Magufuli’s post presidency...

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
88,867
2,000
To me it’s evident that President Magufuli lacks the requisite statecraft to be the commander in chief.

But right now that’s neither here nor there.

Let’s talk about his post-presidency, for a minute.

It’s well known how much he loves infrastructural projects.

So how about this:

Why don’t we create a new position, starting in 2026, post his presidency and utilize some of his strengths to better our infrastructure.

The Office of the Infrastructural Czar. That would be the overseer of all infrastructural development projects.

I believe Magufuli has already shown and proved that he is very well equipped for such a job.

He knows how to run a tight ship and crack the whip. He knows how to keep folks on their toes.

I think he would do well in that capacity because it is something very specific, not too complicated, and doesn’t require nuanced language to get things done.

I’d rest easy knowing that former President Magufuli got it and that most projects will finish on time provided that he is given all the tools, power, and authority to execute his job effectively.

What do y’all think about my idea? Sounds kooky?

Drop your comments below.

Deuces ✌🏿
 

mwanawao

JF-Expert Member
Aug 18, 2010
2,361
2,000
Akishamaliza muda wake ni anatakiwa apumzike awe mshauri tu kwa atakayemuachia, kama atakayemuachia ataona kupata ushauri kwake!!
 

mkorinto

JF-Expert Member
Jun 11, 2014
21,833
2,000
Kuniita kichwa nundu haikufanyi uwe umenishinda kwa hoja ila umejithibitishia mwenyewe kuwa una akili fupi!Halafu unajua kusoma?Wapi nimesema kuwa ukiwa na urafiki na tajiri kuwa utakuwa tajiri?Umuhimu wa masikini kuwa na urafiki na fukara kama Magufuli anavyofanya ni upi?

kumuita Magu jina lolote hakumfanyi yeye kuwa sio rais wako na ukoo wenu.hukumbuki ni wapi umeandika sababu unatililika tu huelewi unachokiandika sawa sawa.

Labda kama wewe kiazi baada ya kifanikiwa kubadirisha mchicha na Chinese, utaanza kuwatenga wenzako mtaani kisa wanakula maharage kila siku, lakini Magufuli haoni kwamba kuna nchi isiyo na umuhimu kwa tz, ndio maana anafungamana na yeyote muhimu tu awe anajitambua.

Narudia tena kuuliza sasa, wewe masikini ukikaa na tajiri unakuwa tajiri!!
 

Babati

JF-Expert Member
Aug 7, 2014
42,675
2,000
Meko sasa hivi amekuwa kama zezeta,hakuna kinachoenda na kila anachojaribu kufanya ni kituko.Imagine sasa hivi mdau mkubwa wa maendeleo wa Tanzania na rafiki mkubwa ni Zimbabwe.Yaani nchi masikini mdau wake mkubwa wa maendeleo na rafiki yake mkubwa wala siyo nchi tajiri au hata nchi masikini kama yeye bali ni nchi fukara!Nchi tajiri wanakejeliwa kuwa ni mabeberu View attachment 1630891
Msuveni ndiyo mshirika wake mkuu
 

Babati

JF-Expert Member
Aug 7, 2014
42,675
2,000
kumuita magu jina lolote hakumfanyi yeye kuwa sio rais wako na ukoo wenu.hukumbuki ni wapi umeandika sababu unatililika tu huelewi unachokiandika sawa sawa.

labda kama wewe kiazi baada ya kifanikiwa kubadirisha mchicha na chinese,utaanza kuwatenga wenzako mtaani kisa wanakula maharage kila siku,lakini magufuli haoni kwamba kuna nchi isiyo na umuhimu kwa tz,ndio maana anafungamana na yeyote muhimu tu awe anajitambua.

narudia tena kuuliza sasa,wewe masikini ukikaa na tajiri unakuwa tajiri!!
Masikini atakusaidia nini?
 

king joniva

JF-Expert Member
May 14, 2018
251
500
Sasa mtu ambae anaomba fedha za kupambana na Corona kutoka EU tena mabilioni ya hela wakati ameshaitangazia dunia kuwa Tanzania hakuna Corona wala hana mpango wa kutake any measures, na watu hakuna haja ya kuvaa barakoa wala kufanya vipimo wala kukwepa mikusanyiko wala kuchukua hatua yoyote ile unataka nimwite jina gani linalomfaa zaidi ya hilo?
Aliomba lini mkuu au unaandika tu kwasababu ya kanuni ya huko utopoloni Bavicha.
 

