Tunajua fika CHADEMA na Act wazalendo ni vyama ambavyo kwa ushahidi wa wazi kabisa ambao hauna chembe kuwa ni vyama vya wasaka matonge. Wao kuweka pesa mfukoni ndio lilikuwa jambo la kwanza kuliko...
Poleni wanasiasa wa pande zote.
Nimekaa naangalia matukio ya kisiasa yanayoendelea nchini kwanzia upinzani hadi chama tawala. Upande wa CCM hawana 🔥 sana sababu wanajua ushindi ni uhakika na...
Mimi ni mzalendo wa nchi hii na mwenye maono yake.
Natambua mchango wa kila mlipa kodi wa taifa hili na mla kodi wa nchi hii.
Naheshimu mchango wa mwalimu ambaye hajaongezewa posho wala mshahara...
Ndugu wanajamvi, kutokana na Mjadala mkali unaoendelea huko Kwa mabeberu, nidhahiri Kwamba tujiandae kuishi Maisha ya adha kubwa. Siku zote tumekuwa tukiishi kama nchi Kwa kutegemea misaada na...
Mimi nilifikiri ile methali kwao wangeitumia lakini bado wanakufa kisabuni maana methali inasema mtu mzima akivuliwa nguo uchutama lakini naona kwao ni tofauti kabisa maana ni watu wazima lakini...
Aliyewahi kuwa katibu mkuu wa Chama cha demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) na baadae kuhamia CCM, Dkt. Mashinji amesema Tanzania ni nchi changa na haiitaji kuwa na mabadiliko ya haraka ghafla kwa...
Mhe. Prof. Kabudi, samahani I wish to know yale majibu umewapa EU umetoa kwa niaba ya kikao cha Baraza la Mawaziri mlichokaa na Rais akiwa mwenyekiti au umetoa kama Wizara au ni maneno yako...
Ukiangalia mwenendo wa mashabiki wa Lissu alieshindwa Urais na kukimbilia Ubelgiji utaona kwamba wanaamini hawawezi chochote bila wazungu.
Yani chadema wanaamini bila mzungu wanakufa kabisa...
Naomba kujuzwa ni hatua zipi huchukuliwa na mahakama hii kuhakikisha watuhumiwa wanaotakiwa kufika mbele ya mahakama hii wanafika mahakamani.
Kwa mfano, Raisi wa nchi alieko madarakani...
Haya ni matokeo ya kura za Azimio la Umoja wa Mataifa la Kupinga Ubaguzi wa Rangi ambao umeendelea kuwatesa hasa watu weusi duniani. Nchi zote za Ulaya na mataifa makubwa yamepinga Azimio hilo kwa...
Heshma yenu wakuu, kumekuwa na tetesi nyingi juu ya Tanzania kunyimwa misaada na EU, mpaka balozi wa Tanzania alipokuja kuweka wazi whats really happened, lakina Wapinzani wakiongozwa na Zitto...
Members,
Angalieni ndege, wanyama angani wanakula na kunywa lakini hawalimi wala hawapandi. Hawa ndege wanaruka tu angani hawategemei msaada wowote.
Tusiwaogope hawa mabeberu hawana jipya...
Yaliyotokea sasa katika uchaguzi huu mkuu wa 2020 ni kujirudia kwa historia hasa hile tume ya Nyalali ambayo ilipita nchi nzima wakati wa utawala wa Aliy Mwinyi Junia na kurudi na hayo mapendekezo...
Kimataifa zaidi.
Kabudi kafeli karibu kwa kila kitu, anakabidhiwa majukumu makubwa ya kurudisha heshima ya nchi yetu kwa jumuiya za kimataifa, majukumu yanayohitaji mtu aliye na msimamo, a...
Tunazo mahakama za Afrika na mahakama ya Afrika mashariki lakini ACT wazalendo wamevuka mipaka hadi bara la Ulaya kupeleka malalamiko yao ya kisiasa.
Je, ICC ni bora kuliko mahakama za Afrika...
Kwanza kabisa napenda kumshukuru Mungu mwingi wa rehema na mwenye kurehemu kwa neema ya uhai na afya njema.
Pili niwashukuru wananchi wenzangu wa Zanzibar kwa subira kubwa baada mazito kupita...
Makamanda wamechanganyikiwa.
Hawajui kama wanaenda au wanakuja.
Sasa sikilizeni nyie makamanda [ingawa najua hamna uwezo mkubwa wa kufikiri kwa kutumia akili, lakini jitahidini kuelewa].
Ni...
There’s a saying that goes like: Once is chance, twice is coincidence, third time is pattern.
Nimeanza na angalizo hapo juu ili kuwasaidia wale ambao watadhani andiko langu ni kama ramli bila...
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai amesema Bunge la 12 litahakikisha linashughulikia agenda za watoto na vijana ili kusaidia Serikali kufikia malengo endelevu ya dunia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.