Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nimesoma hizi kauli mbili kinzani kati ya Waziri wa nje wa Sweden na Waziri wa nje wa Tanzania akijibu hakika nimebaki mdomo wazi. Kauli za Kabudi zimekosa diplomasia na zinaonyesha ubabe ambao...
3 Reactions
52 Replies
4K Views
Saalam! Nimekuwa nikitafakari na nafsi yangu kuwa hawa wazee mbona hufanya vikao kila unapoisha Uchaguzi na siyo kabla? Hii ina maana gani, inatoa tafsiri gani? Mbona hawaendi kufanya vikao na...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Tanzania imejitoa rasmi katika Mahakama ya Africa, hivyo NGO's, mashirika na watu mbalimbali hawataweza tena kufungua kesi katika Mahakama hiyo kutafuta HAKI. More to follow...
2 Reactions
14 Replies
3K Views
Kama kichwa cha habari kilivyo! Tanzania ni nchi yenye historia ya pekee barani Afrika na duniani kote. Ni taifa lililopigania Uhuru wa nchi nyingi Afrika na ni Taifa la kuigwa si barani Afrika...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Kitendo cha kumuondoa Paul Makonda Dar es Salaam imekuwa kama afueni kwa wapinzani Jijini Dar es Salaam. Hakika kama Makonda angebakia, wapinzani wasingepata Jimbo hata moja ila kwa sasa naona...
5 Reactions
43 Replies
5K Views
Nilimsikiliza Profesa Kabudi akijimwambafy, akizungumza kwa kujitapa kabisa kuwaambia wahisani wetu kuwa Tanzania iko imara, haibabaishwi na misaada yao na kwamba sisi kama Taifa tunaweza kushinda...
24 Reactions
21 Replies
3K Views
Mabibi na mabwana haipo namna jamii inaweza kupata mafanikio yoyote ya maana bila ya kuwekeza kwenye umoja wa kitaifa kwanza. Vita dhidi ya ubaguzi wa kikabila, kikanda, kidini, kijinsia, nk, ni...
4 Reactions
12 Replies
1K Views
Baada ya profesa msomi sana mjuvi sana aliyewagaragaza mabeberu yaliokua wakitunyonya kwa kushirikiana na wezi waliopo hapa nchini watanzania wenzetu, kutuibia maliasili zetu, jana Palangamanda...
18 Reactions
154 Replies
8K Views
Gari ya ubia iliyokuwa inawapeleka kazini jamaa wane imesababisha ugomvi mkubwa! Bwana Matarimo amechoka kuchangia gari ameamua kuwafukuza wawekezaji wenzie waliodunduiza pamoja na kuchangia...
0 Reactions
0 Replies
632 Views
WENZETU WAMEWEZAJE KUWA VIBARAKA WA MABEBERU? Uoga dhidi ya Washindani wao. Wapo Wanasiasa waoga na wameshindwa kukabiliana vilivyo na Washindani wao kisiasa katika Mataifa yao. Hivyo hufikiri...
0 Reactions
7 Replies
897 Views
Leo ngoja niseme kitu kinachoniumiza sana hata nikinyakuliwa niwe nimetoa langu la moyoni, ambacho natamani Sana MH. Rais JP Magufuli alitoe Kama tamko na bungeni sheria itungwe kabisa ili...
0 Reactions
0 Replies
860 Views
Wakinamama takribani watatu wamethibitika kupewa talaka baada ya hekaheka za uchaguzi. Wete katika jimbo la Gando mume ametoa talaka kwa bi. Zawadi Ally Haji "Niliachwa kipindi hicho cha siasa...
5 Reactions
46 Replies
7K Views
Rais wa Zanzibar Dr Hussein Mwinyi yupo mubashara Channel ten anatangaza baraza jipya la mawaziri. Baraza la mawaziri limetangazwa lakini Wizara mbili zimebaki wazi na uteuzi utafanywa baadae...
8 Reactions
57 Replies
10K Views
Kuitana Beberu sijui majina gani, haisaidii. Mbona tunasubiria takwimu zao kutuambia tumepanda au kushuka. Wakituambia tupo uchumi wakati sasa, nishangwe kila kona. Ila wakituambia hatuna...
4 Reactions
7 Replies
793 Views
Amani iwe nanyi tena wadau! Nimetoka kutazama mjadala mzito unaoihusu Tanzania katika Kamati ya Mambo ya Nje Bunge la EU. Napenda tu kusema yafuatayo 1. Tanzania tuna hali mbaya sana...
122 Reactions
1K Replies
108K Views
Hivi karibuni, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kiamataifa, Prof. Kabudi aliongea na vyombo vya habari kuhusu Tanzania kujadiliwa na Kamati ya Bunge la Ulaya kuhusu kuminywa kwa demokrasia...
11 Reactions
19 Replies
2K Views
Chichidodo ni aina ya ndege anayepatikana nchini Ghana. Kitu cha kipekee kuhusu ndege huyu ni kwamba anachukia sana kinyesi cha binadamu kwa nafsi yake yote, lakini chichidodo anapenda sana kile...
10 Reactions
73 Replies
9K Views
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imetaja kero nne ilizokutana nazo wakati wa mchakato wa uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 28, mwaka huu, ikiwamo baadhi ya wagombea kuwatisha wasimamizi...
6 Reactions
62 Replies
5K Views
Mabibi na mabwana si haba kila mwenye akili zake akafanya tathmini kuhusu mustakabala wetu kama taifa. Katika tathmini kama hii si haba kwa awaye yote kutokujidanganya mwenyewe. Nyerere (rip) na...
12 Reactions
29 Replies
2K Views
Ili kushinda uchaguzi slogan huwa pia na mchango mkubwa Slogan mfano us ACT wazaledo ya Kazi na Bata ilikuwa hata haileweki inalenga nani Mkulima,mfanyabiashara,machinga ,wavuvi,, wafugaji, au...
4 Reactions
30 Replies
3K Views
Back
Top Bottom