Najaribu kukumbuka tukio la Chadema kuwasimamisha uanachama wabunge wake waliokataa kutii maagizo ya chama ya kutoingia bungeni kutokana na Sakata la COVID 19.
Nakumbuka sakata la Chadema na Dk Slaa baada ya uchaguzi wa 2015.
Kwa mtizamo Chadema ni chama ambacho hakivumilii "ujinga" kwa maana chama kikitoa msimamo wa tunafuata hiki na wewe ukataka kuleta mambo ya demokrasia kuwa ninaweza kutokubaliana na hilo wanakutimua chama na hilo limefanyika kwa wengi.
Tatizo inapokuja kwa nchi, kwa sababu watawala ni wengine na si wao wanaofanya maamuzi basi wanataka demokrasia ya kila mtu afuate fikra zake.
Yaani mtu anaweza kupita huko kwa wafadhili na kusema nchi yangu wainyime misaada, mikopo, iwekewe vikwazo vya kiuchumi na akarudi nchini na kaendelea kuwa Mtanzania lakini akifanya hivyo kwenye chama chao wanafukuza.
Mimi nashauri kama nchi tufuate sera za Chadema.