Zipo hoja nyingi zinazohitaji msukumo wa kisiasa, msukumo huo ni vigumu kuupata ndani ya chama Tawala ila utaupata upinzani.
Upinzani vyama vyote vimepoteza dira isipokuwa baadhi ya viongozi wa...
Hivi karibuni kumeibuka suala la bandari ya bagamoyo ambayo mh. Hayati JPM alilikataa kwa kuwa mkataba wake ulikuwa wa kinyonyaji.
Hivi karibuni suala hilo limeibuka tena upya na spika wa bunge...
Hasara na upotevu huu unaotokana na taarifa za CAG ambapo wanasiasa waliochambua report ya CAG aliepita,Prof. Assad, waliibua utata wa matumizi ya shilling ya shilling trilioni 1.5 na hii ya hivi...
Uraiani watu wapo busy na masuala mengine ya kimaisha na kiuchumi. Huku wakichapa kazi
Mitandoni ndio utakuta baadhi ya watu wachache wanaojinasibu ni wafuasi wa Chadema na Act wazalendo.
Kwa...
Nchi ipo katika sekeseke hasa la kuiona serikali ya Dkt. Magufuli kama iligubikwa na hila na vitisho juu ya Wafanyabiashara.
Dkt. Magufuli ameshafariki. Mama Samia Suluhu Hassan ameshika uongozi...
Msemaji mkuu wa serikali yuko mubashara TBC akielezea mafanikio ya awamu ya 5.
Dkt. Abbas anasema pamoja na kununua ndege na watu wengine " kununa" serikali pia inawekeza fedha za kutosha katika...
Hii thread iwe Maalum kwa Maoni, Ushauri na Mapendekezo mbalimbali kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli.
Mimi namuomba, Mheshimiwa Rais mteuliwa, kwa heshima na...
Ndugu wanajukwaa kama kichwa cha habari kinavyosomeka.
Ninaomba kuuliza swali: je, tuendelee na utaratibu huu wa mikataba kuwa siri au tubadilishe utaratibu mikataba iwe wazi ili kila mtu ajue...
Ikiwa ni takribani robo karne tangu kuanzishwa mfumo wa vyama vingi nchini watu kadhaa wasomi na wanasiasa wamependekeza iwepo nishani maalum kwa mwanasiasa bora wa upinzani nchini.
Kati ya...
Sasa ni takribani mwezi mmoja tangu Mh.Magufuli afariki. Ila kinachoendelea mitaani ni kuoredhesha mabaya yya marehemu
Mengine ni ya kiutawala na Uongozi na mengine no Binafsi.
Tumeshuhudia...
" Uwekezaji nchini Tanzania umekuwa ni tatizo na kwakweli mabadiliko makubwa yanahitaji hapa. Makampuni yanafunga, Wafanyabishara wanashindwa kuendelea huku Uchumi wa Tanzania ukiathirika pakubwa...
Kwa trend inayoendelea sasa, kimya kimya, wazi wazi na pengine kwa sauti zaidi kila kona ya nchi ni dhahiri kuwa kuna watu wana maumivu na vidonda vikubwa sana vilivyotokana na utawala wa...
Ujumbe wangu ni huu:
Kusifiwa au kupongezwa ni haki ya kila mtu anaefanya vizuri licha ya kuwa haki hiyo haipo kikatiba wala kisheria. Lakini ukianza kujisifia mwenyewe au kutumia nguvu au watu...
Kwako Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan,
Hoja yangu kwa sentensi moja: napendekeza serikali iwekeze kwenye matumizi ya teknolojia (haswa simu, mitandao ya mawasiliano, na apps) ili kuboresha utumishi...
Mimi sintosema chochote,nmemuachia Mungu apigane kwa niaba yangu.
Nakubali kuwajibika ‘kisiasa' siwez kuwakana wasaidizi wangu,lakin sikuiba pesa wala kufaidika 'binafsi' kwa namna yoyote ile...
Moto wa kumbi ni moto mkali sana unaweza kuyeyusha chuma au kutoboa sufuria likiwa na maji yake ndani lakini hauna miale, moshi wingi wala kelele kama mioto ya mabiwi, nyika, kuni au petroli...
Naomba niongee kwa kiwango cha uelewa wa kawaida tena wa zamani.
Wakati mwalimu akiwa hai,tulisikia habari ambazo hazikuwa zimethibitishwa kuwa,mwalimu hataki kuona nchi inatawaliwa na Rais...
DR JOHN POMBE MAGUFULI,ONE OF THE BEST TO EVER DO IT,A TRUE LEGEND.
Leo 23:15hrs 09/04/2021
Wote wanaomsema vibaya na kupuuza fikra za Rais wa awamu ya tano,Dr John Pombe Magufuli juu ya miradi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.