Ili kushinda uchaguzi slogan huwa pia na mchango mkubwa
Slogan mfano us ACT wazaledo ya Kazi na Bata ilikuwa hata haileweki inalenga nani Mkulima,mfanyabiashara,machinga ,wavuvi,, wafugaji, au...
Maslahi ya kisiasa kwa kikundi kidogo cha CCM sio sawa. Taifa hili limejaa watu wenye uhitaji. Hizi propaganda za kutuaminisha kuwa Tanzania haina uhitaji wa misaada ilihali uhalisia wa raia wa...
Habari wanajf, leo kuna jambo ambalo nimeona lina ukakasi sana kuhusu Lema.
Lema ameondoka nchini kwa sababu vitisho anavyopewa kwa mujibu wake mwenyewe.
Inaweza kuwa kweli au la, lakini ambacho...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Mwinyi leo amewaapisha mawaziri 15 ambapo amewataka kuwa na hati nne kwa ajili ya kuengeneza mpango kazi kwa ajili ya wizara zao...
MAJINA YA MADIWANI WATEULE WA VITI MAALUM WA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) WALIOTEULIWA NA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI MWAKA 2020
MKOA WA ARUSHA
Wilaya/halmashauri
Majina
1. Arusha Jiji
Sakina...
Benki kuu ya Tanzania leo imechukua usimamizi wa Benki ya kibiashara ya China kwa kushindwa kulinda vigezo vya kuendeleza kuwepo ikiwemo mtaji. Benki kuu kwa mamlaka iliyonayo kwenye sheria ya...
Najaribu kukumbuka tukio la Chadema kuwasimamisha uanachama wabunge wake waliokataa kutii maagizo ya chama ya kutoingia bungeni kutokana na Sakata la COVID 19.
Nakumbuka sakata la Chadema na Dk...
To me it’s evident that President Magufuli lacks the requisite statecraft to be the commander in chief.
But right now that’s neither here nor there.
Let’s talk about his post-presidency, for a...
Dada halima najua uko poa kabisa
Madhumuni ya barua hii ya wazi ni kutaka kukufikishia ujumbe ufuatao
Kuna taarifa nimezipata chini ya kapeti zikisema kuwa asilimia kubwa ya Wabunge wanaume...
Prof Kabudi ambaye ni waziri wa mambo ya nje amesema Tanzania haiwezi kuyumbishwa na vitisho vya kunyimwa misaada.
Kabudi amesisitiza kuwa Tanzania ni nchi huru inayoheshimu utu wa mtu na kamwe...
Nilikuwa nafuatilia sana bunge lililopita na nikasikia kabudi amesema kwamba hakuna vita tulivyo shindwa katika historia alitaja nchi kadhaa ambao JWTZ wamewahi kufanya operation.
Katika...
Nimeangalia teuzi nyingi kuanzia Ma DC,RC,Mawaziri,Makatibu wakuu na manaibu wao nikajiridhisha kuwa wengi wa wateule hawa wanatoka UDSM zaidi kuliko wale wanaotoka SUA. Pia nimejaribu kupata...
Kwa upande wa kanisa kunavituko vingi sana vya ajabu makanisani lakini hakuna mahara pa kusemea kwa sisi waumini labda kubadilisha kanisa lakini kwa wanasiasa na taifa kwa ujumla kila baada ya...
Rais wangu mpendwa naomba ukiona inafaa nikupenyezee ushauri wangu. Yawezekana wasaidizi wako wanaogopa kukushauri....
Kama mwananchi na mdau wa maendeleo kuna mambo mengi sana yanekwama huku...
Najaribu kuangalia hata huyu Wasonge ni Wakili na Mwanasiasa, Lau Masha ni wakili na mwanasiasa, Tundu Lissu ni wakili na mwanasiasa!tofauti ndogo tu ni kwamba Tundu Lissu ni mbunge na anaendelea...
Kuna msamiati mpya umetungwa hususani na watawala wetu wa serikali ya awamu ya 5 kwa kuwaita nchi za wazingu kuwa ni mabeberu, pale wanapotoa "constructive criticism" yenye lengo la kututaka...
Sina hakika Tundu Lissu alikuwa akihutubia wapi.
Ila kalirudia rudia neno “hapatatosha”.
“Mwaka huu wakijaribu kutufanyia uhuni, hapatatosha”.
Hayo ni maneno ya Lissu.
Narudia tena kusema...
Kwanza kabisa niseme wazi kuwa mimi binafsi sio kwamba naridhika na kila kitu kinavyotendeka katika nchi yangu hii lakini ustawi wa watanzania wote, ustawi wa nchi yangu ni bora kuliko matakwa...
Nimejaribu kuichunguza karatasi ya kupigia kura ya Urais wa JMT katika uchaguzi huu uliopita, na nina machache ya kuchangia.
Nianze kwanza kwa kusema karatasi ya kupigia kura inabidi kuichukulia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.