RC KUNENGE AKERWA NA "UBABAISHAJI" WA MKANDARASI WA UJENZI WA DARAJA LA ULONGONI A, ASEMA HATAKI UBABAISHAJI KWENYE MIRADI YA KUTATUA KERO ZA WANANCHI
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Aboubakar...
Wadau, amani iwe kwenu.
Hivi punde Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Prof Jakaya Kikwete atalihutubia taifa kupitia vyombo vya habari ambapo hotuba hiyo itatolewa kwenye Ukumbi wa Uwanja wa...
Magufuli matatani
- JK naye amshambulia waziwazi
na Betty Kangonga
SIKU chache baada ya Waziri wa Ujenzi, John Magufuli, kudaiwa kwamba alikusudia kujiuzulu kwa madai ya kuingiliwa katika...
Ni ukweli usiopingika kuwa kuundwa kwa Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar sasa limebakia kwa ACT-Wazalendo baada ya Rais Hussein Mwinyi kukiandikia barua ya kutaka jina la Makamu wa Kwanza wa...
Rais Kikwete alisema kuwa baadhi ya viongozi wa dini wamekuwa wakishiriki biashara ya dawa za kulevya kwa kuwafanya mipango ya kuwatafutia vijana hati za kusafiria kwenda nchi za kufanya biashara...
Atembea kwa miguu kutoka Ikulu, avamia Wizara ya fedha, Wafanyakazi washangaa. Akagua ofisi chumba kwa chumba.
Siku ya Kwanza baada ya kuapishwa, Rais Dk. Magufuli amefanya ziara ya kushtukiza...
Mabibi na mabwana mabeberu ndiyo hao tena hamna shaka threads lazima kukazwa. Tumeshapigwa chapa kama matoto makaidi.
Madege 5 mapya ya kununua, mwendelezo wa SGR, meli mpya za kununua...
Kupitia akaunti ya twitter ya Tundu Lissu,nimeona video (bila shaka ni huko Kawe, Dar-es-salaam) inayoonyesha rundo la kura zinazidaiwa kuwa ni feki huku Polisi wakishirikishwa kuzitambua/...
TAARIFA: Kiongozi wa @ACTwazalendo, @zittokabwe na Makamu M/kiti wa @ChademaTz, @TunduALissu kuzungumza katika Mkutano wa pamoja na waandishi kesho Novemba 23, 2020 saa 8 mchana kupitia Zoom...
Uchaguzi mkuu umekwisha. Huu ni wakati wa kupiga tathmini. Nitaleta tathmini yenye vipengele vifuatavyo:
1. Mchakato wa kuandaa Ilani ya uchaguzi
2. Mchakato wa kujenga Mtandao wa kampeni za...
Tukiacha ushabiki wa kisiasa na itikadi, Sasa ninaanza kufahamu kwa nini Mwalimu Nyerere, Mandela, Augustino Neto na wengine walipiga kelele kuhusu Mfumo wa uchumi Duniani kugandamiza nchi za...
Nilidhani atakuwa chachu ya kuwatafutia vijana ajira; 2/3 ya ajira za US citizens huko Marekani zinatokana na ajira binafsi, kwamba sekta zilizoanzishwa na watu wenye akili nyingi (investors)...
Katika muda wangu kwenye siasa mtu sahihi kumjibu Kabudi huwa ni Tundu Lissu. Lissu anaijua vizuri historia na amejisomea vya kutosha kwa mawanda makubwa. Kabudi akimwonaga Lissu anaufyata kabisa...
Toka
Richmond
Epa
Escrow
Operations tokomeza
Katiba mpya
Funga zote ambalo hamna mwingine zaidi yake ni lile la kuchukua mshahara wake tu na kuagiza posho ziingizwe kwenye mfuko wa jimbo
Hivyo...
CHADEMA kama ilivyo kawaida yao ya kutunga na kutengeneza matukio ya uongo. Wamejaribu kutengeneza ya Lissu, Lema na Nyarandu lakini yote yamebuma.
Watanzania na wajanja duniani...
Kwa ufupi sana unaweza kunitajia viongozi watatu tu wa vyama vya upinzani walioshiriki vita vya kumng'oa Nduli Idd Amin wa Uganda, siyo lazima wawe wapiganaji bali hata wawezeshaji kule field...
Mbunge Wa Mbeya Mjini Kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) ameanza kutekeleza majukumu yake kwa kasi na weledi wa Hali ya juu.
Amedhamiria kutimiza ahadi alizowapa Wapiga kura wake.
Ameamua kwa...
Hivi hakuna wakati wanasiasa wanaweza kuongea kama Watanzania wakaachana na vyama vyao kwanza?
Inanishangaza sana masuala nyeti kama ushirikiano wa Kimataifa watu wanayajadili kwa mtazamo mmoja...
Chama cha Mapinduzi Manyara kimeshauri CCM nchi mzima ianzishe biashara ya shule za Jumuiya ya Wazazi! Elimu haitakiwi kufanywa biashara tena na chama kilichopo madarakani, taswira inayoonekana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.