Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,273
- 6,637
Kwanza kabisa ni kuomba radhi kwa watanzania wote kwa kusema uongo kuwa alishambuliwa na watu wasiojulukana na kisha kuvunja kifundo cha mguu. Hii haitasaulika kwa watanzania sababu ilichafua hali ya hewa kisiasa.
Pili kuomba radhi kwa jinsi alivyocheza makaratee na kusababisha bil 8.8 zikajikuta zimeyeyukia mikononi mwake na kusababisha Chadema ikawa hoi bin taabani kiuchumi.
Tatu ni kumtelekeza Lissu akafanya kampeni peke yake huku yeye akiwa busy na kajimbo kadogo ambako angeweza kufanya kampeni kwa siku tatu tu.
Mwisho kabisa ni kufafanua kwa nini mil 377 zimetumika bila idhini ya baraza la chama? Na nyumba ngani nzuri ambayo imenunuliwa Serengeti kiasi cha kuwa na thamani kubwa kuliko makao makuu ya Chama yaliyopo mtaa wa Ufipa Kinondoni.
Siasa sio uadui. Kazi inaendele.