Siku ya jana Spika Ndugai alimtoa nje Mbunge mmoja kwa kosa la kuvaa mavazi anayosema kuwa yapo kinyume na maadili ya Bunge , cha ajabu watanzania wengi wakashikilia hili jambo kama vile lina...
Sakata la kutolewa nje kwa mbunge wa Momba, Condester Sichwale (CCM) kuhusu mavazi, limeibuka tena leo jioni katika kikao cha Bunge baada ya wabunge wanawake kutaka aombwe radhi na aliyetoa hoja...
Moja kwa moja nimpe mama Samia hongera kwa kurekebisha makosa yaliyofanyika kwenye teuzi za makatibu tawala na zile za wakurugenzi wa mashirika mfano ile teuzi ya DG wa TPDC.
Ni wazi Kuna majina...
Tuliambiwa kaahirisha shughuli na ziara za kimataifa ili ashighulikie janga la tetemeko la ardhi Bukoba na Mwanza, Lakini huku Bukoba Hatujamwona/Hajafika!!
Rais John Pombe Magufuli alighairi...
Inakuaje Halmashuri yako unakuwa na hati chafu katika report ya CAG halafu kabla hujajibu hoja inawezekana ukapandishwa cheo?
Kuna hati isiyo na Shaka, hati yenye mashaka, kushindwa kutoa...
Spika wa Bunge amemfukuza mbunge kwa kutokuvaa mavazi yenye maadili kwa Bunge .
Ili kuepusha hilo nashauri wabunge nao waamue kuvaa majoho kama wafanyavyo madiwani kwani uamuzi huo utakuwa ndio...
Ninampenda sana Rais wetu Mama Samia ila ninaomba kumsahihisha kuwa rais ni binadamu huwa anakosea.
Tukianzia kwa Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Marehemu na yeye mama mwenyewe tukisema...
Wana ndugu.
Habari zenu? Nimeyasoma ya Sabaya nimesikitika sana Kama ni kweli. Kama ni kweli shutuma zinazosemwa basi watu wa Mkoa wa Kilimanjaro na Arusha tuwape pole. Lakini najiuliza alikuwa...
Jamani hizi ni news ambazo bado ziko kwenye wires lakini stay tuned na tunaweza kubadilisha heading kama tukiwa wrong
yaani ni makamo wa bwana BANG KI MOON
stay tuned...naamini hii hata...
Idadi kubwa ya mahabusu wanaotuhumiwa kwa mauaji katika Gereza la Mpanda mkoani Katavi imewashangaza makatibu wakuu watatu wa wizara na wameamua kufanya uchunguzi kubaini kiini.
Makatibu hao ni...
Leo ni mara ya Pili (kama siyo ya Tatu) nakuona kila ukipewa muda wa Kuongea Bungeni Wewe Kazi yako ni Kuisemea tu Yanga SC yako na Kuonyesha pia chuki zako za wazi wazi kwa Rais wa TFF Wallace...
Leo Tar 20 May 2021 kuanzia Majira ya Asbuhi Magari ya Abiria maarufu kama Daladala Yaendayo Kigamboni Kupitia Daraja kuu la Kigamboni (Mwl.Nyerere) Yamegoma kufanya Safari zake kutoka Kigamboni...
Wao kama wao sasa wameridhia CCM ikae madarakani na sasa wanaikubali impliedly. Kwa ni wazi kabisa wanaona CCM haina mbadala wa kuig'oa.
Walimuona JPM kama kikwazo kwa siasa zao ndio maana...
Wanabodi,
Nawaomba Sana na kuwasihi Watanzania wenzangu tuitunze na kuienzi tunu yetu ya taifa inayoakisi malezi na maadili yetu ya kitanzania ambayo Ni heshima na uungwana kwa binadamu wenzetu...
Ajira kugawanywa bara na visiwani nafikiri sana kuwa ingefaa ajira zipatikane kupitia taratibu za ushindani, bila kujali mtu anatoka wapi, iwe kwa taasisi za umma, serikali ya JMT, iwe kwa ajira...
Alipokuwa Waziri wa fedha:
1. Alikuwa anachukua fedha za mazingira na kufanyia mambo mengine au kuzizuia kwa utashi binafsi yeye na Doto. Mh. Rais kalisema leo wakati wa uapisho wa maRAS.
2...
Dkt. Allan Kijazi ni Director General wa Tanzania National Parks na wakati huo huo ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na utalii. Kabla ya hapo alikuwa Naibu Katibu Mkuu na Mh. Samia Suluhu...
Tuliahidi hapa kwamba tutawaletea kila kinachojili kwenye Mkakati mpya wa CHADEMA wa OPERESHENI HAKI Unaoendelea nchini kwa kishindo, na kwa vile Ahadi ni deni basi hatuna budi kuitimiza.
Katika...
Jeshi la Polisi mkoa wa Morogoro linawashikilia vijana 34 kwa tuhuma za wizi wa kukwapua mali za wananchi kwa kutumia pikipiki ambapo jumla ya pikipiki nane zinashikiliwa na jeshi hilo.
Kamanda...
Nimekuwa nikifuatilia ishu zinazoibuliwa mara nyingi labda na top leaders ndio inakuwa mijadala rasmi ya media.
Mfano: leo gazeti la uhuru linazungumzia rushwa pale kariakoo, kuna gazeti moja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.