Uchaguzi TLS, hivi kuna mgombea asiyekua mwanasiasa? Mawakili tumieni taaluma yenu kuliona hili.

MAHANJU

JF-Expert Member
Aug 26, 2014
5,244
7,970
Najaribu kuangalia hata huyu Wasonge ni Wakili na Mwanasiasa, Lau Masha ni wakili na mwanasiasa, Tundu Lissu ni wakili na mwanasiasa!tofauti ndogo tu ni kwamba Tundu Lissu ni mbunge na anaendelea na kazi zake za uwakili kila siku.Lau Masha naye ni waziri mstaafu tatizo nini hapo?

Fujo za nini? Wasomi kabisa mnataka kupoteza muda kanakwamba hamuoni kitu gani? Yaani masuala ya kitaaluma mnataka kuingizwa kwenye propaganda za ajabu ajabu?
 
Back
Top Bottom