Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mwishoni mwa mwezi Machi Rais wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan alipokea ripoti mbili za CAG na TAKUKURU na moja ya mambo yaliyoibuka na kuchukua mjadala mpana na mkubwa sana ni hatua ya...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Profesa Baregu na Safari walipotea hewani kwa muda Sasa lakini ghafla baada ya Chadema kuwatimua Wabunge 19 wasomi Hawa wanaonekana kupata nguvu nakuanza kuonyesha imani kubwa kwa Chadema. Si...
8 Reactions
25 Replies
4K Views
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Temeke Mhe Abdallah Mtinika amemuomba Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan kuipa hadhi ya kuwa Jiji Manispaa ya Temeke. Mstahiki Meya ametoa...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Tangia mwaka 1776, Taifa la Marekani limepitia vipindi tofauti tofauti ambavyo ndani yake vilitofautishwa na falsafa mbali mbali za uongozi katika kutekeleza sera ya nchi chini ya maraisi wao...
7 Reactions
24 Replies
3K Views
Awamu zilizopita zilisaini mikataba mingi ikiwemo ya madini, gesi n.k Awamu ya tano nayo imesaini baadhi ya miakataba Lakini inapokuja swala la mradi wa bandari ya Bagamoyo Awamu ya 5...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Mama ameingia na upepo mzuri sana kwa kutoa matumaini kwa Watanzania kupitia maneno tu watu wamefurahi na kusubiri vitendo sasa. Inaonekana kuna kundi kubwa sana la watu walikuwa na majonzi na...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Freeman Mbowe akiwa ni mmiliki wa Protea hotel anadaiwa hajalipia service levy kwa miaka 5, huko wilayani HAI, kapewa Siku 14 alipe deni hilo na fidia. Pia TRA Kilimanjaro hajawahi kupeleka...
24 Reactions
360 Replies
43K Views
Benjamin Mkapa, Rais Mstaafu wa Tanzania RAIS Mstaafu, Benjamin Mkapa haachi kujuta kutokana na baadhi ya yale aliyoyatenda kwenye utawala wake, anaomba Watanzania wamsamehe, anaandika Wolfram...
2 Reactions
138 Replies
24K Views
Tangu ulipoondoka mambo yamebadirika miluzi imeongezeka Tangu ulipoondoka, mambo yamebadilika, Watu waliookoka, wote wameshapotoka, Twarudi tulikotoka, taifa linaanguka, Tangu ulipoondoka, mambo...
7 Reactions
35 Replies
3K Views
Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Charles Kitwanga jana aliponda aina ya ndege mpya zilizonunuliwa na serikali kutoka Canada kwa ajili ya kufufua Shirika la Ndege Tanzania (ATCL). Kitwanga...
21 Reactions
348 Replies
65K Views
Hivi ni nani anaweza kutueleza tulitoka wapi? Tupo wapi na tunakwenda wapi? - Sababu mpaka sasa nimeshindwa kutambua ni nini kinaendelea na ni nini kilitokea. Nani yupo sahihi na nani hayupo...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wale raia wenzangu wazalendo tunaoitwa MATAGA kwa kuendelea kusimamia na kuamini maono ya hayati JPM tusiwe wanyonge. Hiki ni kipindi cha mpito, acheni wabwatuke lakini muda si mrefu ukweli...
17 Reactions
92 Replies
8K Views
Nguzo kuu ya Chadema kwa miaka yote ya uhai wa chama hiki ni umoja wao , hawa watu kwa kushirikiana kwenye mambo yao ni wa kupigiwa mfano . Leo Viongozi wa Bavicha Wakiwemo Pambalu na mfungwa...
15 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari hii ni kwa mujibu wa tweet ya ACT-Wazalendo UDSM ambapo wamearifu uchambuzi huo utaanza saa sita kamili mchana wa leo. =============== ZITTO AMSHAURI RAIS SAMIA KUUNDA TUME YA MAJAJI...
9 Reactions
99 Replies
13K Views
Hapo mwanzo ilikuwa ni kawaida mara baada ya Rais kumaliza awamu yake, makundi mawili makuu hujitokeza 1. Chama tawala: Hawa kazi yao ni kuendelea kusapoti yote aliyotekeza rais mstaafu. 2...
4 Reactions
13 Replies
885 Views
Jana alisikika meneja wa fedha wa Clouds media akidai kuwa taasisi yake iliwasilisha kwa CAG risiti zote za kielectronic kama alivyoagiza na siyo kweli kwamba kuna utata katika malipo waliyolipwa...
2 Reactions
29 Replies
3K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan leo 10 Aprili, 2021 amekutana na Dkt. Amina Mohammed, ambaye ni Waziri wa Michezo, Utamaduni na Urithi wa KenyaMjumbe Maalum wa...
16 Reactions
144 Replies
14K Views
Mchekeshaji Idriss Sultan wa Tanzania anashikiliwa na polisi tangu Jumanne wiki hii. Wakili wa mchekeshaji maarufu nchini Tanzania Idriss Sultan ameiambia BBC kuwa msanii huyo anahojiwa na polisi...
17 Reactions
322 Replies
35K Views
Wasaalam ndugu wana Jamhuri ya JF. Nawapenda sana ndugu zangu pamoja na Mara kadhaa kupishana kimisimamo na kiitikadi lakini ni Imani yangu Tungali na Umoja na Mshikamo Mkubwa Baina yetu tena...
7 Reactions
32 Replies
3K Views
Kwanza kabisa ni kuomba radhi kwa watanzania wote kwa kusema uongo kuwa alishambuliwa na watu wasiojulukana na kisha kuvunja kifundo cha mguu. Hii haitasaulika kwa watanzania sababu ilichafua...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Back
Top Bottom