Rais Samia awasili Kampala Uganda vyombo vya habari duniani ikiwemo TBC viko mubashara.

Tunacho taka ni masilahi ya watanzania yapewe kipau mbele.
Mkataba utao sainiwa uzingatie HAKI.
 
Ni tukio lisilo na mvuto japo unalipa promo. Sio kwamba tunamkubali huyo mama maana naye ni jizi la kura, ila tunamstahi kwa sasa wakati tunamsoma mwelekeo wake. Tunasubiri tumuone Zito akichambua ripoti ya CAG ITV na AZAM hiyo saa 6.
 
Chadema wote wanafuatilia kwa makini bwashee!
 
hapa napo tumekula hasara. yaani hii nchi ina shida. anaenda kujifunza jinsi ya kung'ang'ania kukaa madakani na kuua wapinzani kwa live bullets?
 
Back
Top Bottom