Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wasaalam ndugu wana Jamhuri ya JF. Nawapenda sana ndugu zangu pamoja na Mara kadhaa kupishana kimisimamo na kiitikadi lakini ni Imani yangu Tungali na Umoja na Mshikamo Mkubwa Baina yetu tena...
7 Reactions
32 Replies
3K Views
Kwanza kabisa ni kuomba radhi kwa watanzania wote kwa kusema uongo kuwa alishambuliwa na watu wasiojulukana na kisha kuvunja kifundo cha mguu. Hii haitasaulika kwa watanzania sababu ilichafua...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Tutambue ya kwamba CAG ni binadamu, kama alivyo mtu mwingine ndivyo ilivyo kwa CAG kwamba yamkini ni mtu wa mlengo wa kushoto na yupo kwa sababu ya kundi fulani lenye mlengo huo. Si ajabu...
1 Reactions
5 Replies
895 Views
Baada ya Kenya kuzuia ndege na abiria kutoka Tanzania, na sisi tumejibu mapigo. Mamalaka ya usafiri wa anga TCAA imepiga marufuku ndege zote zinazomilikiwa na shirika la ndege la Kenya Airways...
19 Reactions
77 Replies
8K Views
Leo Rais Samia akiwa Uganda, ameonekana kwa mara ya kwanza [kwa nijuavyo mimi] akiwa amevaa barakoa. Maajabu! Pia, akiwa huko na mwenyeji wake, pamoja na kuvaa barakoa, ule ukaaji wa mbalimbali...
1 Reactions
35 Replies
3K Views
Ukweli siku zote humuweka mtu huru. Huyu Mwendazake alikuwa mnafiki sana kila jumapili utasikia ooh tumuweke Mungu mbele....lakini kumbe huyu alikuwa anatupiga vya kutosha. Ukijumlisha ufisadi...
9 Reactions
45 Replies
3K Views
Ilimchukua muda mrefu sana na baada ya kuombwa na watu mbalimbali kushiriki kampeni za Baba yetu! Baba yetu alizunguka karibu robo tatu ya jimbo lake peke yake kufanya kampeni bila ushiriki wa...
64 Reactions
204 Replies
32K Views
Huenda mwendazake alifikiri ukali na vitisho ni silaha ya kunyamazisha wizi au kumaliza wezi, lakini kiukweli wizi ni roho. Wizi ni kama Madawa ya kulevya. Mbwia Madawa akikosa Madawa yuko tayari...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
#UpdatesKishikaji MATAGA ON [emoji91] 1. a) WAPINZANI: Hakuna Uhuru wa Vyombo vya habari vimekuwa Vinafungiwa kibabe. MATAGA : Hakuna Chombo kinachofungiwa kibabe. Vinafanya makosa kukosoa kila...
14 Reactions
36 Replies
2K Views
Baada ya kufariki kwa Rais Magufuli sioni ni kwa jinsi gani wakazi wa Kanda hiyo wataendelea kukiunga mkono hiki chama hasa kwa sababu kuu zipatazo tatu kama ifuatavyo. Mosi: Uungwaji mkono kwa...
7 Reactions
27 Replies
3K Views
Rais Samia Sukuhu Hassan amewasili Kampala nchini Uganda na kupoke!ewa na Rais Yoweri Museveni. Watu wote akiwemo Rais Samia wamevalia barakoa Tukio liko mubashara TBC!
4 Reactions
42 Replies
5K Views
Kwa jinsi inavyosemekana, tunaambiwa kuwa samia amekuja na neema zake. Hii ni tofauti na mtangulizi wake aliyewabana chadema mpaka wakasalimu amri na wengine kuunga mkono Juhudi za chuma JPM...
0 Reactions
6 Replies
988 Views
Magazeti ya leo yameonyesha Mhe. Mbowe ametozwa faini ya zaidi ya sh. 1 m kwa kukwepa kodi katika biashara zake. Ni kuwa amekuwa anakwepa kutumia EFD. Tunajifunza nini kwa mkuu wetu kama angekuwa...
5 Reactions
76 Replies
8K Views
Habari wa jf wenzangu, Kwa mujibu wa hotuba ya mheshimiwa rais ya tarehe 6April2021. Nmesikia mama amezungumza mengi lakini muelekeo wake najaribu kuuhusianisha na kaulimbiu ya mzee wa dakika...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Waungwana huyu mtukufu wa Ikulu anayajua yote haya ya dili kila mahali na yeye mwenyewe alishiriki katika madili mbali mbali ya kifisadi. Sasa pamoja na kuyajua haya mbona hawachukulii hatua...
8 Reactions
41 Replies
4K Views
Mambo mengine yanayoendelea bungeni ni ya kitoto sana na lazima yakemewe kwakweli. Anasimama mbunge anasema SGR itatumia miaka 81 kukamilika hivyo haitufai. Anasimama mwingine anasema Umeme wa...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
1. Nchi imegawanywa katika makundi makubwa mawili. Kundi la kwanza linaongozwa na Viongozi wenye kuona kuwa JPM hakua mtu sahihi. Hawa wengi ni majeruhi wa Uongozi wa JPM kwa namna moja ama...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Dar es Salaam. Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) iliyodai kuwa imeshindwa kuwapata kwa kutumia hati za wito za Mahakama, Freeman Mbowe, mkewe Dk Lilian Mtei na aliyekuwa Meneja wa Klabu ya...
26 Reactions
312 Replies
30K Views
Mchechu ni mkurugenzi mkuu wa NHC Je, ni kweli kampuni zake (wanasema anazimiliki indirectly) ndiyo zinapewa priority kwenye tenda za kujenga nyumba za shirika hilo? The word is mwenyewe haogopi...
8 Reactions
128 Replies
17K Views
Akihutubia mkutano mkuu wa CHadema hivi karibuni Mbowe alisikika akisema kwamba nchi yetu yote ya Tanzania ilishamwagiwa mafuta ya petroli na yeye ndiye mwenye kibiriti. Na kwamba uvumilifu...
3 Reactions
38 Replies
3K Views
Back
Top Bottom