Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Magufuli pamoja na mazuri yote yanayosemwa kama yapo, lakini ndio kiongozi pekee Tanzania aliedhibiti sana vyombo vya habari kuliko Raisi yoyote yule. Kama Kuna watu hawalioni hili kuna tatizo...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Waambie..." Tanzania ni ile ile tu anayoijua Rais Museveni isipokuwa hii ya sasa iliyo chini yako ni ya Kiustaraabu, Makini na ya Kiungwana zaidi..." Pia waambie..." Tanzania ya sasa imejikita...
33 Reactions
100 Replies
10K Views
Kutokana na kelele za walio wengi huku mitandaoni na jinsi tunavyojua kuwa Mama amekuwa ni wa kusikia sana habari za mitandaoni nategemea na binafsi nimeshajiandaa na haya machache kutokea. 1...
14 Reactions
86 Replies
7K Views
naamini wafuasi wa TANU wapo na wanakiunga mkono chama chao,huu ni wakati muafaka kuanzisha au tuseme kukifufua chama chetu kilichopigania na kutupigani Uhuru hadi tukakomboka. Sisi sote...
1 Reactions
2 Replies
789 Views
Maprofesa wasomi wetu kwanini mnalialia. Nime wasikia ma pro, wakikosoa baadhi ya miradi iliyo anzishwa na hayati Magufuli. Wengine wanaponda bwawa la umeme wakisema lakizamani, wengine...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Mnyonge hasa ni nani Tanzania, ni kipi anachostahili, nani afanye nini na ni yapi madhara ya kutumia dhana hiyo isivyostahili. 1. Mnyonge ni mtu asiyeweza kujipigania yeye mwenyewe ili kuweza...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Natumia theory ya Assad kwamba duniani kote ndege hazinunuliwi kwa cash bali mkopo. Kwa theory hii ni vyema basi tuwakutanishe wajasiliamali wadogo jijini Dar wakope ndege hata 20 hivi za kuanzia.
0 Reactions
24 Replies
2K Views
RAIS MAGUFULI AWE MAKINI NA WANAFIKI NDANI YA SERIKALI YAKE Mwaka jana niliandika nikitahadharisha kuhusu viongozi wanaotoa sifa za kupindukia kwa Mheshimiwa Rais Magufuli. Katika kundi hili wamo...
13 Reactions
24 Replies
4K Views
Kutokana na mambo kadha wa kadha kufanywa na ofisi hii ikiwemo ukaguzi wa hesabu za serikali bila kuwepo udhibiti wa wizi kwenye ofisi zetu za umma, basi nilikuwa naonelea kufutwa kwa majukumu ya...
3 Reactions
52 Replies
3K Views
Ni wazi kabisa bila hiyana CCM ile ambayo mtu akivaa vazi la chama anazomewa upepo ulibadilika sana baada ya hayati Magufuli kushika nafasi hiyo basi ikiwa watacheza mchezo mbaya unaondelea na...
2 Reactions
26 Replies
2K Views
Controller and Auditor General ametoa report yake ya mwaka jana juu ya utendaji wa shirika letu la ndege yaani ATCL. Katika report huyo ameaanisha kuwa kwa mwaka wa fedha uliopita shirika limepata...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Mimi Ni Mtanzania,Mimi Ni mpenzi au shabiki wa Simba tokea nimezaliwa ila Ni mshabiki muoga,huwa naumwa Sana Simba ikicheza mechi nzito. Kuanzia leo naanzisha maombi maalum kuiombea Simba ishinde...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Nikimnukuu Rais kasema mtu akiomba vibali vya kazi apewe sababu ndo watu Mwekezaji 'anaowaamini'. Binafsi sina shida kabisa na hili iwapo tutafuata sheria zinavyotaka. Sheria inasema muwekezaji...
64 Reactions
269 Replies
21K Views
Profesa Assad akiwa mjumbe wa Bodi ya NSSF miaka michache iliyopita na tena akiwa ni mjumbe kwenye kamati ya Bodi ya uwekezaji ya NSSF(MIC) alijinufaisha katika kununua nyumba za NSSF huko Tanga...
26 Reactions
443 Replies
46K Views
Waziri mkuu wa Tanzania Bwana Majaliwa leo ametembelea mradi wa ujenzi wa bwawa la umeme la Mwalimu Nyerere na kuangalia maendeleo ya ujenzi. Majaliwa ameridhika na kasi ya ujenzi wa mradi huo na...
23 Reactions
98 Replies
9K Views
Kuna hoja imetolewa na Mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Kabwe (ACT Wazalendo) na kurudiwa juzi Bungeni na Mbunge wa Mwibara (CCM) Kangi Lugola kuhusiana na ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa...
7 Reactions
191 Replies
25K Views
Baada ya kuona wanaodhihaki kazi nzuri aliyoifanya Hayati JP Maguli iliwemo miradi mikubwa ,kutufikisha uchumi wa kati ,kutatua shida za wanyonge waliyokuwa wamedhulumiwa haki zao,kupambana na...
8 Reactions
49 Replies
4K Views
Prof Assad anaongea sana hana tofauti na Tundu Lisu. CAG Kicheere ameshatufafanulia wananchi kilichojiri katika ripoti yake na watanzania wamemuelewa lakini bado CAG aliyemaliza muda wake...
1 Reactions
31 Replies
2K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajia kufanya safari yake ya kwanza ya kikazi nje ya Nchi kwa majirani zetu Uganda. Rais Museveni amemualika Rais Samia kwenye...
21 Reactions
156 Replies
17K Views
Na Thadei Ole Mushi. Spika wa Bunge kaishangaa Serikali kuanza kutengeneza Reli badala ya Kuanzia na bandari. Si mara ya kwanza Kwa Mh Ndugai kusema kuhusu ujenzi wa BANDARI hii mwaka 2019...
17 Reactions
81 Replies
8K Views
Back
Top Bottom