Baraza la Mawaziri Rais Magufuli liunde haraka, huna muda kama awamu ya kwanza, umebakiza miaka 4 tu

Pagan Amum

JF-Expert Member
Aug 28, 2015
1,905
2,000
Rais wangu mpendwa naomba ukiona inafaa nikupenyezee ushauri wangu. Yawezekana wasaidizi wako wanaogopa kukushauri....

Kama mwananchi na mdau wa maendeleo kuna mambo mengi sana yanekwama huku katika wizara since July mchakato wa kura za ndani CCM ilivyoanza basi mawaziri wakawa vey much busy. mfano mdogo kuna kampuni iliomba leseni toka February 2020 katika moja ya taasisi yako chini ya viwanda na biashara mpaka leo hajafanikiwa kuipata. Ni kampuni ya kichina ambayo itatoa ajira kwa vijana zaidi ya 800 direct na 6,000 indirect. Waziri alikuwa busy kiasi kwamba asign documents kabisa au pia alikuwa muoga.

Yapo mengi tu. Kutokana na hayo mengi last week ulisikika kuwa hauna haraka ta kuunda baraza la mawaziri. Hapa ndipo naomba nikushauri.... Mh. Rais umebakiza miaka 4 tu. Huna muda tena. Tena mwaka wa 4 ni wa uchaguzi 2025. Uchaguzi ambao Rais anabadilika na serikali kubadila totally mwaka wa mwisho hauna tena development agenda.

Ni watu kujipanga na kupanga safu yao ya 10 years. Hivyo, basi unda baraza la mawaziri as soon as posible. Tena ningekuwa wewe wiki hii hii ili mambo yaende wizarani... Utakaa na makaratasi makabatini kwa muda mrefu afu utakuwa na sura zile zile while una muda mchache sana wa kukaa madarakani. 2015 ilikuwa inaeleweka kuchelewa kwako kuunda baraza la mawaziri manake ndio ilikuwa projection yako ya 10 years ila kwa sasa una muda mchache sana miaka 4 tu.

after all huendi kuteuwa malaika. unaenda kuteuwa wanadamu. watakuwa na mapungufu tu no matter CV zao ni kali kiasi gani.... Tuonakuomba ili mambo yasonge wizarani. Makatibu wakuu kuna mambo hawawezi kufanya hasa katika kutoa vibali mbalimbali
 

dndagula

JF-Expert Member
Jul 24, 2016
335
500
Uteuzi makini unaendana na Vetting makini. Naamini kwa sasa inafanyika angalau kulingana na uzito wa nafasi zenyewe na kwa haraka.Mwachie Rais atimize wajibu wake wa kitaasisi na kikatiba kwa umakini na kwa kuzigatia vigezo. Bora uchelewe ufike.
 

JFK wabongo

JF-Expert Member
Aug 11, 2015
3,870
2,000
Mawaziri wengi wa kazi gani? Kama ni kazi makatibu wakuu wanapiga kazi ya kufa mtu sasa, kama ni maswali bungeni waziri Kabudi, Mpango na mwanasheria mkuu wa serikali wanatosha kabisa kujibu maswali hayo.
 

Mulokozijr12

JF-Expert Member
Oct 27, 2014
1,643
2,000
Huu ni ushauri wa kumshauri Rais wa Nchi au wa kumshauri muuza ghahawa aongeze ukweli wa kahawa?

Hapo ulipo kuna wakubwa kweli? Hivi ndivyo unavyowashaurigi?
 

DUMU

Senior Member
Sep 23, 2019
182
250
Wewe mbunge badala ya kutumikia wananchi wako unaanza kushinikiza taasisi ya uraisi ifanyekazi kwa matakwa yako
 

mama D

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
7,971
2,000
Alishasema hana haraka na akaongeza kwamba makatibu wakuu wanaweza kuendelea na kazi

Halafu unamaanisha brela wameshindwa kutoa usajili sababu ya waziri kutokuwepo???? Au unaongelea agency gani
 

ORCA ACE

JF-Expert Member
Jan 18, 2020
738
1,000
Vetting ya kutoa watu majalalani inataka umakini kwan akina matonya pia wapo ukouko majalalani wakiokota vitu.
Uteuzi makini unaendana na Vetting makini. Naamini kwa sasa inafanyika angalau kulingana na uzito wa nafasi zenyewe na kwa haraka.Mwachie Rais atimize wajibu wake wa kitaasisi na kikatiba kwa umakini na kwa kuzigatia vigezo. Bora uchelewe ufike.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom