Latest: Asha-Rose Migiro the new UN Deputy General Secretary

Game Theory

JF-Expert Member
Sep 5, 2006
8,545
817
Jamani hizi ni news ambazo bado ziko kwenye wires lakini stay tuned na tunaweza kubadilisha heading kama tukiwa wrong

yaani ni makamo wa bwana BANG KI MOON

stay tuned...naamini hii hata TZUK.NET hawana
 
Habari ni za kweli...kaula! Pongezi kwa mama Migiro! tumetoka tu katika baraza la Usalama, lakini jina letu bado lipo. Ni matumaini kuwa masuala ya Afrika na kina mama yataendelea kupewa uzito! Daymn... we came close with SAS kuwa Katibu Mkuu.. nao we are that close! Kudos to her!
 
sio nampinga ARM lakini naamini MARK MALOCH BROWN alifanya kazi nzuri sana
 
.....tumetoka tu katika baraza la Usalama, lakini jina letu bado lipo. Ni matumaini kuwa masuala ya Afrika na kina mama yataendelea kupewa uzito! Daymn... we came close with SAS kuwa Katibu Mkuu.. nao we are that close! Kudos to her!

Mwanakijiji una maana gani kusema tumetoka tu 'security council'?
 
Well, whatever the case, but the lady deserves the position, I think. She is very smart. I am particularly happy that she is going there, because she was quickly getting contaminated with sordid CCM!
 
DrWHO,
I think it is Assistant Secretary General. That's what I heard from NY
 
New York, 5 January 2007 - Statement of the Secretary-General on the appointment of the Deputy Secretary-General


I have decided to appoint Dr. Asha-Rose Migiro, Minister of Foreign Affairs and International Cooperation of the United Republic of Tanzania, as Deputy Secretary-General. Minister Migiro served previously as Minister for Community Development, Gender and Children of the United Republic of Tanzania for five years. In her academic career, she rose to the rank of a Senior Lecturer at the Faculty of Law of the University of Dar-es-Salaam.

She is a highly respected leader who has championed the cause of developing countries over the years. Through her distinguished service in diverse areas, she has displayed outstanding management skills with wide experience and expertise in socio-economic affairs and development issues.

I have deep confidence in and respect for her, and intend to delegate much of the management and administrative work of the Secretariat, as well as socio-economic affairs and development issues, under a clear line of authority to ensure that the Secretariat will function in a more effective and efficient manner.

source
http://www.un.org/apps/sg/sgstats.asp?nid=2392
 
DrWho Shukrani kwa habari muhimu na ya kujivunia.Mimi binafsi napenda ufanyajikazi wa huyu Mama, ni mchapakazi muadilifu,lakini nilikuwa na hofu ya kuharibiwa sifa zake na watu wa Mtandao waliomzunguruka. Kuna habari zisizothibitishwa kwamba ilikuwa aende kuridhi nafasi ya Dr Mahiga ambaye karibu anarudi nyumbani. Tunaomba habari kamili mara itakapopatikana. Kwa wale mlio karibu na huyu Mama tupitishieni Hongera zetu!
 
Congratulations Dr Asha Rose Migiro. Tanzania has moved forward one looong step internationally following your appointment.
 
DrWHO
Radio ya Ureno ndiyo imetangaza kwanza. Nasikia habari zilivuja baada ya Mhe. kupigiwa simu alipokuwa Namibia ndiyo ikabidi UN watangaze upesi upesi. Nimesikiliza Radio Tanzania saa mbili usiku hawakuwa na habari hii.
 
Nafuu huyu Mama ametutoa aibu na ataipandisha chati Bongoland.
 
sasa kwa kuwa JAMBO FORUM mnapenda kuleak mambo ya SERIKALI sasa je, NANI ATAZIBA PENGO LAKE PALE FOREIGN maana pamejaa uozo mkumbwa sana pale
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom