Maslahi ya kisiasa kwa kundi dogo si sawa, Taifa hili limejaa watu wenye mahitaji

Msukuma Original

JF-Expert Member
Oct 2, 2018
765
1,000
Maslahi ya kisiasa kwa kikundi kidogo cha CCM sio sawa. Taifa hili limejaa watu wenye uhitaji. Hizi propaganda za kutuaminisha kuwa Tanzania haina uhitaji wa misaada ilihali uhalisia wa raia wa Tanzania wanahihitaji hii misaada sio sawa hata kidogo. Viongozi acheni kuwadhulumu watanzania kwa maslahi yenu ya kisiasa. Hawa watu ndio mnaodai mpo kwa ajili ya maendeleo yao. Maslahi yenu ya kisiasa yasiwe maumivu kwa raia wa nchi hii.
 

mnengene

JF-Expert Member
Nov 21, 2011
2,083
2,000
Kuna wajinga wajinga wataibuka watakwambia sijui wewe sio mzalendo, kibaraka wa mabeberu. Mara sijui vita vya kiuchumi
Hao machizi nawachukia pumbavu zao halafu unakuta mijitu hiyo mingine hata haifaidiki vyovyote na hili limfumo libovu la CCM inakuwa mipambe tu hata ikiambiwa ukweli
 

Daby

JF-Expert Member
Oct 26, 2014
33,267
2,000
Ukuaji wa teknolojia una faida na hasara zake.

Moja ya hasara ni kila mtu kugeuka kuwa mtoa habari na msemaji wa jamii au taifa.
 

Omusolopogasi

JF-Expert Member
Aug 31, 2017
4,556
2,000
CCM wangese sana. Wameharibu uchaguzi mchana kweupe. Wale waliopingana nao wakapigwa risasi na wengine kufungwa. Leo eti wanajitutumua eti wanaongea kwa niaba ya Watanzania. Kikundi tu cha wezi kinachoitwa Kamati Kuu na Halmashauri ya CCM, eti kinawaongelea Watanzania hawa hawa walioshuhudia udhalimu na wizi tarehe 27 na 28 Okt 2020. Zinahitajika mbinu hata za kigaidi sasa.
 

Billie

JF-Expert Member
Aug 13, 2011
11,039
2,000
Nichukua nafasi hii kutoa msimamo wetu sisi kama Watanzania tunakana kwa nguvu zote kuungana na matamshi aliyotamka Prof Jalalani dhidi wa nchi na taasisi hisani zinazoisaidia Tz. Na hivyo wote kwa pamoja tunasema huo uropokaji wake unamhusu yeye na aliemtuma kwa sababu zikianza fataki kutoka kwa hao wanaowabeza zitatuumiza wa chini zaidi wakati wao wanakula maisha.

Mwisho naomba kuwaomba samahani wazungu/mabeberu kwa dharau zilizorushwa na prof jalalani na ikiwezekana wakianza kurusha makombora naomba yaelekezwe kwa viongozi wanaungana na hizi dhihaka.
MUNGU IBARIKI TANZANIA NA MUNGU WABARIKI MABEBERU
 

UmkhontoweSizwe

JF-Expert Member
Dec 19, 2008
4,296
2,000
Miaka 60 ya uhuru TUNASHINDWA KUWA HATA NA KIWANDA CHA KUTENGENEZA PINI CHINI YA CCM.

alafu mpumbavu mmoja anasema HATUTEGEMEI MISAADA.

.CCM HOYE....
Miaka 25 chama hakina kiwanja au hata msingi wa kujenga ofisi ya makao makuu, hivi hiyo ni akili kweli?
 

shoste

Member
Jul 11, 2015
70
125
Ndio maana watu waliishi kama wanyama,
Watu walikuwa hawavai viatu, hawana nguo, Hakuna sukari ilikuwa Ni shida
CCM mmeamua turudi huko?

Hii imenikumbusha hadithi nilisimuliwa na mzee wangu,kuwa enzi hizo huko vijijini ukienda shambani kwa mtu sharti upige hodi kwanza!!
 

stakehigh

JF-Expert Member
Aug 9, 2019
3,373
2,000
Maslahi ya kisiasa kwa kikundi kidogo cha CCM sio sawa. Taifa hili limejaa watu wenye uhitaji. Hizi propaganda za kutuaminisha kuwa Tanzania haina uhitaji wa misaada ilihali uhalisia wa raia wa Tanzania wanahihitaji hii misaada sio sawa hata kidogo. Viongozi acheni kuwadhulumu watanzania kwa maslahi yenu ya kisiasa. Hawa watu ndio mnaodai mpo kwa ajili ya maendeleo yao. Maslahi yenu ya kisiasa yasiwe maumivu kwa raia wa nchi hii.

Ingekua wanatoa bila conditions hata sisi tungesupport ccm wachukue, ila mambo ya kuanza kutusimanga na misaada yao wakae nayo tu! Maisha ni zaidi ya pesa
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom