Nianze kwa kusema utabiri wangu utajikita zaidi kwenye hali yakisiasa na uchumi ila ikiwa tu serikali yangu haito badili sera za uchumi kwa walizo kuw nazo ktk mwaka 2020.
Ajira niwazi kuwa kwa...
Mataga nimeona wanajikita kuwa EU ijue Tanzania ni nchi huru. Na wamekuwa, hasa Rais wao akisema hakuna uhuru usio na mipaka inapokuja kuwabana wapinzani/wanaharakati wa kupinga ukiukwaji wa haki...
Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu siasa za Tanzania tangu miaka ya tisini. Baada ya uchaguzi wa mwaka huu,nimeamua kukubali kuwa CCM hakitakaa kiondoke madarakani kwa njia yoyote ile unayoijua wewe...
Maisha ni uchumi na uhuru wa kweli ni uchumi. Wale waliosomea siasa Uchumi yaani political Economy wanajua uhusiano wa siasa na uchumi. Pia wanafahamu uhusiano wa binadamu juu ya uzalishaji...
Jaribio la mapinduzi la mwaka 1964 lilihusishwa kwa sehemu kubwa na Oscar Kambona. Hapa wakituhumiwa Kambona na Lusinde kuvunja kitengo maalum cha intelijensia kilichoitwa SPECIAL BRANCH na kujaza...
Kufuatia kauli ya Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Kamanda Sirro kuhusu vifo na kuvunjwa kwa Haki za binaadam nimemuandikia Barua na kumkabidhi Taarifa yetu yenye idadi ya Watu waliokufa kwa majina...
Nilikua nikifuatilia kampeni za nafasi ya Urais kwa Vyama vya CCM na Chadema kwa ukaribu sana.
Wagombea wa vyama hivyo viwili sote tunawafahamu.
Sote tunafahamu kwamba kwa Utamaduni tuliojiwekea...
Karibu Shujaa Tundu Antipas Lissu!
Tanzania imekuona, Tanzania imeamka. Tanzania imeshtuka kutoka usingizini.
Umemaliza ngwe ya kwanza, umeona mwenyewe Tanzania ilivyokupokea. Ni dhahiri kuwa...
Juzi niliona makala moja katika mtandao wa BBC ikisema " Katika nchi zilizoendelea watu wasio na elimu ndiyo wenye vitambi lakini katika nchi zetu za kiafrika wasomi ndiyo wenye vitambi"...
Huu ndio ujumbe alio utoa mbunge wa Bunda mh Ester Bulaya kwenye ukurasa wake wa Twitter baada ya hotuba ya Rais.
Nanukuu
"Ni bora sisi tuendelee kuwatumikia mabeberu kuliko kukutumikia wewe"...
Kwanza nakupongeza kwa namna unavyojituma kuitumikia nchi kwa moyo wa dhati na nakupa pole kwa matusi unayolipwa na baadhi ya Watanzania. Hata Yesu alijitoa kwaajili ya wanadamu na hawakusita...
Nchi ya Tanzania ni muhimu sana katika bara la Africa, ni nchi iliyobeba dhamana kubwa sana katika ulinzi na usalama kwa bara Afrika
Na ni nchi mbili tu barani Afrika ambazo zimekaa eneo la...
"Uchaguzi" umekwisha. Ahadi ni deni. Watu tumesha uza nyumba na kakata passport tayari kwa safari ya Marekani tuwahi sherehe ya kuapishwa rais mpya wa nchi hiyo. Mshindi wa ubunge jimboni kwetu...
Hivi ni kweli watani zetu wa jadi mmeshindwa kuwa na vipaumbele,vipaumbele vimebaki vile wanavotamka kila robert na lissu!
Kwanini mnapenda kuongozwa na mihemko hivi ni kweli kama wanavyowaita...
Jaji Sinde Warioba (Waziri Mkuu Mstaafu wa Tanzania) amesema Tasnia ya Habari kwa sasa imekua sana lakini hana uhakika kama imekomaa kiasi cha kutosha kutoa habari za kila aina kwa Wananchi...
Katika taarifa ya habari ya Channel 10 ya usiku wa jana tarehe 20 Novemba 2020, Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji na Mwakilishi wa Tanzania kwenye Umoja wa Ulaya Mhe Jestas Abuok Nyamanga...
Hakuna mapigano, hakuna mfalme sote tunaishi vizuri na hili lote lina julikana sote ni ndugu tunahitaji zaidi amani kuliko vita au uadui.
Lakini serikali tunaiomba iwe makini Zaidi na suala la...
Tanzania na Kenya zilipata uhuru mapema miaka ya 1960s. Leo zinakaribia miaka 60 tangu zipate uhuru.
Nchi hizi mbili ni kama makaka wawili waliozaliwa tumbo moja ila kila mmoja kachukuwa njia...
Hakuna MTU awaye yeyote alidhania au aliwahi hisi Eti Hitler siku moja angekimbia kiti nakujificha na mwisho kupotezwa kama alivyo poteza wenzake. Vitabu vinasema Hitler alitafutwa mithili ya...
Tunashuhudia kampeni za mgombea urais kupitia CHADEMA ndugu Tundu Lissu kila anapopanda jukwaani lazima atamtaja Magufuli kwa jambo lolote lile kwa kifupi kipaumbele cha kwanza kwenye hotuba za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.