YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,908
- 51,906
Kwenye vita Askari wanaruhusiwa kutekana nyara lakini Askari wa pande zote xinaxopigana hawaruhusiwi kuteka raia wa kawaida na kuwafanya mateka wa kivita.
Hamas kuteka Raia wakiwemo watanzania wenzetu wawili kivita haikubaliki popote kwenye Medani za vita ni kinyume kabisa na sheria za kimataifa za mambo ya vita na Geneva Convention agreements.
Hamas wameteka raia wakiwemo watanzania wenzetu na kuwachukua mateka na kuwafanya human shield yao na tool of negotiation na Israel.
Hii kitu ni unyama na uvunjaji haki za binadamu raia tena wengine wa nchi nyingine kama hao watanzania wenzetu.