Gwajima akihubiri kanisani kwake asema Mtume wao ni Mohamed ( SAW)

Sasa kama anaitwa rashidi atamkanaje mtume wao? Huyo mtume biblia haimtambui na haimjui ni nani huko ni kufilisika mahubiri sahihi na kuleta upotoshaji kwa maksudi
 
😃😃
Anacheza na akili ya waumini wake au wale wanaokaribia kumuamini.

Ukishasema Kanisa huwezi mtaja Muhammad kama Mtume. Labda hajui maana ya Kanisa
 
Ana bahati kuwa yeye ndiye askofu mkuu wa kanisa lake hilo, angekuwa ni kiongozi mdogo wa kanisa mabosi zake fasta wangemvua uchungaji akajiunge na huyo mtume wao
 
😃😃
Anacheza na akili ya waumini wake au wale wanaokaribia kumuamini.

Ukishasema Kanisa huwezi mtaja Muhammad kama Mtume. Labda hajui maana ya Kanisa
anacheza na akili za wapiga kura, kuchanganya siasa na uchungaji hadi unalazimika kuhubiri mapotofu ili uendelee kubaki kwenye ubunge. angelikuwa mtumishi wa Mungu peke bila kutumikia siasa angekuwa mbali sana na angeshaleta mabadiliko makubwa kwa watu. huwezi kutumikia Mungu na mali au siasa, siasa ni uongouongo na dhurma, ila kwa Mungu mstari unayooshwa.
 
Ana bahati kuwa yeye ndiye askofu mkuu wa kanisa lake hilo, angekuwa ni kiongozi mdogo wa kanisa mabosi zake fasta wangemvua uchungaji akajiunge na huyo mtume wao
Sipati picha hata angekuwa Askofu mkuu.wa Kanisa kama Katoliki au Lutheran au Tanzania Assemblies of God (TAG) akatoa tamko .kama hilo kingemkuta cha kumkuta wangemvua.vyeo vyote na kufukuza hadi kanisani huku wakikemea mfululizo pepo toka kwa jina la Yesu
 
Anatafuta Kura za waislam na kwa bahati nzuri wanavyo mpenda mtume Muhammad Kula zooote wanampa bureee
He is really good in Psychology
 
Anatafuta Kura za waislam na kwa bahati nzuri wanavyo mpenda mtume Muhammad Kula zooote wanampa bureee
He is really good in Psychology
bahati mbaya, 2025 hakuna Magufuli tena, wanaccm waanze tu kujipanga kisaikolojia. 2020 mtu yeyote aliyepita kura za maoni hata kama hana uwezo wowote alikuwa anapita, hapakuwa na uchaguzi kabisa.
 
Kuanzi
A nitakuwa chawa wa gwajima mpaka nahakikisha anaibuka tena kidedea kawe! He is our hero in kawe na pia naweza kusema ni mbunge bora kuliko wote kawe
Tunaongelea ya kanisani aliyosema Gwajima jikite kwenye mada
 
Huenda akawa anatoa mahubiri yake kwa mtindo wa kisiasa kwani yeye ni mwanasiasa na ni mbunge wa Kawe kupitia CCM, kwa hiyo anachofanya ni kuwaridhisha wapiga kura wake ambao ni wafuasi wa Mtume Muhamad. Hayo mahubiri ya kisiasa akawahubirie wenye ufahamu mdogo kuhusu injili na mambo ya imani
 
ila ukimsikiliza vizuri hata kama anapoteza muda kuongea ya dunia badala ya ya rohoni, kisiasa anasema ukweli. ukimgusa muisrael tu umegusa mioyo ya wakristo wote. ukimgusa mpalestina umegusa mioyo ya waislam wote. hivyo hata kwenye nchi kama hii yenye watu wa dini zote, huwezi kufanya kitu kinachowakilisha upande mmoja. ukilaani israel tunategemea ulaani na hamas pia. ukiweka ubalozi wa palestina tunategemea pia uweke ubalozi wa israel ili sisi tunaoipenda israel tuwe tunapata visa pale kwenda kuhiji israel. nimefurahi samia amenyamaza kimya kwasababu angefanya chochote lazima kuna watu wangempa majibu.
 
Back
Top Bottom