Zanzibar: Rais Mwinyi awaapisha Mawaziri, ataka wawajibike ipasavyo

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Mwinyi leo amewaapisha mawaziri 15 ambapo amewataka kuwa na hati nne kwa ajili ya kuengeneza mpango kazi kwa ajili ya wizara zao katika kipindi cha miaka mitano ikiwemo kufahamu vizuri muundo wa wizara na taasisi zote zilizopo chini yake.

Akizungumza katika hotuba yake Ikulu Zanzibar, Dk Mwinyi aliwashukuru mawaziri wote kwa kukubali uteuzi huo na kubainisha kuwa hakuna aliyemtaarifu juu ya uteuzi wake.

Hati ambazo mawaziri hao wanatakiwa kuwa nazo ili kutengeneza mpango kazi katika wizara zao kwa kipindi cha miaka mitano ni kama ifuatavyo;

1. Ilani ya uchaguzi inasema nini katika wizara

2. Hotuba aliyotoa katika Baraza la Wawakilishi inaelekeza nini kwenye wizara

3. Ahadi kipindi cha kampeni zinasemaje

4. Kupata maoni ya wadau kuhusu wizara

Katika hatua nyingine Dk Mwinyi amewataka mawaziri waliokula kiapo kuwajibika ipasavyo na kuhakikisha kila mtumishi anatekeleza wajibu wake kwa wananchi.
 
Hotuba yake ilikuwa nzuri sana uwenda akawa Rais wa jamuhuri
 
NAONA BABAAKE HAKUMTEUWA KUWA MAKAMO WA KWANZA WA RAIS
 
Ni jambo jema!
 
Atajijua mwenyewe na serikali yake aliyoipata kwa kumwaga damu .
 
Back
Top Bottom