Mbowe atozwa Faini 1 M kwa Kukwepa Kulipa Kodi

Ufipa-Kinondoni

JF-Expert Member
Jan 3, 2012
4,582
2,783
Magazeti ya leo yameonyesha Mhe. Mbowe ametozwa faini ya zaidi ya sh. 1 m kwa kukwepa kodi katika biashara zake. Ni kuwa amekuwa anakwepa kutumia EFD.

Tunajifunza nini kwa mkuu wetu kama angekuwa ndo ameshika taifa kwa sasa?

WhatsApp Image 2017-03-22 at 07.52.58.jpeg
 
Miaka 5 iliyopita hakuna mtu aliyekuwa anatumia EFD... unataka kutuambia walikuwa hawalipi kodi?!

Yaani gazeti limeandika ametozwa faini kwa sababu ya kutotumia EFD wewe unatengeneza story yako kwamba ametozwa faini kwa kutolipa kodi!! Yaani TRA huwa wanatoza faini ya 1M kwa asiyelipa kodi?!!

NOTE: Hongera Ridhiwani kwa kutumia fursa barabara!! Siku ulipotajwa tu na ukaanza kujifanya kulalamika; hapo hapo nilisema wazi kwamba usijifanye kulalamika!!

Huo ni mpango wako na Bashite, kwamba akutaje kimya kimya (sio kwenye TV) kisha ukahojiwe na baada ya hapo utaonekana uhusiki na mihadarati na hatimae utakuwa umesafishwa rasmi! Na kweli, siku hizi ukipata fursa ya kuongea na media tu; lazima uzungumzie suala la kuhojiwa na hatimae kuonekana ahujihusishi na mihadarati... brilliant!!
 
Magazeti ya leo yameonyesha Mhe. Mbowe ametozwa faini ya zaidi ya sh. 1 m kwa kukwepa kodi katika biashara zake. Ni kuwa amekuwa anakwepa kutumia EFD.

Tunajifunza nini kwa mkuu wetu kama angekuwa ndo ameshika taifa kwa sasa?View attachment 484660
Kukutwa na hatia ya kukwepa kodi si kunakuondolea sifa ya kugombea Urais na Ubunge? Au iliyokutwa na hatia ni kampuni yake na siyo yeye mwenyewe?
 
Hapa sielewi kwahiyo lile swala la Mbowe kutolipa kodi ndiyo hatimaye faini 1 m? Hii ni ukweli? Tuko sirias na maisha ya mTanzania?

Natarajia nisikie hapana hiyo taarifa haiko sahihi hiyo faini siyo ya kodi.
 
Hii ni adabu,kodi palepale
 
Hapa sielewi kwahiyo lile swala la Mbowe kutolipa kodi ndiyo hatimaye faini 1 m? Hii ni ukweli? Tuko sirias na maisha ya mTanzania?

Natarajia nisikie hapana hiyo taarifa haiko sahihi hiyo faini siyo ya kodi.
hapana kabisa huyu mtu anapaswa afukuzwe ubunge na kuvuliwa nyadhifa zake, haiwezekani tukawa na watunga sheria wakwepa kodi na mabadhirifu, halafu huyohuyo anataka jimbo lake liwe na barabara maji hospital etc, kwa kodi za nani? lazima twende kumzuia kuingia bungeni kwa nguvu haiwezekani kodi zetu zikachezewa hivi.
 
Chadema wanalamba m 200 kwa mwezi, ccm karibu m 800.
ajabu chadema haina hata makao makuu ya kueleweka, binafsi ningependa kujua pesa hizo huwa zinatumikaje.

Wangekua wanapeleka kila mwezi kwa kila mkoa milion 10 kuimarisha chama matawini chama kingekua mbali sana. Lakin kwa sasa hizo hela zinatafunwa makao makuu kwamkufanya press conference, kuwalipa mawakili katika kesi mbalimbali zingine kuwalipa akina Salumu mwalimu wanapiga perdiem mtu ni naibu katibu mkuu Zanzibar lakin kutwa anashinda bara mpaka Geita wakati Zanzibar hakuna harakati zozote za chama
 
Mkuu kwa nilivyosikiliza, hatumii EFD kwenye biashara zake. Hivyo, TRA walimtoza hela hiyo. Na kwa sasa mfanyabiashara asiyetumia EFD anakuwa anakwepa kodi zake halali TRA.
Kukutwa na hatia ya kukwepa kodi si kunakuondolea sifa ya kugombea Urais na Ubunge? Au iliyokutwa na hatia ni kampuni yake na siyo yeye mwenyewe?
 
Mi mwenyewe situmii hayo ma efd maana hela zetu zinatumka vibaya
 
Kuto tumia EFD kunakuwa na ukwepaji wa kodi zinazotakiwa kulipwa TRA. Na faini yake inaonyesha ndo hiyo.
Hapa sielewi kwahiyo lile swala la Mbowe kutolipa kodi ndiyo hatimaye faini 1 m? Hii ni ukweli? Tuko sirias na maisha ya mTanzania?

Natarajia nisikie hapana hiyo taarifa haiko sahihi hiyo faini siyo ya kodi.
 
  • Thanks
Reactions: mop
Kwanza kabisa duniani kote kodi inachukiwa hakuna anaependa kulipa kodi kulielewa hili jamaa mmoja anaeongoza kutaka watu walipe kodi yeye halipi hata sh mia...
 
Back
Top Bottom