Wanamaanisha nini wanaposema “Hapatatosha”

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
98,625
Reaction score
146,774
Sina hakika Tundu Lissu alikuwa akihutubia wapi.

Ila kalirudia rudia neno “hapatatosha”.

“Mwaka huu wakijaribu kutufanyia uhuni, hapatatosha”.

Hayo ni maneno ya Lissu.

Narudia tena kusema, akiwekewa figisu jina lake lisiwepo kwenye ballot paper, sitoshangaa!
 
Sheria lazima ifuate mkondo wake. Haijalishi wewe ni nani? Tuwachieni nec
 
Sina hakika Tundu Lissu alikuwa akihutubia wapi.

Ila kalirudia rudia neno “hapatatosha”.

“Mwaka huu wakijaribu kutufanyia uhuni, hapatatosha”.

Hayo ni maneno ya Lissu.

Narudia tena kusema, akiwekewa figisu jina lake lisiwepo kwenye ballot paper, sitoshangaa!

Mtu wa kuwekewa figisu angekuwa Lowassa 2015, huyu Lisu ni mwepesi kama ubuwa wa mahindi!
 
Unategemea Lissu hatawekewa figisu na tume?
Nafikiri Magu kadhamiria kiukweli kabisa uchaguzi huu uwe huru na haki. Since haya mambo ya uchaguzi yameanza utumiaji wa nguvu na kukurupuka hasa kwa mapolisi na watawala kumepungua. Yule mama wa Ubungo alianza figisu, kafokewa. Mkuu wa wilaya wa Hai naye kafokewa na mkuu wake wa kazi. Lissu ataachwa agombee, na atasaidia sana kurudisha imani ya mabeberu kwa nchi kama akigombea, hasa hasa upande wa demokrasia. Lissu ni mtaji tosha kwa CCM na serikali wakimtumia vizuri
 
Na mwisho wa siku hatotangazwa mshindi 😄
 
Unategemea Lissu hatawekewa figisu na tume?

..nategemea atawekewa figisu ktk kila hatua.

..akipitishwa na tume, atawekewa figisu wakati wa kampeni.

..binafsi nataka kuona kampeni ambazo zimechangamka na zina ushindani.

..natamani siku moja Tz tuwe na zile chaguzi ambazo huko kwenu majuu wanaziita "too close to call."
 
Kwa nchi yangu hii sina matumaini yoyote kuwa kuna kitu kinachoweza kufanyika na kuwawajibisha watakao kata.
Ni huzuni kuwa nchi yetu wapo watu wenye uwezo wa kukaa juu ya katiba na sheria na hakuna chombo cha kuwafunga kengele hao mapaka shume.
 
Back
Top Bottom