Tanzania tumechezewa mno na tumeibiwa mno

BAK

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2007
Posts
124,767
Reaction score
288,337

Waungwana huyu mtukufu wa Ikulu anayajua yote haya ya dili kila mahali na yeye mwenyewe alishiriki katika madili mbali mbali ya kifisadi. Sasa pamoja na kuyajua haya mbona hawachukulii hatua yoyote wahusika wa madili akina Lugumi, Escrow, IPTL, MV UFISADI n.k.!?

Inakuwaje anaimba nyimbo za madili ya wizi na kifisadi lakini wakati huo huo anashindwa kuchukua hatua zozote dhidi yao pamoja na kuwa wahusika wote wanajulikana?

Na mikataba ya madini kwanini hataki kuiweka hadharani ili tuone tunavyonyonywa na wahuni mbali mbali? KULIKONI?
 
Tulichezewa au walituchezea?? Maana hakuna Mwana CCM msafi aliye ndani ya CCM.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ni mambo ya kushangaza sana Mkuu, anadai aliyajua hayo madili wakati akiwa Serikalini lakini akapiga kimya miaka yote huku madili mbali mbali yakifanyika na yeye akifanya yake. Madili ya Rada, Richmond, EPA, Escrow, Kigoda, Meremeta, Kiwira Coal Mining, etc na yeye akawa busy akifanya yake leo anatwambia tumechezewa mno na kuibiwa mno lakini wakati huo huo anaendelea kuwakingia kifua majizi na mafisadi ambao wanajulikana ni akina nani.

Alafu hivi ni nani alitamka kuwalinda kina fulani!!!

Nauliza tu maana msije sema mimi ni mchochezi.
 
Waungwana huyu mtukufu wa Ikulu anayajua yote haya ya dili kila mahali na yeye mwenyewe alishiriki katika madili mbali mbali ya kifisadi. Sasa pamoja na kuyajua haya mbona hawachukulii hatua yoyote wahusika wa madili akina Lugumi, Escrow, IPTL, MV UFISADI n.k.!?

Inakuwaje anaimba nyimbo za madili ya wizi na kifisadi lakini wakati huo huo anashindwa kuchukua hatua zozote dhidi yao pamoja na kuwa wahusika wote wanajulikana?

Na mikataba ya madini kwanini hataki kuiweka hadharani ili tuone tunavyonyonywa na wahuni mbali mbali? KULIKONI?

Hongereni kwa kuchezewa, Na mbona hamkumchagua JPM sasa mnalazimisha afanye mtakavyo, ukiwa looser manake unasubiri uone wenzio wanavyopiga misele nyie mmejitwisha madodoki kusafisha watu kausheni wenzenu wapige kazi nyie someni ubao wa matokeo Tu!
 
Ufisadi na ccm ni sawa na mtoto na titi la mama yake........

Siku mtakapoelewa kwamba ccm ni genge la kuwaibia na kuwatawala ndipo tutakapoanza kudai haki zetu........
 
Ni mambo ya kushangaza sana Mkuu, anadai aliyajua hayo madili wakati akiwa Serikalini lakini akapiga kimya miaka yote huku madili mbali mbali yakifanyika na yeye akifanya yake. Madili ya Rada, Richmond, EPA, Escrow, Kigoda, Meremeta, Kiwira Coal Mining, etc na yeye akawa busy akifanya yake leo anatwambia tumechezewa mno na kuibiwa mno lakini wakati huo huo anaendelea kuwakingia kifua majizi na mafisadi ambao wanajulikana ni akina nani.
Binafsi huwa simuelewi ni nini anachosimamia.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
....Wanajua Watanzania wengi hatuwapendi na ndiyo sababu wameng'ang'ania madarakani kwa kupitia mtutu wa bunduki na kugomea katiba mpya na tume huru ya uchaguzi.

Ufisadi na ccm ni sawa na mtoto na titi la mama yake........

Siku mtakapoelewa kwamba ccm ni genge la kuwaibia na kuwatawala ndipo tutakapoanza kudai haki zetu........
 
Akamate wote hata kama na Lowasa yumo kuliko kuendelea kupayuka payuka bila kuchukua hatua
Juzi tu hapo Bilcanas mkono wa mwenyekiti Mbowe ulikuwa 'twisted' kidogo tu mkataka kuandamana...sasa unadhani itakuwaje babalao EL akibebwa mzogamzoga?
 
Hapa TZ hakuna cha CCM wala UKAWA.JPM anatosha hivi hivi,kuanzia chini akishajiimarisha atagusa huko juu.Hizi institution zinaitwa Mara CHADEMA,CUF,CCM etc yote ni magenge ya wapiga dili.Lowassa na Mbowe wake kipindi cha kampeni walikuwa wanapigwa tafu na akina Rostam,Kalamagi,na mafisadi kibao wapiga dili kubwa,mnawajua vizuri?,angewalipa nini angeshinda?.. Hivi mbona huwa vijana wa TZ mnapenda sana kujifanya vipofu?,.. Haya muulizeni mwenyekiti wenu Mbowe na Lissu ile LIST OF SHAME wameipeleka Wapi?,na walisema wana ushahidi.Mbona siku hizi hiyo single haipo tena au hewani????,.Ndo maana Mkapa aliwaita wapum.......vu
 
Hongereni kwa kuchezewa, Na mbona hamkumchagua JPM sasa mnalazimisha afanye mtakavyo, ukiwa looser manake unasubiri uone wenzio wanavyopiga misele nyie mmejitwisha madodoki kusafisha watu kausheni wenzenu wapige kazi nyie someni ubao wa matokeo Tu!
Unavyoaandika utafikiri na wewe unafaidika ...............!!

Huu ushabiki wa saiasa za bongo ni comedy inayoendelea!!
 
Ufisadi na ccm ni sawa na mtoto na titi la mama yake........

Siku mtakapoelewa kwamba ccm ni genge la kuwaibia na kuwatawala ndipo tutakapoanza kudai haki zetu........
Kumbuka kila ukifika uchaguzi Mbowe anateua fisadi kutoka ccm kugombea urais Chadema
 
Askari mpelelezi mzuri ni yule anaejichanganya kwenye jamii bila kujulikana lengo lake huku akihusika kikamilifu katika kila shughuli zote kama member wa jamii ile.
 
Back
Top Bottom