Mimi Ni Mtanzania,Mimi Ni mpenzi au shabiki wa Simba tokea nimezaliwa ila Ni mshabiki muoga,huwa naumwa Sana Simba ikicheza mechi nzito.
Kuanzia leo naanzisha maombi maalum kuiombea Simba ishinde...
Nikimnukuu Rais kasema mtu akiomba vibali vya kazi apewe sababu ndo watu Mwekezaji 'anaowaamini'.
Binafsi sina shida kabisa na hili iwapo tutafuata sheria zinavyotaka.
Sheria inasema muwekezaji...
Profesa Assad akiwa mjumbe wa Bodi ya NSSF miaka michache iliyopita na tena akiwa ni mjumbe kwenye kamati ya Bodi ya uwekezaji ya NSSF(MIC) alijinufaisha katika kununua nyumba za NSSF huko Tanga...
Waziri mkuu wa Tanzania Bwana Majaliwa leo ametembelea mradi wa ujenzi wa bwawa la umeme la Mwalimu Nyerere na kuangalia maendeleo ya ujenzi.
Majaliwa ameridhika na kasi ya ujenzi wa mradi huo na...
Kuna hoja imetolewa na Mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Kabwe (ACT Wazalendo) na kurudiwa juzi Bungeni na Mbunge wa Mwibara (CCM) Kangi Lugola kuhusiana na ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa...
Baada ya kuona wanaodhihaki kazi nzuri aliyoifanya Hayati JP Maguli iliwemo miradi mikubwa ,kutufikisha uchumi wa kati ,kutatua shida za wanyonge waliyokuwa wamedhulumiwa haki zao,kupambana na...
Prof Assad anaongea sana hana tofauti na Tundu Lisu.
CAG Kicheere ameshatufafanulia wananchi kilichojiri katika ripoti yake na watanzania wamemuelewa lakini bado CAG aliyemaliza muda wake...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajia kufanya safari yake ya kwanza ya kikazi nje ya Nchi kwa majirani zetu Uganda.
Rais Museveni amemualika Rais Samia kwenye...
Na Thadei Ole Mushi.
Spika wa Bunge kaishangaa Serikali kuanza kutengeneza Reli badala ya Kuanzia na bandari. Si mara ya kwanza Kwa Mh Ndugai kusema kuhusu ujenzi wa BANDARI hii mwaka 2019...
Hili ndio swali langu la leo kwa wananchi wote wa Tanzania, kwamba pamoja na njaa waliyonayo watanzania ukichanganya na huu wizi uliovunja rekodi ya Jumuiya ya SADC uliofichuliwa na CAG, hivi bado...
Nimewahi kusema Mara kadhaa kuwa kila binadamu ana upande wake wa pili.
Mara nyingi watu wataangalia ule upande wenye madhaifu ili watumie kukuadhibu.
Mwaka 2019 kwa moyo wa pekee kabisa...
Angalizo:
Uzi huu ni kwa ajili ya wenye akili timamu pekee.
Moderators nawasihi sana, tafadhali.
Ndugu zangu!
Sote tunatambua kilichotokea hadi kupelekea madamu Rais kuwa hapo alipo. Sio kwa...
Tumezoe kwenye familia tukiulizwa anayedaiwa na Marehemu ajitokeze, anamdai Marehemu ajitokeze. Kauli hii inaungwa mkono na kampeni yakuandika husia.
Husia serikalini nikukabidhi Mali na dhamana...
Vijana wa CHADEMA ya Ufipa wanaonekana kutofurahia uteuzi wa Dkt. Philip Mpango kuwa Makamu wa Rais.
Je, ni kwa sababu amewashauri Wabunge wa upinzani kuhamia CCM au kuna jambo lingine?
Kila...
Najua kwa sasa machafuko ya huko Msumbiji yanakukosesha usingizi, ukizingatia ukaribu wa Taifa letu na maeneo ambayo Majeshi ya Serikali ya Msumbiji yameshindwa kudhibiti hao tunaombiwa ni...
Aliyekuwa katibu mkuu kiongozi,katibu mkuu wa CCM na balozi asiyekuwa na Portfolia Mh Mbunge kwa sasa Dr.Bashiru Ali na ambaye alikuwa mhadhiri katika chuo kikuu cha Dar es salaama kabla ya...
Nimewasikiliza CAG na yule ex CAG wote wanajifanya as if ni watakatifu kwa kuongea mabaya tu ya utawala wa awamu ya 5 bila kubalance story zao.
Tunatambua wanajua Watanzania hatuna ufahamu mkubwa...
Akiwa anaongelea kuhusu MSD, sauti imekatwa ghafla na baadae kumtoa hewani kabisa kisha kuweka matangazo. Hii haikubaliki. Bajeti ya MSD imetekelezwa kwa chini ya asilimia moja.
Baada ya...
Tumshauri Assad ambae kwa sasa amejipambanua kama jabali jipya la siasa za Tanzania. Assad kwa muda mrefu alikuwa amejifunika kwa mwamvuli wa “kufanya kazi kiweledi “ na alifanikiwa kutuaminisha...
1.Kuaminisha watu kuwa wewe unajua kila kitu katika hii dunia zaidi ya mtu yoyote yule.
2.Kutofuata KANUNI, KATIBA, SHERIA, MAADILI NA UTU.
3.Kukosa busara ya kuzungumza na kutenda.
4.Kutumia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.