Behaviourist

JF-Expert Member
Apr 8, 2016
31,342
2,000
Hivi umetumwaaaa Au ni nini ? ?
Naanza kupata wasi wasi mkubwa kwako

Umewazidi hata wapinzani wakongwe humu, unakuwa kama unashikiwa remote nyuma, kwani huyo Mzee kakufanya nini hasaa ? ?
Mzee yupi na nimemfanyia nini kibaya?
 

mkorinto

JF-Expert Member
Jun 11, 2014
21,833
2,000
Hujajibu maswali yangu na kitendo chako cha kudai kuwa magufuli haoni kwamba kuna nchi isiyo na umuhimu kwa tz ni sentensi isiyokuwa na maana kwa sababu kwa Magufuli kuna nchi ambazo kwake huwa anaona kuwa hazina umuhimu kwa tz na nchi hizo huwa anazikejeli kuwa ni mabeberu.Si sahihi kwamba Magufuli kuna nchi ambazo huwa anaona kuwa hazina umuhimu kwa tz na huwa anaziita ni mabeberu?

hakuna nchi specific inayoitwa beberu na jpm,labda kama unaijua hapa uitaje.
beberu ni mweupe yeyote mnyonyaji.

tunakubaliana katika win win situation,nipe nikupe.unapoanza kuingilia maswala ya ndani kwa kigezo cha kunipa msaada unageuka mbuzi beberu.maana unakuwa umejipa ubwana mkubwa.
 

Rebeca 83

JF-Expert Member
Jun 4, 2016
12,887
2,000
Kuniita kichwa nundu haikufanyi uwe umenishinda kwa hoja ila umejithibitishia mwenyewe kuwa una akili fupi!Halafu unajua kusoma?Wapi nimesema kuwa ukiwa na urafiki na tajiri kuwa utakuwa tajiri?Umuhimu wa masikini kuwa na urafiki na fukara kama Magufuli anavyofanya ni upi?

Achana nae hajui ukiwa rafiki na tajiri,anaweza kukuambia how he get there...
 

Behaviourist

JF-Expert Member
Apr 8, 2016
31,342
2,000
hakuna nchi specific inayoitwa beberu na jpm,labda kama unaijua hapa uitaje.
beberu ni mweupe yeyote mnyonyaji.

tunakubaliana katika win win situation,nipe nikupe.unapoanza kuingilia maswala ya ndani kwa kigezo cha kunipa msaada unageuka mbuzi beberu.maana unakuwa umejipa ubwana mkubwa.
Kwani hao weupe yeyote unaodai ni wanyonyaji hawana nchi?
 

Behaviourist

JF-Expert Member
Apr 8, 2016
31,342
2,000
wanazo nchi,lakini sababu sio msimamo wa nchi husika ndio maana nimekwambia hivyo.
Ni nchi ipi hiyo ambayo watu weupe wana msimamo wa kunyonya watu(kama mnavyowaita ni mabeberu) lakini nchi kama nchi haina shida kabisa na wala haina msimamo huo wa kunyonya watu na Magufuli anashirikiana na nchi hiyo vizuri kabisa lakini hao watu weupe katika nchi hiyo(mabeberu) hataki kushirikiana nao kwa sababu ni mabeberu na wanyonyaji?
 

Ralph Tyler

JF-Expert Member
Jul 31, 2015
2,469
2,000
Former Iranian President Mahmoud Ahmadinejad went to teach Engineering at the university after retirement. I think this is a good example.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom