaka taarifa za uhakika.

Inasemekana Baada ya Russia kuona Marekani anasaidia Ukraine na Ukraine anakuwa mgumu kumshinda sababu anapata support ya Marekani kijeshi Russia aliamua kusaidia Hamas wavamie Israeli akijua Marekani watajikita Israeli na kusahau Ukraine ili Wakati Marekani anahangaika kuelekeza misaada kijeshi Israeli kule Ukraine wawe dhaifu awapige.

Ndio maana nchi nyingi unga mkono Russia wanaunga mkono Hamas na wako tayari kutoa vifaa vya kivita na Askari kupiga Israel toka pande mbalimbali.

Ukisikiliza Hamas wakijieleza wanasena wazi kuwa plan ya safari hii kuvamia Israeli ilichukua miaka miliwi ambayo ndio hiyo hiyo ambayo Russia anapigana na Ukraine.

Maana yake toka day one ya kwenda kuvamia Ukraine, Russia alianza kuwaandaa Hamas kwa uvamizi mkubwa Israeli.

Uvamizi ule una mkono wa Russia.

Pia mapinduzi mengi nchi za magharibi mwa Afrika yaliyokuwa chini ya ufaransa yanaongozwa na Russia lengo likiwa kuifanya ufaransa ihangaike huko inches kusaidia Ukraine sababu ufaransa ni mtoaji mkubwa pia wa misaada ya kijeshi Ukraine.

Mapinduzi hayo hayakutokea ghafla urusi kayapanga muda huo.wa miaka miwili ya vita na Ukraine.
Wakiristo wabongo naona mnapropaganda sana ktk hivi vita.
 
Hekaya za abunuwasi
Kuna mwamba humu aliwahi twambia kama us anaweza kupigana zaidi ya vita tatu kwawakati mmoja na bado huko kote akapata matokeo chanya
Sasa tunaona SMO kule Ukraine ishamshinda na Sidhanii kama atakiweza kimbunga cha al aqsa
Hamas na Russia hawa niwateule Kwahakika wakamtie papo hapo
 
Back
Top Bottom